Wanajeshi wa Comoro wapo serious kweli ndio nini hiki kumdhalilisha Rais wetu?

Wanajeshi wa Comoro wapo serious kweli ndio nini hiki kumdhalilisha Rais wetu?

Lol, hivi hawa wanatofauti na wale askari na wanajeshi wa Zanzibar? 😂
Mkuu hapo utakuwa unakosea sasa. Jeshi gani la Z'bar hilo? Kumbuka kuwa JWTZ inaopereti Tanzania bara na viziwani, polisi pia the same case labda jeshi la kujenga uchumi ndio wanajitegemea.
 
Wamemdhalilisha Amiri Jeshi wetu na wala sio paredi la mapokezi ya kupokea viongozi. Askari , No dressing, mpangilio mbaya kwenye usimamaji yaani ni fedheha kwa kweli 🚮🚮🚮

View attachment 3396584
Kwani kuna sheria inayosema majeshi yote duniani lazima yajipange kwa mtindo mmoja tu? Hata mbinu za kivita zinatofautiana kwa kila taifa. Tusiwe wepesi wa kuhukumu kile tusichokifahamu kwa undani. Heshima ya Amiri Jeshi haipimwi kwa mpangilio wa gwaride la dakika chache, bali kwa hekima ya uongozi, mamlaka aliyopewa, na kazi anayotekeleza kwa manufaa ya taifa lake.

"Uzuie ulimi wako usinene mabaya, na midomo yako isiseme hila." (Zaburi 34:13)
 
Hotuba nzito ya mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na mchango wa Tanzania kwa vyama vya ukombozi ikiwemo vya visiwa vya Comoro vilivyokuwa na makao yake Dar es Salaam ... :

6 July 2025
Moroni

50 ans d'indépendance : Mme la Presidente de Tanzanie Samia Suluhu Hassan


View: https://m.youtube.com/watch?v=MbroCRzBThw
 
Kwani kuna sheria inayosema majeshi yote duniani lazima yajipange kwa mtindo mmoja tu? Hata mbinu za kivita zinatofautiana kwa kila taifa. Tusiwe wepesi wa kuhukumu kile tusichokifahamu kwa undani. Heshima ya Amiri Jeshi haipimwi kwa mpangilio wa gwaride la dakika chache, bali kwa hekima ya uongozi, mamlaka aliyopewa, na kazi anayotekeleza kwa manufaa ya taifa lake.

"Uzuie ulimi wako usinene mabaya, na midomo yako isiseme hila." (Zaburi 34:13)
Halafu yule sio raisi wao ni WETU hivyo tunaopaswa kumheshimu ni sisi
 
Back
Top Bottom