Wanaharakati wa kisiasa kurukia rukia matukio inanihuzunisha sana


Taarifa angalau ziwe nyingi ziwe za kweli za uongo ziwe chache sana. Yaani angalau ratio ya 3:7
 
Kwanza tukubaliane; kila kitu mizizi yake ni siasa.
Siasa mbovu ndo zimezalisha bodaboda, bajaji, machinga na madereva wanaoonewa kila siku!
Twende hivi tunavyoenda ipo siku vilio vitakolea kila sekta, kila kada, kila kitengo, kila idara, kila dini, kila dhehebu, kila chama!
Wanaharakati usiwalaumu... Walaumu zaidi wanaosababisha hayo matukio yanayogomewa na makundi ya wananchi!
 
Inasemekana Wewe na Pascal Mayala Ni Ma Chawa wa Makonda!!!!??
 
Erythrocyte njoo huku kuna mkeka unakuhusu na taarifa zako za umbeya za Maandamano ya Mbeya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…