Wanaharakati mko wapi mbona hamsemi chochote? Upo wapi uhuru wa Vyombo vya habari? Mnatupa mashaka.

Wanaharakati mko wapi mbona hamsemi chochote? Upo wapi uhuru wa Vyombo vya habari? Mnatupa mashaka.

Amekosea ndio maana wataenda mahakamani. Na sio mara ya kwanza yeye kutoa maelekezo haya na baadae mahakama kupindua maelekezo hayo.

Kwa nchi za wenzetu wamepunguza madaraka ya Rais na pia vyombo vya sheria ni huru hivyo unaweza pata haki hata kama Rais hakupendi
Ata wakienda mahakamani mkuu tayari inaonesha kua Marekani hakuna Demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari.
 
Ata wakienda mahakamani mkuu tayari inaonesha kua Marekani hakuna Demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari.
Unajua maana ya demokrasia? Uwepo wa mahakama huru ni kati ya misingi 11 ya demokrasia. Pia uhuru wa habari upo ndio maana hawajafungiwa.

Na katiba ya Marekani iliwekwa mahususi ili yakitokea maamuzi kama haya ya Trump basi kuwepo na namna ya kuya control.
 
Mbona ni mle mle.. kwani mahakama azipo huru
 
Screenshot_20260714-183814~2.png
 
Watamburuza mahakamani Trump kwa kuvunja katiba muda si mrefu.

Wanaharakati waliokimbilia huko nje ,hawana tofauti na mbwa wa kufuga walw mbwa wa kizungu ,wanalishwa na kupewa kila kitu bure.

Hawawez kukosoa hao wafadhili wao ,wakikisoa tu kesho wanarudishwa.
 
Maskini Larry Madowo sijui itakuaje 🐒
Hujui lolote
Trump hajaifungia CNN bali ameizuia kuripoti toka White House (Ikulu)
Hata hivyo Larry Madowo ni international correspondent ndio maana aliripoti maauji makubwa Tanzania na pia aliripoti uchaguzi wa Uganda akiwa Kampala.
Huyu sio mwanahabari wa TBCCM au Radio Uhuru.
 
Chawa kama nilivyokwambia USA sio banana republic , first amendment inalindwa na katiba.

Kawaambie maboss zako Lumumba hapo wakupe tafsiri yake hapa.

View: https://x.com/FoxNews/status/2103072910210437602

Haya mtupe update lile gazeti sasa lililosema Nchimbi kagoma kujiuzulu likafungiwa lilienda mahakamani na je mahakama ilitengua uamuzi wa vidampa wa Samuya?
 
Back
Top Bottom