Kelvin35
JF-Expert Member
- Feb 26, 2023
- 1,199
- 1,833
Wamemdhalilisha Amiri Jeshi wetu na wala sio paredi la mapokezi ya kupokea viongozi. Askari , No dressing, mpangilio mbaya kwenye usimamaji yaani ni fedheha kwa kweli
Wamemdhalilisha Amiri Jeshi wetu na wala sio paredi la mapokezi ya kupokea viongozi. Askari , No dressing, mpangilio mbaya kwenye usimamaji yaani ni fedheha kwa kweli
Hahaaa Comoro hakuna hiyo makitu mzee, utakesha macho wazi usiwaoneAuna picha za warembo wa commoro ?
Lucas atalia sana wamemdharau "jemedari komando"Mbona kama ni watu tu waliochukuliwa mahali wakavalishwa mabuti makubwa makubwa....hawajakaa kijeshi kabisa
Lucas Mwashambwa 😂
Kama ni hivi basi Tanzania tutembee vifua mbeleJeshi wanalo ila mafunzo hafifu angalia jeshi la Benin huko ndo utangaa Rais aligawa sijui juice wale wale walinzi wake wakaanza kugombea pale pale Rais akaanza kufoka nyie acheni achenii🤣🤣🤣
Wamuhimu mnamuona nyie, wengine wanamuona kituko tu.Wamemdhalilisha Amiri Jeshi wetu na wala sio paredi la mapokezi ya kupokea viongozi. Askari , No dressing, mpangilio mbaya kwenye usimamaji yaani ni fedheha kwa kweli 🚮🚮🚮
View attachment 3396584
Ahahaah! Hii ni uongo bhanaaJeshi wanalo ila mafunzo hafifu angalia jeshi la Benin huko ndo utangaa Rais aligawa sijui juice wale wale walinzi wake wakaanza kugombea pale pale Rais akaanza kufoka nyie acheni achenii🤣🤣🤣
Sijui nacheka nini ila hawa wajomba wametisha!Wamemdhalilisha Amiri Jeshi wetu na wala sio paredi la mapokezi ya kupokea viongozi. Askari , No dressing, mpangilio mbaya kwenye usimamaji yaani ni fedheha kwa kweli 🚮🚮🚮
View attachment 3396584
Maana kisiwa cha Mayotte wapo Wafaransa, na magharibi yao tupo sisi Tanzania tunawapa 'support'.Visiwa vya Comoro havina jeshi ( Full military force)
Ni nchi ndogo yenye uchumi mdogo.
Ilipokuwa na jeshi lilitumika vibaya hivyo kwa Sasa hawana jeshi isipokuwa wanatemea zaidi ulinzi kutoka kwa nchi rafiki kama Ufaransa na Tanzania
WameyatakaWamemdhalilisha Amiri Jeshi wetu na wala sio paredi la mapokezi ya kupokea viongozi. Askari , No dressing, mpangilio mbaya kwenye usimamaji yaani ni fedheha kwa kweli 🚮🚮🚮
View attachment 3396584
Jeshi la wanamaji na wana anga hiloMbona kama ni watu tu waliochukuliwa mahali wakavalishwa mabuti makubwa makubwa....hawajakaa kijeshi kabisa
Lucas Mwashambwa 😂
Bogi la gafla ilo 😂Utazani wamekurupushwa kutoka kwenye fatiki
KabisaWamefanya kulingana na uwezo wao
Tupia link mkuuJeshi wanalo ila mafunzo hafifu angalia jeshi la Benin huko ndo utangaa Rais aligawa sijui juice wale wale walinzi wake wakaanza kugombea pale pale Rais akaanza kufoka nyie acheni achenii🤣🤣🤣
Wale ni nyoronyoro sn ndio maana waliomba msaada tz wa kuwafukuza waasi wao! Pia Wana madharau kwa wanawake!Mbona kama ni watu tu waliochukuliwa mahali wakavalishwa mabuti makubwa makubwa....hawajakaa kijeshi kabisa
Lucas Mwashambwa 😂