Wanajeshi wa Comoro wapo serious kweli ndio nini hiki kumdhalilisha Rais wetu?

Wanajeshi wa Comoro wapo serious kweli ndio nini hiki kumdhalilisha Rais wetu?

Huoni wenzake siku hizi wanapishana kwenye Oval Office!? Yeye bado yuko kwenye ziara za visiwa au anaogopa maswali ya ukweli huko White House? Hahahaha
nani yuko marekani? wacha urongo, trump imebidi kuwafuata warabu dubai
 
Mkuu sikusema
Walikuwepo
Mkuu sikusema hawakuepo
Nimemaanisha hadhi ya Commoro si sawa na Tz.
Kwa lugha nyepesi Commoro & Zanzibar ni kama koloni la Tanganyika sijui kama unalijua hilo!
Siku moja tembelea bandarini utanielewa ninachomaanisha.
 
Visiwa vya Comoro havina jeshi ( Full military force)

Ni nchi ndogo yenye uchumi mdogo.

Ilipokuwa na jeshi lilitumika vibaya hivyo kwa Sasa hawana jeshi isipokuwa wanatemea zaidi ulinzi kutoka kwa nchi rafiki kama Ufaransa na Tanzania
Enzi za JK tuliwahi kuwasaidia kijeshi
 
Jeshi wanalo ila mafunzo hafifu angalia jeshi la Benin huko ndo utangaa Rais aligawa sijui juice wale wale walinzi wake wakaanza kugombea pale pale Rais akaanza kufoka nyie acheni achenii🤣🤣🤣
Hii ni kweli?!
 
Back
Top Bottom