Bazenga01
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 1,211
- 2,273
Najua hamuwezi kuhimili UKWELI. Mmezoea uchawa kusifiwa na kuabudiwa kinafki na hao masheikh ubwabwani yeye pekee ndio kafiri hapa Tanzania,
kwahiyo hakuna wa kufanana nae humu nchini,
hayo mengine ni mihemko yako binafsi tu na sina haja ya kupteza muda wangu kuyafafanua