Wanajeshi wa Comoro wapo serious kweli ndio nini hiki kumdhalilisha Rais wetu?

Wamemdhalilisha Amiri Jeshi wetu na wala sio paredi la mapokezi ya kupokea viongozi. Askari , No dressing, mpangilio mbaya kwenye usimamaji yaani ni fedheha kwa kweli 🚮🚮🚮

View attachment 3396584
Wamuhimu mnamuona nyie, wengine wanamuona kituko tu.

Hao ni mgambo wa jiji wamekusanywa🤣🤣🤣
 
Makomandoo wako chimbo wanakula tiz sio kuuza sura kwa wanasiasa kama maaskari wetu wa bongo
 
Visiwa vya Comoro havina jeshi ( Full military force)

Ni nchi ndogo yenye uchumi mdogo.

Ilipokuwa na jeshi lilitumika vibaya hivyo kwa Sasa hawana jeshi isipokuwa wanatemea zaidi ulinzi kutoka kwa nchi rafiki kama Ufaransa na Tanzania
Maana kisiwa cha Mayotte wapo Wafaransa, na magharibi yao tupo sisi Tanzania tunawapa 'support'.
 
Jeshi wanalo ila mafunzo hafifu angalia jeshi la Benin huko ndo utangaa Rais aligawa sijui juice wale wale walinzi wake wakaanza kugombea pale pale Rais akaanza kufoka nyie acheni achenii🤣🤣🤣
Tupia link mkuu
 
Nikikusanya wahuni bus mbili tunaweza kwenda kupindua hiyo nchi tutakaa sisi madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…