Wanaharakati mko wapi mbona hamsemi chochote? Upo wapi uhuru wa Vyombo vya habari? Mnatupa mashaka.

Sasa kwani White House sini ofisi ya umma? Kwanini Trump anakanyaga uhuru wa vyombo vya habari?
 
Sasa kwani White House sini ofisi ya umma? Kwanini Trump anakanyaga uhuru wa vyombo vya habari?
Amekosea ndio maana wataenda mahakamani. Na sio mara ya kwanza yeye kutoa maelekezo haya na baadae mahakama kupindua maelekezo hayo.

Kwa nchi za wenzetu wamepunguza madaraka ya Rais na pia vyombo vya sheria ni huru hivyo unaweza pata haki hata kama Rais hakupendi
 
Ohooo kumbe. !
 
Chawa na kiingereza ni vita, alichokifanya Trump ni kinyume na katiba hivyo atapelekwa mahakamani na mahakama vilivyo huru atashindwa kama ambavyo amri kadhaa alizozitoa nyuma hapo alipelekwa mahakamani na akashindwa na amri hizo kutenguliwa .

Sasa nikuulize hapo Tanzagiza Msigwa akipigiwa simu na bi Kidude kufungia gazeti au media ambayo imezungumza asichokipenda nani ataenda kupinga mahakamani na amri ikatenguliwa?

Nakuwekea hapa statement ya CNN kawapelekee maboss zako wakufanyie tafsiri chawa.
 
Maskini Larry Madowo sijui itakuaje 🐒

acheni upotoshaji, vyombo vya habari havijafungiwa USA na wala D.Trump hawezi kufanya hivyo kwanza hata huo uwezi sidhani kama anao, wamezuiwa kuripoti kutokea white house, hivyo ni vitu viwili tofauti, mwanahalisi imefungiwa kufanya kazi tanzagiza, politico, cnn & co. havijafungiwa popote USA.

wamezuiwa kuingia whitehouse na siyo kufungiwa ...

 
ok.
 
D.Trump said "i dont want them in my office ...", hapo hakuna aliyefungiwa, kuna tofauti na kufungiwa kwa mwanahalisi au jf na serikali ya tanzagiza ...
kaandika hivyo kwenye taarifa yake right? au umemlisha maneno yako tu gentleman?
 
Kwani chawa wana akili za kuelewa mambo madogo kama haya basi?
shida ni elimu zao mbali mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…