gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Wananchi wasingetoka kwenda kufanya uhuni,uharamia,uhaini,ugaidi hakuna risasi ingefuatuliwa,ni simple logic tu,uchome miundombinu ya mwendokasi hata deni hatujamaliza kulipa halafu uachwe tu..kkqumaninna!Basi hapo unaona raha mwenyewee?? Anzeni kuwakamata Wale waliokua wanafyatua risasi kuua wana nchi.
Lol
Qumanina mwenyewe, wee mwehu nini? Hizo buku 8 mnazopewa, ndizo zinazowatoa fahamu? Wapo waliouawa wakiwa ndani kwao, wengine mabanda ya mpira, hayo unayoyasema walifanya mda gani?Wananchi wasingetoka kwenda kufanya uhuni,uharamia,uhaini,ugaidi hakuna risasi ingefuatuliwa,ni simple logic tu,uchome miundombinu ya mwendokasi hata deni hatujamaliza kulipa halafu uachwe tu..kkqumaninna!
Msingefanya uscenge wenu hakuna risasi ingefyatuliwa,so mnatakiwa kuchunwa ngozi Ili pasiwe na mbegu chafu tena mbeleniQumanina mwenyewe, wee mwehu nini? Hizo buku 8 mnazopewa, ndizo zinazowatoa fahamu? Wapo waliouawa wakiwa ndani kwao, wengine mabanda ya mpira, hayo unayoyasema walifanya mda gani?
Nyokooooo wee!
Mbegu chafu mnazo nyie wana laana, mnaoua wasio na hatia ili kulinda ulaji wa watu wachache na familia zao.Msingefanya uscenge wenu hakuna risasi ingefyatuliwa,so mnatakiwa kuchunwa ngozi Ili pasiwe na mbegu chafu tena mbeleni
Walioua wasio na hatia ni waliopanga na kuchochea uasi,vita haina machoMbegu chafu mnazo nyie wana laana, mnaoua wasio na hatia ili kulinda ulaji wa watu wachache na familia zao.
Mpuuzi wahedi wewe.
Ila ina nini? Mbona hizo risasi hazikuanza na hao wanaolindwa ulaji wao maana ndio wako karibu na wauaji, wakaenda mbali kwa wasio na hatia??Walioua wasio na hatia ni waliopanga na kuchochea uasi,vita haina macho
Wanaolindiwa ulaji,hivi nyi huwa mna akili kweli!?.. ulitaka wale wascenge waachwe wachome na kupora wapendavyo, hakuna risasi iliyolinda ulaji wa mtu bali nchi,mkirudia kitawakuta zaidi ya kileIla ina nini? Mbona hizo risasi hazikuanza na hao wanaolindwa ulaji wao maana ndio wako karibu na wauaji, wakaenda mbali kwa wasio na hatia??
Walikua wenzio, sio wewe, hujifunzi eeeh?? Uzuri ukizoea kula nyama za watu huachi, na kila mtu atafikiwa kwa wakati wake.Wanaolindiwa ulaji,hivi nyi huwa mna akili kweli!?.. ulitaka wale wascenge waachwe wachome na kupora wapendavyo, hakuna risasi iliyolinda ulaji wa mtu bali nchi,mkirudia kitawakuta zaidi ya kile
Haimaanishi wengine hawakufatwa, nimesema wapo waliouawa majumbani kwao, wapo waliokua wanaangalia mpira bandani, watoto wadogo wakicheza uwanjani, hao walifanya uhalifu mda gani?Kama watu walifuatwa vitandani mbona mimi na wewe hatukufa?
Mbona wengine hawadhuriwiWalikua wenzio, sio wewe, hujifunzi eeeh?? Uzuri ukizoea kula nyama za watu huachi, na kila mtu atafikiwa kwa wakati wake.
Hata Pole Pole alikua na jeuri na kiburi, majivuno haswaa, hadi kusorora wananchi, "mnaijua vieite" lakini yaliyompata imebaki historia.Mbona wengine hawadhuriwi
Alikua anatetea genge lake lirudi madarakani,kila kitu kina gharama yakeHata Pole Pole alikua na jeuri na kiburi, majivuno haswaa, hadi kusorora wananchi, "mnaijua vieite" lakini yaliyompata imebaki historia.
Jifunze hata kwa hilo tu.
Oooh hapo sasa, kumbe unajua kuna Magenge na watu wake? Sasa subiri Genge lako likitoka kushika usukani, ndipo utaelewa, na ndio maana nilikuambia, kila mtu atafikiwa kwa wakati wake, au wee Genge lako litakaa madarakani milele?Alikua anatetea genge lake lirudi madarakani,kila kitu kina gharama yake
Ukimtaja wewe inatosha.Mbona Nchimbi Humtaji?πππ
Mimi genge langu ni nchi, taifa la tzOooh hapo sasa, kumbe unajua kuna Magenge na watu wake? Sasa subiri Genge lako likitoka kushika usukani, ndipo utaelewa, na ndio maana nilikuambia, kila mtu atafikiwa kwa wakati wake, au wee Genge lako litakaa madarakani milele?
Mnaishi kwa theory sana, zitawatesa sana.sizijui details, lkn sidhani kama ni rahisi kiiihivyo kutimuliwa, nairobi kuna ofisi kuu ya un, dunia nzima kuna ofisi kuu 4 tu za un: new york, geneva, vienna na nairobi ...