Wanajeshi wa Comoro wapo serious kweli ndio nini hiki kumdhalilisha Rais wetu?

Wanajeshi wa Comoro wapo serious kweli ndio nini hiki kumdhalilisha Rais wetu?

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Posts
2,649
Reaction score
6,485
Wamemdhalilisha Amiri Jeshi wetu na wala sio paredi la mapokezi ya kupokea viongozi. Askari , No dressing, mpangilio mbaya kwenye usimamaji yaani ni fedheha kwa kweli 🚮🚮🚮

1751792009426.jpg
 
Visiwa vya Comoro havina jeshi ( Full military force)

Ni nchi ndogo yenye uchumi mdogo.

Ilipokuwa na jeshi lilitumika vibaya hivyo kwa Sasa hawana jeshi isipokuwa wanatemea zaidi ulinzi kutoka kwa nchi rafiki kama Ufaransa na Tanzania
Jeshi wanalo ila mafunzo hafifu angalia jeshi la Benin huko ndo utangaa Rais aligawa sijui juice wale wale walinzi wake wakaanza kugombea pale pale Rais akaanza kufoka nyie acheni achenii🤣🤣🤣
 
Jeshi wanalo ila mafunzo hafifu angalia jeshi la Ben huko ndo utangaa Rais aligawa sijui juice wale wale walinzi wake wakaanza kugombea pale pale Rais akaanza kufoka nyie acheni achenii🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkuu umenichekesha sana.
Je yana ukwel haya usemayo???
 
Unaaambiwa anakuja mgeni KE, basi kinachukuliwa kikosi dhaifu ambacho hakijafuzu mazoezi kinapewa fursa😂, subiria nchi ya mgeni ijisifie kwamba kikosi Chao kizuri 🤣. Si mnapenda sifa basi acha vijana wasimame watakavyo wengine wawe wanacheka Cheka kwenye parade full burudani 😂😂
 
Jeshi wanalo ila mafunzo hafifu angalia jeshi la Ben huko ndo utangaa Rais aligawa sijui juice wale wale walinzi wake wakaanza kugombea pale pale Rais akaanza kufoka nyie acheni achenii🤣🤣🤣
Ben, Congo au?
 
Jeshi wanalo ila mafunzo hafifu angalia jeshi la Ben huko ndo utangaa Rais aligawa sijui juice wale wale walinzi wake wakaanza kugombea pale pale Rais akaanza kufoka nyie acheni achenii🤣🤣🤣
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom