Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,649
- 6,485
Commoro ni nyumbani kwa Tz so ni kama katembelea mkoani tu wala isikushughulishe sana.Utazani wamekurupushwa kutoka kwenye fatiki
Jeshi wanalo ila mafunzo hafifu angalia jeshi la Benin huko ndo utangaa Rais aligawa sijui juice wale wale walinzi wake wakaanza kugombea pale pale Rais akaanza kufoka nyie acheni achenii๐คฃ๐คฃ๐คฃVisiwa vya Comoro havina jeshi ( Full military force)
Ni nchi ndogo yenye uchumi mdogo.
Ilipokuwa na jeshi lilitumika vibaya hivyo kwa Sasa hawana jeshi isipokuwa wanatemea zaidi ulinzi kutoka kwa nchi rafiki kama Ufaransa na Tanzania
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Jeshi wanalo ila mafunzo hafifu angalia jeshi la Ben huko ndo utangaa Rais aligawa sijui juice wale wale walinzi wake wakaanza kugombea pale pale Rais akaanza kufoka nyie acheni achenii๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ben, Congo au?Jeshi wanalo ila mafunzo hafifu angalia jeshi la Ben huko ndo utangaa Rais aligawa sijui juice wale wale walinzi wake wakaanza kugombea pale pale Rais akaanza kufoka nyie acheni achenii๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐๐Mbona kama ni watu tu waliochukuliwa mahali wakavalishwa mabuti makubwa makubwa....hawajakaa kijeshi kabisa
Lucas Mwashambwa ๐
๐๐๐๐Jeshi wanalo ila mafunzo hafifu angalia jeshi la Ben huko ndo utangaa Rais aligawa sijui juice wale wale walinzi wake wakaanza kugombea pale pale Rais akaanza kufoka nyie acheni achenii๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kweli mkuuu ni Benin huko๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Mkuu umenichekesha sana.
Je yana ukwel haya usemayo???