spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Uyo Right marker umemuona?Bogi la gafla ilo 😂
Si ilibidi awe singee chomaaa
Uyo Right marker umemuona?Bogi la gafla ilo 😂
Umejua kunichekesha, mweeeeMbona kama ni watu tu waliochukuliwa mahali wakavalishwa mabuti makubwa makubwa....hawajakaa kijeshi kabisa
Lucas Mwashambwa 😂
Mbona mabuti over size afu machafu chafuWale ni nyoronyoro sn ndio maana waliomba msaada tz wa kuwafukuza waasi wao! Pia Wana madharau kwa wanawake!
Zanzibar askari polisi na Jwtz wanapelekwa kutokea bara japo baadhi ya wazanzibar wanarudishwa hukohuko kwao ila mafunzo wanapatia bara.Lol, hivi hawa wanatofauti na wale askari na wanajeshi wa Zanzibar? 😂
hatamie imenistua sana, guard of hanour badala ya kutumia riffle wana AK47, hii haijakaa poa kwa kweliDah! Pared Ina AK 47, sijui kama magazine zipo off loaded🤣
Wako na full jungle military uniform🤣🤣🤣
Hahaha aisee!!Jeshi wanalo ila mafunzo hafifu angalia jeshi la Benin huko ndo utangaa Rais aligawa sijui juice wale wale walinzi wake wakaanza kugombea pale pale Rais akaanza kufoka nyie acheni achenii🤣🤣🤣
Hao ndo warefuHiyo nchi ni ya mbili kimo au ?
Yaani kwa kweli, siku hizi kiwango cha ziara kimeshuka mno, kutoka kutembelea New York, Marekani hadi kwenye safari za visiwa vya Comoro? Haya maisha yanaenda kasi sana.Wamemdhalilisha Amiri Jeshi wetu na wala sio paredi la mapokezi ya kupokea viongozi. Askari , No dressing, mpangilio mbaya kwenye usimamaji yaani ni fedheha kwa kweli 🚮🚮🚮
View attachment 3396584
Kutoka kutembelea marekani hadi comoro.. kizimkazi hovyoWamemdhalilisha Amiri Jeshi wetu na wala sio paredi la mapokezi ya kupokea viongozi. Askari , No dressing, mpangilio mbaya kwenye usimamaji yaani ni fedheha kwa kweli 🚮🚮🚮
View attachment 3396584
marekani kufanya nini? acha ilimbukeniYaani kwa kweli, siku hizi kiwango cha ziara kimeshuka mno, kutoka kutembelea New York, Marekani hadi kwenye safari za visiwa vya Comoro? Haya maisha yanaenda kasi sana.
Huoni wenzake siku hizi wanapishana kwenye Oval Office!? Yeye bado yuko kwenye ziara za visiwa au anaogopa maswali ya ukweli huko White House? Hahahahamarekani kufanya nini? acha ilimbukeni
Daaa best comment ever hahahaJeshi wanalo ila mafunzo hafifu angalia jeshi la Benin huko ndo utangaa Rais aligawa sijui juice wale wale walinzi wake wakaanza kugombea pale pale Rais akaanza kufoka nyie acheni achenii🤣🤣🤣
Yaani kwa kweli, siku hizi kiwango cha ziara kimeshuka mno, kutoka kutembelea New York, Marekani hadi kwenye safari za visiwa vya Comoro? Haya maisha yanaenda kasi sana.
Mle kwenye Oval Office Trump hasikilizi taarab na mipasho na ana misifa kibao anashambulia nonstop kama Tyson, Kizimkazi atafia humo kwa preshaKutoka kutembelea marekani hadi comoro.. kizimkazi hovyo
😁Kuna wahuni hapo wamevaa viatu vya kufungia ndoaWamemdhalilisha Amiri Jeshi wetu na wala sio paredi la mapokezi ya kupokea viongozi. Askari , No dressing, mpangilio mbaya kwenye usimamaji yaani ni fedheha kwa kweli 🚮🚮🚮
View attachment 3396584
Mama kadhalilishwa unaenda ugenini alafu unakuta wenyeji hata ela ya Kula hawana .wanarushiana mpira.Point of correction:Wamejidharirusha wao hawajamdharirisha raisi wetu
Commoro ni nyumbani kwa Tz so ni kama katembelea mkoani tu wala isikushughulishe sana.
WalikuwepoCommoro ni nyumbani kwa Tz so ni kama katembelea mkoani tu wala isikushughulishe sana.
wewe nawe acha ulimbukeni, trump mwenyewe anaplan ya kwenda congo,Kutoka kutembelea marekani hadi comoro.. kizimkazi hovyo