Wanaharakati wakae mbali na taarifa za vifo vya viongozi vinahawaribia reputation.

insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results..
 
Chadema can do better mkuu, kwa platform waliyonayo na influence waliyonayo wanaweza fanya makubwa zaidi, mikakati yao iko poor, tunaweza sema hili hata wao wenyewe wameliona ndo maana wakamuweka Mbowe pembeni, --- hili ni jambo la maana sana kutokea lakini ujio wa TAL nao umeleta shida, lengo la kufika ikulu kwa haraka ndo matokeo yake yale 2025, (shida ninyi mnaona lawama pekee kwa ccm tu, effect ya chadema kwenye sakata lile hamuioni)
Kwa hiyo kwa maoni yako, sababu kuu ya wewe kuwaunga mkono CHADEMA ni kwa wao "CHADEMA kwenda Ikulu"?

How can CHADEMA "do better"; what "platform" are you talking about? It's as if you're completely alien to the conditions, difficult conditions under which they are working!
Huyo Lissu kuwa Gerezani, wewe huoni kabisa kwamba huo ni mpango uliotengenezwa maksudi kuwavurugia hiyo 'platform' unayoitangaza wewe.
Kwa hiyo hapa wewe tayari hukumu umeshawasilisha, au siyo?

Sasa ili isibaki tuwe tunazungushana humu JF bure, ninakuomba sana utueleze hayo makubwa zaidi wanayoweza kufanya, na hiyo mikakati isiyokuwa "poor" unayoifikiria wewe.
 
TAL kama alikua yupo tayari SSH aendelee beyond 2025 bila election ili tupitie mchakato huo wa mabadiliko ya kweli, alikua na shida gani kumuacha SSH ajipitishe in peace na tukaendelea na hiyo michakato. badala yake ni nini. Nilikuambia kipindi kile heri kuandamana Post Election kuliko siku ya uchaguzi , nikisema hivi unakuja sema nafurahia mauwaji, vipi vijana wachadema walikua wanahimiza watu , huoni hapa victims ni wananchi kwa ujumla wao na waliokua wanasubiri matokeo ya sakata lile ni CCM na CHADEMA mkuu --- mimi huu ndo msimamo wangu, na huku uraiani nilipo wanaonizunguka nawapa mtazamo huu na wanaanza kunipata mdogomdogo
AIIISEEE!
Huyu anayeandika haya ni wewe kweli, 'Lax'?
Inawezekana huko nyuma pengine sikuwa nakusoma na kukuelewa vizuri; kwa sababu ungekaribia kujieleza kama ulivyofanya hapa nisingehangaika kabisa na wewe humu JF.

"...shida gani kumuachia SSH ajipitishe in peace, na tukaendelea na hiyo michakato..." Unaweza kuandika haya, 'with a straight face' ukinilenga mimi nikuelewe unachozungumzia?
 
Mabwanyenye wapi hao unaowazungumzia !!!

Wale mnaowauzia madini, gas, na rasilimali zetu zote au ni wale mnaowapelekea bakuli kuomba misaada na kuisafisha Serikali kwa damu za 29/10/2025 ?
Huwa nawashangaa sana 😁😁 wao wakipokea hela na kuzitapanya hawawaiti mabwenyenye ila Sasa wakipokea wengine maneno lundoo binadamu tunashida kweli kweli
 
Wanaharakati, hivyo vyama vinavyojiita upinzani wa kweli wa kweli wafocus na practical solutions, Hii mimi nimefanya bado nafanya na nitaendeea kufanya na inafanya kazi, na naiona ina manufaa zaidi na ufanisi mkubwa.
Ndiyo, hivyo vyama sijui 19 vinavyofanya kazi ya kuikomboa Tanzania toka mikononi mwa waovu hawa wa CCM. Sasa nikupongeze zaidi kwa kujieleza kikamilifu kabisa na kueleweka.
Sitapoteza muda zaidi ya hapa baada ya kukuelewa vizuri.
 
mi naona tusubiri tu afe ndo tuanze shangilia, kushangilia hii iliyopo sasa ni sawa na kushangilia goli la kusawazisha ama la ushindi alafu VAR ije kulifuta , sidhani kama mtu atasema "aaah atleast nilifurahi" zaidi kuongeza machungu tu.

wewe Imagine Netanyahu baada ya uvumi wote kwamba kafa lakini yupo hai, unataka kusema wale waliopata faraja wakati wa uvumi wanaifurahia faraja ile wakati netanyahu bado anazurura ?
Wewe ingekuwa unazushiwa kifo na Watu wanafurahia ungejisikiaje?

Especially watu unaosema wamekuchagua kwa asilimia 98 uwaongoze?

Mfano wa Netanyahu wala hauna mantiki, kwani rumours za kifo chake zilifurahiwa na wa Israel kama ilivyokuwa kule Malawi?

Hata the late Maghufuli ilitokea hizo rumours lakini baadaye ikawa kweli.

Kutokana na ile situation ya Magu, watu bado wataendelea kuamini hizo rumours hadi watakapojitokeza tena.

Hakuna cha ajabu hapo. Wala hakuna machungu yoyote.

Maybe a bit of disappointments for many, but painful? Never that in my opinion.
 
Mara Kikwete mgonjwa, Mara Samia mgonjwa , Mara hatuko naye nk.

Taarifa kama hizi huenda zinavujishwa kwa maksudi kuwaharibia ila hawataki kujifunza, na zinarudiwa Mara nyingi nyingi kwa kutumia watu haohao still no lesson learned.

Ilianza ya Kikwete , hii nayo still hawajifunzi.

View attachment 3690102

..Upendo umepotea.

..Viongozi wanatamani kuwauwa wanaharakati.

..Na wanaharakati wanatamani viongozi wafe.
 
Kwa hiyo kwa maoni yako, sababu kuu ya wewe kuwaunga mkono CHADEMA ni kwa wao "CHADEMA kwenda Ikulu"?

How can CHADEMA "do better"; what "platform" are you talking about? It's as if you're completely alien to the conditions, difficult conditions under which they are working!
Huyo Lissu kuwa Gerezani, wewe huoni kabisa kwamba huo ni mpango uliotengenezwa maksudi kuwavurugia hiyo 'platform' unayoitangaza wewe.
Kwa hiyo hapa wewe tayari hukumu umeshawasilisha, au siyo?

Sasa ili isibaki tuwe tunazungushana humu JF bure, ninakuomba sana utueleze hayo makubwa zaidi wanayoweza kufanya, na hiyo mikakati isiyokuwa "poor" unayoifikiria wewe.
sina la kusema zaidi tuache muda ujidhihirishe wenyewe tu, wao wenyewe wakiamua kujitafakari watafanya hivyo

AIIISEEE!
Huyu anayeandika haya ni wewe kweli, 'Lax'?
Inawezekana huko nyuma pengine sikuwa nakusoma na kukuelewa vizuri; kwa sababu ungekaribia kujieleza kama ulivyofanya hapa nisingehangaika kabisa na wewe humu JF.

"...shida gani kumuachia SSH ajipitishe in peace, na tukaendelea na hiyo michakato..." Unaweza kuandika haya, 'with a straight face' ukinilenga mimi nikuelewe unachozungumzia?
uhalisia ndiyo huo niwe nimeandika niwe sijaandika haubadiliki, unanishangaa kwa kusema hivyo wakati samia yupo ikulu na gwaride alipigiwa na maafa yalitokea.
mtu aseme mbele kule kwenye mto kuna mamba usivuke , wewe useme lazima uvuke kuna mtu unaenda kumdai hela yako --- ukivuka na kujeruhiwa na mamba, mimi siwezi kua na kosa au ukatili kwakua nilikwambia ukivuka mamba atakujeruhi

uhalisia ndio huo,
 
Kukudharau kwangu ni sababu zilezile za siku zote kwa watu wanafiki kama ulivyojifunua mwenye bila ya aibu.

Samia yupo Ikulu kwa maumivu sana. Ungekuwa ni mtu mwenye busara ungemwonea huruma badala ya kumfanya aonekane yupo akifanya kazi muhimu mbali ya kuwapa faraja za muda mfupi watu kama wewe.
 
Wewe ingekuwa unazushiwa kifo na Watu wanafurahia ungejisikiaje?
mtu hafi kwa uvumi, hivyo nisingesikia chochote,

Especially watu unaosema wamekuchagua kwa asilimia 98 uwaongoze?
hii yeye mwenyewe alishachagua hayo maisha ya kuishi hivyo , mimi nachokataa waleta uvumi hewa kuwajaza watanzania matumaini hewa. Na timming hii ya makisio labda"eda" au majonzi ya mwenza wake kama anayo

Alivoibuka yule Tesha , kesho yake hakukua na kampeni , watu wakashangilia na kuhimizana kushangilia ushindi kwamba amekataliwa, na siku inayofuatia hakukua na kampeni watu wakaendelea kushangilia kwamba kawekwa chini ya ulinzi kampeni hazifanyiki tena.

Lakini kwenye kalenda ya kampeni (japo tarehe zilipishana , lakini mwenendo wa matukio ulikua unazingatiwa) , ilikua inaonesha kile kituo alichofanyia kampeni siku Tesha kaenda live baada ya pale kampeni za mgombea rais zitapumzika kwa siku mbili, na kweli siku ya tatu wakaendelea na kampeni. --- kwahiyo hata hii watu wasubiri tu kama kafa ni kafa tu tusubiri watangaze, sio unashangilia leo alafu wiki inayofata unamuona anazindua miradi
 
Kukudharau kwangu ni sababu zilezile za siku zote kwa watu wanafiki kama ulivyojifunua mwenye bila ya aibu.

Samia yupo Ikulu kwa maumivu sana. Ungekuwa ni mtu mwenye busara ungemwonea huruma badala ya kumfanya aonekane yupo akifanya kazi muhimu mbali ya kuwapa faraja za muda mfupi watu kama wewe.
sasa yeye kasema ataondoka ikulu 2030, mimi hata nikimuonea huruma haisaidii kitu, ni yeye ndo aliyoyataka madaraka ni yeye ndo alikua na ndoto kwamba Tanzania bado "haijachagua Rais mwanamke" akimaanisha yeye aliingia by default, sasa 2025 ndo tanzania iweke rekodi kwa kuchagua rais mwanamke. --- kwahiyo hapa yeye muda huu afanye tu hiyo kazi ya ikulu maana 2030 ni mbali kazi inabidi ifanyike.

suala la unafiki inategemea na mtazamo , hata mimi nawaona waliohimiza na kuchochea maandamano kufanyika siku ya uchaguzi, alafu maafa yametokea na wakawa mstari wa mbele kusikitikia maafa ni wanafiki vilevile.

kwamba mkuu wewe uliamini watu wakitoka tu road , samia anaenda zenji kwa amani? bila damu?
 
Yeye kasema. Wewe unajuwa nini juu ya alichosema.

Actually sasa hivi sihitaji tena kukusoma mkuu 'Lax' maadam nimekwishatambua kundi unalopambania.
Kwa hiyo hapo juu nimesoma hayo maneno tu ya mwanzo uliyoandika.
Sina muda tena wa kupoteza.
 
mtu hafi kwa uvumi, hivyo nisingesikia chochote,

hii yeye mwenyewe alishachagua hayo maisha ya kuishi hivyo , mimi nachokataa waleta uvumi hewa kuwajaza watanzania matumaini hewa. Na timming hii ya makisio labda"eda" au majonzi ya mwenza wake kama anayo

Alivoibuka yule Tesha , kesho yake hakukua na kampeni , watu wakashangilia na kuhimizana kushangilia ushindi kwamba amekataliwa, na siku inayofuatia hakukua na kampeni watu wakaendelea kushangilia kwamba kawekwa chini ya ulinzi kampeni hazifanyiki tena.

Lakini kwenye kalenda ya kampeni (japo tarehe zilipishana , lakini mwenendo wa matukio ulikua unazingatiwa) , ilikua inaonesha kile kituo alichofanyia kampeni siku Tesha kaenda live baada ya pale kampeni za mgombea rais zitapumzika kwa siku mbili, na kweli siku ya tatu wakaendelea na kampeni. --- kwahiyo hata hii watu wasubiri tu kama kafa ni kafa tu tusubiri watangaze, sio unashangilia leo alafu wiki inayofata unamuona anazindua miradi
You haven’t understood my perspective I’m afraid.
 
..Samia angetumia BILLION 200 kutafuta ushindi badala ya kuuwa watu wa RISASI.

..haiwezekani ushindi upatikane kwa kumwaga damu za watu wakati pesa za kuhonga zilikuwepo.

..Mama katuletea balaa na donda kubwa uzembe wake.

Cc Nguruvi3
 
Back
Top Bottom