Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

Mimi kama Mchumi nimesoma huu Uzi kwa makini sana,na kweli mtoa mada kampuni yanu ilitoa usahili mzuri tena mzuri sana kwa Wachumi hao-na hizo ndio kazi halisi za Wachumi kufanya uchambuzi wa kiuchumi.


Usijifanye mjuaji unajiaibisha!! Unajua covnitive skills ni hatua ya ngapi katika uelewa?

Hii ni chai. Unapomuambia mtu achambue/aorodhesha habari za kiuchumi kwenye gazeti bila kumuambia idadi, hapo mpuuzi ni nani?

Roho mbaya tu!! Maisha sio magumu kiasi hicho then muanza kuwalipa kiduchu ,acheni kukaza vichwa

Assume mnaitaji mchumi ambae anatumika ku forecast labda supply & demand, sales au price ya bidhaa husika based on data kwa quatre ya 3 2023, kama huyu hawezi kujua visababishi vya inflation au exchange fluctuation estimation zake zitakua sio bias???

Labda tuna import bidhaa, kama hawezi kujua ni nini kinafanya shilling kupungua thamani atatushaurije mda gani wa ku import na mda gani si wa ku import ile tuwe benefited na foreign exchange??

Baadhi kuna baadhi darasani walikua wameiva mtu unamuuliza kuna tofauti gani logit na probit model anajua, unampa graph unamuuliza upi kati ya huo ni stationery au non stationery process anajua anakupa na sababu

Mtu unaona kabisa tukimpa miezi 6 ya kujifunza anaweza kusaidia
 

Ni matokeo ya kiwango cha elimu kushuka kama uchumi, michezo, kilimo, maadili nk nk yalivyoshuka usiwalaumu vijana wa watu kuwaambia HAMNA KITU. Total failure ya system. Mgomba ukiupeleka Singida utanyauka hata iwe mbegu bora na ukiupeleka Moshi na Bukoba utastawi. Hao vijana wakipata practical experience na mazingira mazuri watakuwa bora sana.
 
Acha kuwananga vijana pamoja na vyuo vyao ndugu. Wewe mwenyewe unajidai kwa kuwa skills umezipata kutokana na job experience. Unafikiri hawa wakiwa trained hawawezi kudeliver? Mfano, unaongeleaje mfumo wa benki hapo zamani kuajiri vijana waliomaliza kidato cha nne moja kwa moja? Je hawa walikuwa na skills za mambo ya benki? Si walikuwa trained na kuwa competent baadaye? Je hawa si ndio miongoni mwa CEOS wa financial institutions mbalimbali siku hizi? Waajiri wengi mnajidai siku hizi kwa kuwa graduates wengi ni jobless, hayo ya graduates kutokuwa competent ni visingizio tu.
 
Anaweza kabisa amini kazi ni adaptive anasuit na mazingira ..nadhani hata wewe uko njema kwa sababu ipo kweny game kitambo.

Ni sawa kumchukua na kumpeleka kufanya malipo kweny mfumo wa serikali na kugenarate invoice ,ni vitu viko practical chuoni wanaweza kuwa hawasoni na filed inawezekana hakiwa sehemu hyo labda alienda bank kama teller.

Mambo yeni hayo Yana wide prosperity .. Tafadhali wapeni nafasi wawe on job training watakuwa njema.
 
Mmoja wa hao waathirika huyu hapa. Ona yeye anasuburi kukaririshwa habari za kuchambua habari ndiyo aweze kujibu swali kama hilo. Haoni uhusiano wowote na hajui maana ya

''reasoning and cognitive skills''

 
Unatetea ukilaza?

Hayo yote alitakiwa huyo mwanafunzi ajue.

Utaratibu wa mtu kuwa judge lazima unafahamika kwa wanasheria.

Hata hilo la uteuzi alitakiwa ajue.
 
Mfano kwenye written interview ukipata chini ya pass mark inakuaje?

Yani mifumo yetu ya shule inabidi aangaliwe upya
Watu wanaangalia mafanikio wamegundua watumishi wanapigwa somjo unategemea nini,mtu anavaa tai alafu anajipa risasi kwa madeni unategemea nini
 
Mfanyakazi anavaa tai Kali alafu anagongea soda,madogo wameona isiwe tabu nikukoroga mambo siku ziende,poa msomi anapoendesha bodaboda na kusaga lami unafikiria wadogo zake wanapata tafsiri gani
 
Kuna jamaa fulani alienda chuo akabadilisha courses Mara 3, Mara ya nne akapiga chini masoma akarudi home.
 
Wala tu na nyie wenyewe chenga tu
 
Huku vyuoni huwa tunapimwa storage capacity, kichwa chako je 128 MB 2GB, 4GB nk. Mwisho wa siku storage capacity yako inweza ku paste hizo data kwenye karatasi la majibu.. uwezo wako wa kukariri vitu vingi kwa muda mrefu ndio utakuokoa siku ya mwisho kwenye mitihani

Nakumbuka wakati nasoma nilikuja na mfumo wa kujibu kwa uwelewa wangu kwenye swali, unajua matokeo ya mfumo huo nilikua naambulia masononeko kila mara na sii kwasababu nilikuwa sijui au sielewi kile nilichofundishwa, bali mfumo wangu niliokuwa naenda nao usingeweza kutoboa mpaka mwisho. Alikuja jamaa yangu mmoja akaniambia ndugu yangu unapoteza muda na utafeli kwa mfumo wako, akanishauri toka huko njoo kwenye storage capacity. Matoke yake mambo yalienda kama nilivyopanga
 
Mmeua elimu watoto wenu mnawapeleka nje kusoma halafu mnasema wasomi wa sasa "hamna kitu"!!! very unfair.
 
Hakuna muda wa kutosha kuzi apply zaidi ni vema ukapokea mtu na ukamfunza, kama umepita kwenye system hii ya vyuo vyetu utaelewa hili
Darasani wanafundishwa theory, inakuaje izo theory una fail ku zi implement kwenye mazigira ya kawaida??. Sasa inakua na maaana gani darasani unapata 90+ alafu kuzi apply unapata 20 ?? Hapa si elimu nayo inakua imeshidwa kuku-komboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…