Wanajeshi 60 wa Tanzania huko Afrika ya kati kurejeshwa nyumbani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

Aiseeeeee inasikitisha sana anyway God will rectify all these in his due time.(UFUNUO 21:3,4).
 
Hii ni dalili ya wanajeshii wetu kukosa nidhamu, itapelekea kutoshirikishwa katika operation za umoja wa Mataifa
 
Hii ni dalili ya wanajeshii wetu kukosa nidhamu, itapelekea kutoshirikishwa katika operation za umoja wa Mataifa
Watakosa fungu kwa uboya wa ovyo, wanawaharibia ndugu zetu wengine kwa upopoma wa kushindwa kutongoza.
 
Ni Kweli jeshi letu linasifika kwa utii,lkn Kwa Kanuni ya β€œSamaki mmoja akioza,wote wameoza,Lazima jeshi zima lilaumiwe.
 
Nidhamu mbovu acha warudi wajinga wajinga sana
 
Alafu watoto wakiwa kwenye pared au kwenye kazi wakirudi vyumbani wanakuta matranka yamevunjwa au kuunguzwa mpaka kufuli linajiachia, wanaibiwa vitu vyao na hakuna pakushtaki, kwa mazungumzo yao wanasema wanahisi wale wanaojitolea, kambi zinaulizi mwizi Nani hapo.
 
Sawa mkuu
Nalog off
 
jeshi la nchi za kiarabu misri algeria sudan uae kuweit yemen rusia saudia china korea wapi ulisikia jeshi la nchi hizi zinabaka wanawake?
Mkuuu ebu tutake radhi,,,visa vya huko vinafichwa waga hawasemi au kuweka wazi ila unyanyasaji wa kijinsia upo
 
Sio kwamba wanabaka directly Mzee..once ukitoka uku kwenda kulinda amani hutakiwi kufanya mapenzi na raia yeyote wa kule ata kama mmekubaliana inahesabika umebaka,ikijulikana au ukionwa tu kibarua huna tena uko Kwa taratibu zilivyo
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…