Wanaharakati wa Tanzania walioko Kenya kurudishwa nchini

walifanya nn Octoba 29?
 
Mbona waliondoka kabla ya hiyo siku.
Sawa waliondoka kabla ya hiyo siku ili iweje tena? Kwa wenye utimamu tunaweza kujiuliza maswali mengi.Ila bora Pambalu amerudi tuijenge Tanzania nasio kuijenga Kenya .
 
Sawa waliondoka kabla ya hiyo siku ili iweje tena? Kwa wenye utimamu tunaweza kujiuliza maswali mengi.Ila bora Pambalu amerudi tuijenge Tanzania nasio kuijenga Kenya .
Hata wewe hujazuiwa kutoka hapa Tz, unaweza kwenda kokote kuishi, kwani kuijenga nchi hadi uwe hapa hapa? Hata aliyeko nje anaweza kuijenga kwa namna yoyote ile.
 
Kwani hao wakifa kuna tatzo?

Sifa kubwa ya wapambanaji ni kutoogopa kifo, sasa wanakimbia nn?

Maigizo walioelekezwa kufanya huko kenya yamebuma ee?

Nyumbu ni nyumbu tu=0
 
Hata wewe hujazuiwa kutoka hapa Tz, unaweza kwenda kokote kuishi, kwani kuijenga nchi hadi uwe hapa hapa? Hata aliyeko nje anaweza kuijenga kwa namna yoyote ile.
Ndugu mbona tunaelewana tu..acha warudi nyumbani kumenoga tuangalie ata AFCON pamoja.
 
Kwani kimataifa imekaaje?
 
Kaitoa kwa Chawa Dr Sizimizi twitter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…