Wanaharakati Afrika Mashariki Wambana Samia Kuhusu Mikwaju Yake

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398

View: https://m.youtube.com/watch?v=sYN-FCrYapU
Watoa waraka mzito kulaani matamshi ya hivi karibuni kuhusu kuwashughulikia raia wa Afrika ya Mashariki watakaotumia uhuru wao kupinga tawala

Hii inakuja baada ya Samia Hassan kuchagiza kuwa lazima kuwepo na mikono ya sheria ya serikali haramu inayoweza kuvuka mipaka ya nchi ili kuwashughulikia wale wanaotoa maoni, na akatumia neno kupiga mikwaju ambalo lina maana pana na ni hatari kwa uhuru, maisha na haki ya kuishi wamesema Wanaharakati Wa Afrika Mashariki wakisoma waraka wao mzito
 
Mambo mazito wameaanishwa katika waraka huu mzito, inaonekana wiki hii ni chungu kwa utawala maana matamko, hoja, waraka, press conference, taarifa kwa umma n.k zote zinaweka wazi uovu wa tawala na vyombo vyake vya mabavu ( coercive Instruments ) vya Tanzania
 
Gentleman,
jambo lolote kutoka Kenya iliyopambwa kwa sura ya ukabila ni vya kupuuzwa tu, kwasababu haviwasaidii wakenya wenyewe na kwahivyo ni nonsense zaid mahali pengine.

ni muhimu sana kufahamu hili mapema
 
Lady,
Jambo lolote kutoka Tanzania iliyopambwa kwa sura ya u ccm ni vya kupuuzwa tu.

Ni muhimu kufahamu hilo mapema
 
Hapo anamlenga shangazi Maria anaomba access ya kwenda kumnyakua Kenya.

Tumefikia pabaya sana aiseee..!!
 
Gentleman,
jambo lolote kutoka Kenya iliyopambwa kwa sura ya ukabila ni vya kupuuzwa tu, kwasababu haviwasaidii wakenya wenyewe na kwahivyo ni nonsense zaid mahali pengine.

ni muhimu sana kufahamu hili mapema
Shura ya Maimam, ikiongozwa Sheikh Ponda Issa Ponda nao pia wametoa WARAKA au RIPOTI yao.

Gentleman, kibano kinaendelea mpaka mteme bungo. Najua utaikimbia hii Id yako siku si nyingi.
 
Shura ya Maimam, ikiongozwa Sheikh Ponda Issa Ponda nao pia wametoa WARAKA au RIPOTI yao.

Gentleman, kibano kinaendelea mpaka mteme bungo. Najua utaikimbia hii Id yako siku si nyingi.
Gentleman,
kwa Tanzania,
ukishamtaja huyo kafiri ponda, na jambo analojaribu kulieleza linakua batili na ni upotoshaji mtupu.

kiufupi hana hiyo credebility completely, ni wakupuuzwa tu vilevile
 
Kazi anayo huu mwezi na uko majuu nako wanamshushia nondo tu
 
Gentleman,
kwa Tanzania,
ukishamtaja huyo kafiri ponda, na jambo analojaribu kulieleza linakua batili na ni upotoshaji mtupu.

kiufupi hana hiyo credebility completely, ni wakupuuzwa tu vilevile
Mmeshazoea masheikh ubwabwa mnawapelekesha mnavyotaka nyie na kuwadhalilisha masheikh wote mbaya zaidi mnaudhalilisha Uislam.

Lakini Sheikh Ponda Issa Ponda ni mmoja wa masheikh wenye kauli Thabiti na hakika wanaulinda na kuutetea uIslam kwa weledi mkubwa.
 
ana uthabiti gani mropokaji kafiri huyo gentleman?
 
ana uthabiti gani mropokaji kafiri huyo gentleman?
Usimfananishe Sheikh Ponda na masheikh wenu waropokaji wa bakwata.

Mimi siyo muIslam ila nafarijika kila ninapo msikiliza Sheikh Ponda. Hakika anaijua imani yake na ni mwenye kauli thabiti. Tatizo CCM hampendi UKWELI, huu ugonjwa mbaya sana.
 
ni yeye pekee ndio kafiri hapa Tanzania,
kwahiyo hakuna wa kufanana nae humu nchini,

hayo mengine ni mihemko yako binafsi tu na sina haja ya kupteza muda wangu kuyafafanua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…