Wanajeshi 60 wa Tanzania huko Afrika ya kati kurejeshwa nyumbani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

Wanajeshi 60 wa Tanzania huko Afrika ya kati kurejeshwa nyumbani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

Hii ni dalili ya wanajeshii wetu kukosa nidhamu, itapelekea kutoshirikishwa katika operation za umoja wa Mataifa
 
Hii ni dalili ya wanajeshii wetu kukosa nidhamu, itapelekea kutoshirikishwa katika operation za umoja wa Mataifa
Watakosa fungu kwa uboya wa ovyo, wanawaharibia ndugu zetu wengine kwa upopoma wa kushindwa kutongoza.
 
Sasa unalituhumu jeshi zima kwa taifa chafu za baadhi ya askari ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]

Majeshi ya nchi zote duniani huwa yana askari wachache "vichwa vibovu".....huwa wanayafanya hayo....

Kuwabaini "vichwa vibovu" na kuwapa adhabu ni jambo la kawaida tu....

Nchi yetu inaaminiwa sana kwa utii wa askari wake [emoji120]

#SiempreJMT[emoji120]
Ni Kweli jeshi letu linasifika kwa utii,lkn Kwa Kanuni ya “Samaki mmoja akioza,wote wameoza,Lazima jeshi zima lilaumiwe.
 
Nidhamu mbovu acha warudi wajinga wajinga sana
 
na mjadara wetu wa jkt kunyanyasa watoto wa kike wale wa mujibu wa sheria uendelee, kuna ukweli hapa....jeshi likishakuwa la kujuana tayari uadilifu unapungua.... by the way wanajeshi siyo watumishi wa umma mikataba yao ya ajira isitishwe mara moja na wahukumiwe mara moja.
Alafu watoto wakiwa kwenye pared au kwenye kazi wakirudi vyumbani wanakuta matranka yamevunjwa au kuunguzwa mpaka kufuli linajiachia, wanaibiwa vitu vyao na hakuna pakushtaki, kwa mazungumzo yao wanasema wanahisi wale wanaojitolea, kambi zinaulizi mwizi Nani hapo.
 
Kasome kanuni za ulinzi wa Amani, chini ya UN, utaona mlinzi wa amani, haruhusiwi kufanya mapenzi hata kwa hiari na mtu anaemlinda, kufanya hivyo inahesabiwa umebaka.

Inachukuliwa umetumia shida zake kumrubuni, hivyo hairuhusiwi, kufanya mapenzi na unaemlinda, ni sawa kwa Tanzania, mtu mzima kufanya mapenzi na mtu ambae hajatiza miaka 18 hata kama alihiari, uhesabika umebaka.

Hivyo hao wanajeshi, ukute hao wanawake walihiari na kuhongwa wamehongwa, na kinachowakamatisha ni mimba.
Sawa mkuu
Nalog off
 
jeshi la nchi za kiarabu misri algeria sudan uae kuweit yemen rusia saudia china korea wapi ulisikia jeshi la nchi hizi zinabaka wanawake?
Mkuuu ebu tutake radhi,,,visa vya huko vinafichwa waga hawasemi au kuweka wazi ila unyanyasaji wa kijinsia upo
 
Sio kwamba wanabaka directly Mzee..once ukitoka uku kwenda kulinda amani hutakiwi kufanya mapenzi na raia yeyote wa kule ata kama mmekubaliana inahesabika umebaka,ikijulikana au ukionwa tu kibarua huna tena uko Kwa taratibu zilivyo
Fact
 
Back
Top Bottom