Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Siasa ni matukio ya kila siku, itikadi , sera na mipango ya muda mrefu vyote kwa pamoja.Hamjambo!
Napenda wapigania haki. Hilo litabaki hivyo. Lakini nachukia ushabiki maandazi. Yaani uanaharakati wa kishabiki.
Siupendi kwa sababu unaulaghai na uongo mwingi sana. Na mtu mwongo kwa kweli hanivutii.
Ukiwa muongo uwe muongo mwenye Akili angalau.
Hawa wanaharakati uchwara hawana tofauti na machawa wa kiccm. Kina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah na magenge yao wote nawaona wapo sawa.
Mgomo wa madereva wa mabasi hauhusiani hata kidogo na mambo ya kisiasa. Lakini kuna wanaharakati uchwara wanahusisha siasa.
Maandamano ya hapo Mbeya hayapo kisiasa hata kidogo. Lakini kuna wanaharakati wanayahusisha na siasa. Ni tabia za ajabu na hovyo.
Hakuna tofauti yoyote na wale machawa ambao kila kitu kikifanikiwa hata kama hakihusiani na Siasa. Watamuingiza Rais Samia hapo kwamba ndio kafanya.
Kwa kweli sijajua kama ndio siasa zilivyo. Hilo sijajua. Na kama siasa ndio ziko hivyo basi mimi ni miongoni mwa watu ambao hatutaziweza.
Kujifyatua Akili mbele za watu na kuongopa waziwazi ni kipaji cha ajabu na hovyo sana.
Haya kuna wanaohamasisha watu kuandamana wiki ijayo October 29 mwaka huu kama sehemu ya kumbukumbu ya kilichotokea mwaka jana.
Sio tatizo. Tatizo ni pale unatumia uongo na matukio ya kilaghai ili kuipa nguvu na kuhamasisha watu katika siku hiyo.
Sipendi uhamasishaji wa kitapeli. Shawishi kiuadilifu.
Sema jamani watu tutoke siku fulani. Kuna moja, mbili, tatu. Hamasisha watu kwa kutumia Ukweli na Haki. Usidanganye.
Ule uongo wa kusema jeshi lipo upande wa wananchi mwaka jana uligharimu sana watu wengi. Uongo unaletaga majanga na Majuto.
Uongo unaleta mkumbo na watu kukurupuka.
Ukweli unaleta maamuzi ya kweli bila Maputo.
Tunapozungumzia uadilifu tunazungumzia haki, ukweli, wajibu na uwajibikaji.
Unapodanganya watu kuwapa moyo kiuongouongo huo ni uhuni. Hiyo ni dhulma.
Mfano unasema Fulani amekufa, au kapata stroke. Unaaminisha watu hivyo.
Ni bora hiyo taarifa iwe ya kweli.
Itawafurahisha wanaomchukia.
Lakini kudanganya unawaumiza mara mbili. Uongo unaumiza sana.
Wanaharakati uchwara muache kudhulumu hisia za watu wenu. Mnawafanyia uhuni we zenu.
Mnasema wanaonewa. Ni kweli wanaonewa lakini nanyi mnakuja kuwaonea zaidi.
Watu waambiwe Ukweli.
Kama huna taarifa ya uhakika na yakweli. Acha kuitoa. Acha utapeli. Acha uhuni.
Ukombozi hauletwi na watu matapeli, wahuni na waongo waongo. Hakunaga ukombozi wa namna hiyo. Watu waambiwe Ukweli.
Mtibeli napenda watu wakweli kwa sababu hao ndio watabadilisha sio tuu familia zao bali hata taifa lao.
Mimi bado nipo. Natazama.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Naunga mkonoUkombozi hauletwi na watu matapeli, wahuni na waongo waongo. Hakunaga ukombozi wa namna hiyo. Watu waambiwe Ukweli.
Gentleman,Hamjambo!

Naunga mkono hojaHamjambo!

Hah hah ngoja niongezee ni kama waraka wa WaefesoYaani mgomo tu ndo umeandika insha yote hiyo kama waraka wa mtume Paulo?
Gentleman,
ni vizuri kua na heshima walau kidogo tu dhidi ya wanasiasa waandamizi na wadau wote wa heshima humu jukwaani kuliko kuwavunjia heshima kwa makusudi ili kuwafurahisha waliokutuma na wanao kulipa, lakini pia si busara hata kidogo kuwadhalilisha na kutweza utu wao kupitia majina au maoni yao huru humu jukwaani ili kufurahisha chama chako na viongozi wako. Tunaweza kufanya siasa bila kuvunjiana heshima au kujaribu kujenga uadui au uhasama wa lazima ambao unaweza kuleta madhara yanayoweza kuwasikitisha na pengine kuwahuzunisha sana wadua wa jf, eti kwasababu tu ya kukosa agenda na hoja za kisiasa na kuhamia kvunjiana heshima na kudhalilishana. Hiyo kwangu ni siasa nonsense kabisa.
Gentleman,
Heshima ni kitu cha bure na si utumwa,
nadhani ni jambo la busara sana kutoa maoni au mawazo yako huru bila kuonyesha utovu wa nidhamu au wa kimaadili kwa viongozi wa wananchi waliomo humu jukwaani na itapendeza zaidi. Ni vizuri kufanya siasa kisayansi.
In fact,
nimesikitishwa sana dharau zako dhidi yangu binafsi, na kwakweli nimefedheheshwa sana na dhihaka zako dhidi yangu, familia yangu, chama changu, na dhidi ya wadau mabilimbali wa heshima humu jukwaani uliowaorodhesha kwa majina yao na kwa makusudi kabisa ya kuwadhalilisha wao na familia zao humu jukwaani. Sikutegemea kitu hiki kunitokea humu jukwaani, lakini nikiri tu, nimekubali kudhalilika, na asante kunidhalilisha kwa ustadi mkubwa sana, na ninahakika unaweza kua umepata malipo manono zaidi kutokana na hilo right, gentleman?
Aidha,
natangaza rasmi kukusamehe bure na bila masharti yoyote, ila nakusihi sana kutofanya hiyo nonsense tena dhidi ya wadau wengine wa heshima wa jf, ambao nachelea kueleza kwamba, huwenda hawataweza kuvumilia kudhalilishwa kiasi hiki hadarani, wala hawawezi kujibu kwa maneno udhalilishaji wa aina hii bali vitendo.
Let's love and respect each other gentleman
Mungu Ibariki Tanzania
kaka kumbe wewe bado sana kwenye ART OF WAR! hakuna VITA honest! whatever necessary to WIN ndio inayotakiwa.Hamjambo!
Napenda wapigania haki. Hilo litabaki hivyo. Lakini nachukia ushabiki maandazi. Yaani uanaharakati wa kishabiki.
Siupendi kwa sababu unaulaghai na uongo mwingi sana. Na mtu mwongo kwa kweli hanivutii.
Ukiwa muongo uwe muongo mwenye Akili angalau.
Hawa wanaharakati uchwara hawana tofauti na machawa wa kiccm. Kina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah na magenge yao wote nawaona wapo sawa.
Mgomo wa madereva wa mabasi hauhusiani hata kidogo na mambo ya kisiasa. Lakini kuna wanaharakati uchwara wanahusisha siasa.
Maandamano ya hapo Mbeya hayapo kisiasa hata kidogo. Lakini kuna wanaharakati wanayahusisha na siasa. Ni tabia za ajabu na hovyo.
Hakuna tofauti yoyote na wale machawa ambao kila kitu kikifanikiwa hata kama hakihusiani na Siasa. Watamuingiza Rais Samia hapo kwamba ndio kafanya.
Kwa kweli sijajua kama ndio siasa zilivyo. Hilo sijajua. Na kama siasa ndio ziko hivyo basi mimi ni miongoni mwa watu ambao hatutaziweza.
Kujifyatua Akili mbele za watu na kuongopa waziwazi ni kipaji cha ajabu na hovyo sana.
Haya kuna wanaohamasisha watu kuandamana wiki ijayo October 29 mwaka huu kama sehemu ya kumbukumbu ya kilichotokea mwaka jana.
Sio tatizo. Tatizo ni pale unatumia uongo na matukio ya kilaghai ili kuipa nguvu na kuhamasisha watu katika siku hiyo.
Sipendi uhamasishaji wa kitapeli. Shawishi kiuadilifu.
Sema jamani watu tutoke siku fulani. Kuna moja, mbili, tatu. Hamasisha watu kwa kutumia Ukweli na Haki. Usidanganye.
Ule uongo wa kusema jeshi lipo upande wa wananchi mwaka jana uligharimu sana watu wengi. Uongo unaletaga majanga na Majuto.
Uongo unaleta mkumbo na watu kukurupuka.
Ukweli unaleta maamuzi ya kweli bila Maputo.
Tunapozungumzia uadilifu tunazungumzia haki, ukweli, wajibu na uwajibikaji.
Unapodanganya watu kuwapa moyo kiuongouongo huo ni uhuni. Hiyo ni dhulma.
Mfano unasema Fulani amekufa, au kapata stroke. Unaaminisha watu hivyo.
Ni bora hiyo taarifa iwe ya kweli.
Itawafurahisha wanaomchukia.
Lakini kudanganya unawaumiza mara mbili. Uongo unaumiza sana.
Wanaharakati uchwara muache kudhulumu hisia za watu wenu. Mnawafanyia uhuni we zenu.
Mnasema wanaonewa. Ni kweli wanaonewa lakini nanyi mnakuja kuwaonea zaidi.
Watu waambiwe Ukweli.
Kama huna taarifa ya uhakika na yakweli. Acha kuitoa. Acha utapeli. Acha uhuni.
Ukombozi hauletwi na watu matapeli, wahuni na waongo waongo. Hakunaga ukombozi wa namna hiyo. Watu waambiwe Ukweli.
Mtibeli napenda watu wakweli kwa sababu hao ndio watabadilisha sio tuu familia zao bali hata taifa lao.
Mimi bado nipo. Natazama.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Heko.Hamjambo!

Hamjambo!

Heko.
Kasome kuhusu Psychological war fare halafu uje. Wakati vita ya Iran na Marekani imekolea, Kuna jengo Moja kule Georgia liliungua vyombo vya habari vya Iran na baadhi vya Tanzania vikadai ni kazi ya Iran kwamba amepenyeza mashushu ndani ya marekani. Ingawa iligundilika ni ajali ya kawaida ya moto. Hivyo wanaharakati wanacho fanya wanatumika psychological warfare hata kama wanajua wanachosema sio kweli.
kaka kumbe wewe bado sana kwenye ART OF WAR! hakuna VITA honest! whatever necessary to WIN ndio inayotakiwa.
kalaghabao kam aunafikiri akushinda VITA honestly! maan hata wanaokuongoza nao hawapo honest!