Wanaharakati wakae mbali na taarifa za vifo vya viongozi vinahawaribia reputation.

Wanaharakati wakae mbali na taarifa za vifo vya viongozi vinahawaribia reputation.

You haven’t understood my perspective I’m afraid.
sawa mkuu

..Samia angetumia BILLION 200 kutafuta ushindi badala ya kuuwa watu wa RISASI.

..haiwezekani ushindi upatikane kwa kumwaga damu za watu wakati pesa za kuhonga zilikuwepo.

..Mama katuletea balaa na donda kubwa uzembe wake.

Cc Nguruvi3
kikubwa pande zote zimeona taswira kwa ukubwa wake
 
..Samia angetumia BILLION 200 kutafuta ushindi badala ya kuuwa watu wa RISASI.

..haiwezekani ushindi upatikane kwa kumwaga damu za watu wakati pesa za kuhonga zilikuwepo.

..Mama katuletea balaa na donda kubwa uzembe wake.

Cc Nguruvi3
Slogan ya “kula ccm, kura upinzani” haijawahi kuwaacha salama.

Kwani chaguzi zote si wamehonga na haikutosha ikabidi wapore?

Wewe unadhani nini kingebadilika hadi hongo peke yake ifanye kazi?

Waliyofanya October 29 2025 siyo sahihi na kuhonga pia siyo sahihi na wala isingekuwa sahihi.

Sahihi ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. That’s what she should’ve done.

Cc Chivundu
 
nipo natetea uhai za kizimkazi hapa 😁
Anha kumbe!

Wanaompinga, kuna wanyonge na wasiokuwa wanyonge.

Wale wasiokuwa wanyonge, mipango yao hatuifahamu, zaidi ya tetesi zinapokuja na mara nyingine mabandiko yenye “codes” kama yale ya britanicca na wengine…

Wale ambao ni wanyonge, wengi visasi vyao ni “wishful thinking” nk, hao wengi tumo nao humu kwenye kuchangia nyuzi.

Hao ndo unaowashangaa ni kwanini kila mara wanaamini na kufurahia hizo tetesi za kifo cha mkuu wa nchi.

Kwasababu ya unyonge wao na kutoweza kumfikia, ni kawaida kabisa kwa wao kuwa na wishful thinking na kufurahia lolote baya linalomhusu mkuu wa nchi hata kama ikitokea si kweli.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
ccm ingefanikiwa kumuweka mama pembeni 2025, ingepata nguvu na hata wengi wasingeona ubaya uliowazi wa ccm wa miaka mingi.

Kwasasa CCM wapo vizuri kuliko jana na juzi

Serikali yasasa inatekeleza ILani yake kwa Speed ya Umeme

Wewe kichwa chako kitakuwa kimezibwa na ile nyimbo ya k Aleluyaaaaa Samia must go Aleluyaaaaa

Ndiomana huwezi jua namna Wananchi wasasa wapo MOTO na Serikali yao pamoja na CCM yake ✍️
 
Kila mtu anataka kuwa wa kwanza ku break news
MUNGU WA WOTE SIO majini pekeyake
Ukiona bnadamu anamuombea mwenzake Kifo jua uyo ni Jini Pepo chafu
Tulisema Chuki baada ya muda ugeuka Pepo chafu Shetani

Rais hapati usingizi kwa kuangikia matatizo ya Watanzania wakuwemo familia zao zimebaki Tanzania
Lkn wao kutwa waomuombea kifo

Kwanini wasife wao kwanza Mashetani wakubwa!!!
 
Wanajazwa kwenye mfumo na wao wanajaa, kama vile hayana akili

Maria na yeye na utu uzima wake anasetiwa hovyo anajaa
 
Wakati wewe unamuombea kifo kupitia Chuki yako iliogeuka nakuwa

Pepo chafu Shetani

Kuna Watanzania milioni kadhaa wanamuombea Afya njema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan
Wenye kumuombea ni Wasafi mbele za MUNGU

Wanamuomba MUNGU kwa unyenyekevu mkubwa

Wakishukuru uwepo wa Rais wao kwani Tanzania ipo kwenye kilele cha Amani

Mitaa yote ya UPANGA kwamajibaba
Kwasasa Rais Dkt Samia hataki kusikia Barabara ya vumbi tena mitaaa yote %100 kunawekwa Lami
Maendeleo yanaendelea kwa Speed

napo
Kigambon kwasasa mitaani kunawekwa ZEGE za maana Kigambon nikama ilitelekezwa kwenye Miundombinu yake !!!

Chini ya kipenzi chetu Rais Dkt Samia Suluhu Hassan
Wakazi wa Kigambon wanaenda enjoy taratibu!!!

MASAKI yote tayali ni Lami mpya

Kinondoni imejengwa Ilala kunapendeza yani JIJI lote
limefikifiawa bado kuna vichaaa wanamuombea Mabaya RAIS wetu
Watakufa wao

Watanzania waanze kuwaombea Vifo wale wote Wabaya kwa maendeleo ya Tanzania!!

Kumuombea kifo Rais Dkt Samia ni sawa na kupinga maendeleo yetu kama Watanzania milioni 65+✍️
 
Kifo cha kipenzi cha Watanzania mtakisikia nyinyi mkiwa tayali kwenye Udongo

Fanyeni kazi kujiletea maendeleo yenu na Kaya zenu

kifo cha binadamu mwengine kamwe hakiwezi kukupa nafuu yoyote kwenye maisha yako

Nafuu kupatikana kwake ni kwa kufanya kazi kwa bidii sana kuwaheshimu wengine
Nawewe

utazikamata pesa za kutosha$$$$$$$

Sio kuombea watu VIFO fukuza Pepo chafu kichwani mwako utaendelea ndugu yangu✍️
 
Jiulize tu baada kufa rip JPM wewe umepata nini

Uyo mh Lissu ndio kwanza yupo Lupango mwaka na miezi 7 sasa

Kifo cha Binadamu mwengine hakiwezi kuwa Suluhu ya matatizo yako
wewe Mtanzania wakawaida
Utaishia kuchuma dhambi tu kushangilia kama Simba na YANGA lkn hakuna kitu utapata!!!

Na ukijichanganya ndio mambo yatakuwa Magumu kwako leo Lissu tumemuona Mahakamani kadai Usiku analala Popo
Lkn rip JPM kazikwa Kitambo tu

Tenda wema mwanzo mwisho punguza matumaini hewa ✍️
 
Anha kumbe!

Wanaompinga, kuna wanyonge na wasiokuwa wanyonge.

Wale wasiokuwa wanyonge, mipango yao hatuifahamu, zaidi ya tetesi zinapokuja na mara nyingine mabandiko yenye “codes” kama yale ya britanicca na wengine…

Wale ambao ni wanyonge, wengi visasi vyao ni “wishful thinking” nk, hao wengi tumo nao humu kwenye kuchangia nyuzi.

Hao ndo unaowashangaa ni kwanini kila mara wanaamini na kufurahia hizo tetesi za kifo cha mkuu wa nchi.

Kwasababu ya unyonge wao na kutoweza kumfikia, ni kawaida kabisa kwa wao kuwa na wishful thinking na kufurahia lolote baya linalomhusu mkuu wa nchi hata kama ikitokea si kweli.
kauli ya ya kwamba natetea uhai wa kizimkazi ni kauli ya kiutani tu kwenda kwa mdau

mkuu nimekusoma na kuelewa mtazamo wa wanaoshangilia hizi taarifa, na si jambo baya sana kwasababu kama unavyosema linawapa furaha.

lakini kuna wengine pia tuna mtazamo wa kua makini na kuepuka furaha ya muda mfupi, ndo maana husubiri uthibitisho
mwisho wa siku ni kila mtu anavyotazama
 
Kwasasa CCM wapo vizuri kuliko jana na juzi

Serikali yasasa inatekeleza ILani yake kwa Speed ya Umeme

Wewe kichwa chako kitakuwa kimezibwa na ile nyimbo ya k Aleluyaaaaa Samia must go Aleluyaaaaa

Ndiomana huwezi jua namna Wananchi wasasa wapo MOTO na Serikali yao pamoja na CCM yake ✍️
basi na wewe ni kipofu na kiziwi
 
Back
Top Bottom