Wanaharakati mko wapi mbona hamsemi chochote? Upo wapi uhuru wa Vyombo vya habari? Mnatupa mashaka.

Wanaharakati mko wapi mbona hamsemi chochote? Upo wapi uhuru wa Vyombo vya habari? Mnatupa mashaka.

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
IMG-20260919-WA0002.jpg
Screenshot_20260919_074136_X.jpg
 
Misleading, wamezuiwa kuingia Whitehouse lakini havijafungiwa kufanya kazi zake. Na hapo wakienda mahakamani kupinga zuio hilo haramu watashinda maana mahakama hazipokei maelekezo kama huku.

Ingekua Bongo hao wangefutiwa leseni, wamiliki wangepewa kesi ya uhujumu uchumi na uhaini!! Msitafute pa kujilinganisha
Sasa kwani White House sini ofisi ya umma? Kwanini Trump anakanyaga uhuru wa vyombo vya habari?
 
Sasa kwani White House sini ofisi ya umma? Kwanini Trump anakanyaga uhuru wa vyombo vya habari?
Amekosea ndio maana wataenda mahakamani. Na sio mara ya kwanza yeye kutoa maelekezo haya na baadae mahakama kupindua maelekezo hayo.

Kwa nchi za wenzetu wamepunguza madaraka ya Rais na pia vyombo vya sheria ni huru hivyo unaweza pata haki hata kama Rais hakupendi
 
Ameban at white hous pekee si marekani nzima, na si kwamba vimefungiwa no

Joto la uchaguzi linakuja november na mizani inaonyesha republican wanatembelea rimu, on the front panel wanaotangaza madudu yake ni hivyo vyombo

Lakini si wa kwanza kufungia kwa white hous
Ohooo kumbe. !
 
Chawa na kiingereza ni vita, alichokifanya Trump ni kinyume na katiba hivyo atapelekwa mahakamani na mahakama vilivyo huru atashindwa kama ambavyo amri kadhaa alizozitoa nyuma hapo alipelekwa mahakamani na akashindwa na amri hizo kutenguliwa .

Sasa nikuulize hapo Tanzagiza Msigwa akipigiwa simu na bi Kidude kufungia gazeti au media ambayo imezungumza asichokipenda nani ataenda kupinga mahakamani na amri ikatenguliwa?

Nakuwekea hapa statement ya CNN kawapelekee maboss zako wakufanyie tafsiri chawa.
HShpz36XQAAKOSm.jpg
 
Maskini Larry Madowo sijui itakuaje 🐒

acheni upotoshaji, vyombo vya habari havijafungiwa USA na wala D.Trump hawezi kufanya hivyo kwanza hata huo uwezi sidhani kama anao, wamezuiwa kuripoti kutokea white house, hivyo ni vitu viwili tofauti, mwanahalisi imefungiwa kufanya kazi tanzagiza, politico, cnn & co. havijafungiwa popote USA.

wamezuiwa kuingia whitehouse na siyo kufungiwa ...

1789829502217.png
 
acheni upotoshaji, vyombo vya habari havijafungoiwa USA na wala D.Trump hawezi kufanya hivyo, wamezuiwa kuripoti kutokea white house, hivyo ni vitu viwili tohfauti, mwanahalisi imefungiwa kufanya kazi tanzagiza, politico haijafungiwa popote USA.

wamezuiwa kuingia whitehouse na siyo kufungiwa ...
View attachment 3674006
ok. :pedroP:
 
D.Trump said "i dont want them in my office ...", hapo hakuna aliyefungiwa, kuna tofauti na kufungiwa kwa mwanahalisi au jf na serikali ya tanzagiza ...
kaandika hivyo kwenye taarifa yake right? au umemlisha maneno yako tu gentleman? :1Head:
 
Misleading, wamezuiwa kuingia Whitehouse lakini havijafungiwa kufanya kazi zake. Na hapo wakienda mahakamani kupinga zuio hilo haramu watashinda maana mahakama hazipokei maelekezo kama huku.

Ingekua Bongo hao wangefutiwa leseni, wamiliki wangepewa kesi ya uhujumu uchumi na uhaini!! Msitafute pa kujilinganisha
Kwani chawa wana akili za kuelewa mambo madogo kama haya basi?
shida ni elimu zao mbali mbali
 
Back
Top Bottom