Kujifunza lugha na kuijua vizuri ni muhimu, ona sasa unapotosha kuhusu katazo kwa kutokujua vizuri kiingereza.
Ata wakienda mahakamani mkuu tayari inaonesha kua Marekani hakuna Demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari.Amekosea ndio maana wataenda mahakamani. Na sio mara ya kwanza yeye kutoa maelekezo haya na baadae mahakama kupindua maelekezo hayo.
Kwa nchi za wenzetu wamepunguza madaraka ya Rais na pia vyombo vya sheria ni huru hivyo unaweza pata haki hata kama Rais hakupendi
Unajua maana ya demokrasia? Uwepo wa mahakama huru ni kati ya misingi 11 ya demokrasia. Pia uhuru wa habari upo ndio maana hawajafungiwa.Ata wakienda mahakamani mkuu tayari inaonesha kua Marekani hakuna Demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari.
Mbona ni mle mle.. kwani mahakama azipo huruUnajua maana ya demokrasia? Uwepo wa mahakama huru ni kati ya misingi 11 ya demokrasia. Pia uhuru wa habari upo ndio maana hawajafungiwa.
Na katiba ya Marekani iliwekwa mahususi ili yakitokea maamuzi kama haya ya Trump basi kuwepo na namna ya kuya control.
Wanaharakati waliokimbilia huko nje ,hawana tofauti na mbwa wa kufuga walw mbwa wa kizungu ,wanalishwa na kupewa kila kitu bure.Watamburuza mahakamani Trump kwa kuvunja katiba muda si mrefu.
Here’s how CNN, Politico and MS NOW are responding to Trump’s White House ban
President Trump’s threat to ban three national news outlets from covering the White House is sparking rebuke from First Amendment advocates, elected Democrats and critics from across politics…thehill.com
Za marekani hazituhusu Nduguu Kila mtu apambane na hali yake
Pole sana Zack Abdul, si kosa lako. Elimu haina mwisho hivyo nakushauri uendelee kuitafuta. Wakati uko kwenye hiyo juhudi usiwasahau na washikaji wako Tlaatlaah, funaku, Tanganian
Hujui loloteMaskini Larry Madowo sijui itakuaje 🐒
Si wameziba masikioFree Free CNN ...Tupo hapa.....