Wanajeshi wa Israel wanazidi kuuliwa huko Gaza

Wanaukumbi.

⚡️Habari za asubuhi, wote hawa wamuliwa huko Kaskazini mwa Gaza.

🔻Sajini Orr Katz, umri wa miaka 20.

🔻Sgt. Nave Yair Asulin, umri wa miaka 21.

🔻Sajini Gary Lalhruaikima Zolat, umri wa miaka 21.

🔻Sajini Ofir Eliyahu, umri wa miaka 20.

View: https://x.com/suppressednws/status/1856194763201929559?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wakiripotiwa Hamas waliouawa tutajaza server. Huwa tunaamua ku summarize tu kwa kusema Israel imeua wanawake na watoto
 
Wakati huo huo, ikiwa kama Hamas wemejenga ngome zao chini ya ardhi pale Kariakoo, na chini ya Hospitali ya Muhimbili, wewe ukiwa ni IDF ungefanyaje?
Yaani unaua raia wa kawaida kwa kusingizia wamejificha magaidi nyuma yao!
Yaani nyie akili zenu mnazijua wenyewe
...sifa za magaidi ni kuua ovyo na ndio kitu IDF inafanya inaua raia ovyo ila
Mngekua mna sali huku mnafungua macho walau mngeona
 
Kwa sababu ya unafiq wa wa magharibi
Mojawapo ya tatizo mlilonalo ndugu zangu watukufu waislamu, ni double standards.

Ukiamua kusimamia haki, simamia haki, bila kujali ni nani.

Mnatakiwa muwe kama Julius Nyerere. Nyerere mnamchukia waislamu lakini ni mtu aliesimamia haki bila kujali dini, kabila wala taifa.

Nyerere Mkatoliki alipigania haki ya wapalestina waislamu, na kuwapinga wahayudi, waanzilishi wa ukatoliki.

Inashangaza kuona waislamu wanashabikia ubabe wa urusi dhidi ya Ukraine, bila kujua kuwa ni ubabe huohuo ndio unafanywa na wayahudi kule Gaza.

Unaposema unafiki wa wamagharibi, ni unafiki upi?
Ukitetea haki za wapalestina, ni lazima pia utetee haki za kuishi za wayahudi, hiyo ndiyo haki.

Huwezi kutetea haki za wapalestina, hapo hapo unamtetea Iran anaelilia kufutwa kwa taifa la wayahudi. Hiyo ni double standard, ni ujima, ni UJINGA!

Wapalestina na Wayahudi wote ni binadamu, wanatakiwa kuwepo, wanatakiwa kuishi.

Tukirudi tena Ukraine, mambo sasa yanaenda kubadilika, Ukraine inaenda kutolewa kafara, kwa manufaa ya urafiki wa Putin na Trump. Hiyo ni rushwa kwa Putin ili aache kukingia kifua mahasimu wa Trump, ikiwemo Iran, Urusi sasa inaenda kukaa pembeni na kuiacha US ifanye itakacho juu ya Iran.

Na mimi siwezi kiutetea Iran kwa sababu Iran inadhamini makundi yote yanayosababisha vita mashariki ya kati.

Dola ya kidini ya Iran ndiyo inawadhamini Hezbollah, inawadhamini Hamas na ndio inawadhamini waasi wa Houth kule Yemen.

Ni Iran hiyo hiyo ndio inawadhamini waasi wa Kikurdi wanaoleta shida kule Iraq.

Iran angekuwa na uwezo wa kuifuta Israel angeifuta, kisha angewafuta wote wasio waislamu na baada ya hapo angewafuta waislamu wote wasio wa dhehebu la shia.

Ni uhakika kabisa kwamba Ayatolla wa Iran asingeishia kuwafuta waislamu wasio washia tu, angewafuta na washia wanaopinga baadhi ya doctrines!

Kwa mtu mpenda haki, kwa nini ushabikie utawala wa aina hiyo?

Ni kama kumshabikia Paulo Kagame, ili hali unajua kabisa kuwa ndiye anadhamini makundi ya silaha kule DRC yanayotishia usalama wa Afrika mashariki.

Hii aione Ritz na Webabu , kipenzi changu FaizaFoxy ni mfia dini kiasi kwamba hata akiiona haiwezi kusaidia.
 
Wewe punguani kweli unamsifia Nyerere😀
 
Wewe punguani kweli unamsifia Nyerere😀
Wewe humsifii?

Nyerere ndio muanzilishi wa kutetea haki za wapalestina unaowalilia kila siku.

Ulitaka hadi afanyeje?
Ulitaka hadi avae mabomu akajilipue mbele ya msikiti wa Al Aqsa akiwalilia wapalestina ndio umsifie?

Au kwenu nyie watukufu waislamu kutambua mchango wa mtu ni hadi awe muislamu tu?
 
Usiwe punguani dunia nzima wapo na Palestina ni Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya ndiyo wapo na israel, eti Nyerere ndiyo muanzilishi aliazisha lini na wapi?

Wapestina wameaza kuporwa ardhi yao mazayuni 1948 watu wanawatetea mwaka huo Nyerere sijui yupo Butiama.

Wadanganye mapunguani wenzako ambao hawajui lolote.
 
Umeng'ang'ania kusema tu punguani!

Mwaka 1948 Nyerere alikuwa na miaka mingapi?

Unajua Nyerere alianza harakati mwaka gani?

Hivi unafikiri Umoja wa Afrika hadi wamepitisha azimio la kujenga sanamu la Nyerere Addis ababa kumuenzi ni mapunguani kama unavyoniita mimi?

Sikia nikuambie, Nyerere ndio ameshape mtazamo wa bara zima la Afrika juu ya kinachoendelea huko palestina.

Nyerere ndio kinara wa kuongoza mapambano ya kupinga ubeberu Afrika na dunia nzima. Ndio amewasaidia akina Mandela, Machel na akina Ben Bella wa Algeria na wengine wengi kukomboa nchi zao.

Ukienda Cuba, China na Urusi na sehemu zingine nyingi duniani kuna masanamu ya kumuenzi Julius Nyerere.

Kiongozi mwanzilishi wa wapalestina Yasser Arafat alikuwa ni rafiki wa Nyerere na wamekuwa pamoja kupigania haki za wapalestina kiasi kwamba Nyerere aligoma kabisa hadi kifo chake, kuweka ubalozi wa Israel Tanzania.

Nyerere ni kiongozi pekee toka Afrika alietoa hotuba kali umoja wa mataifa kushinikiza kutambuliwa kwa taifa huru la wapalestina!

Enyi watukufu waislamu wa Tanzania, ni nani aliewaroga, hadi mumuchukie mwalimu, na kushindwa kutambua harakati zake za kupigania waislamu, hasa wale wa Palestina?

Ifike sehemu muone aibu.
 
Wewe kawaeleze wajinga hizo story za Nyerere, nakapa darasa Nyerere kaja Dar es Salaam. Mwaka 1954 Tanzania wamepata uhuru mwaka 1961, Wapalestina wameanza kuporwa ardhi zao kuanzia Mwaka 1948. Nyerere wako ana miaka 26,

Etti . mwanzilishi wa wapalestina
Yasser Arafat😀
 
Mojawapo ya tatizo mlilonalo ndugu zangu watukufu waislamu, ni double standards.

Ukiamua kusimamia haki, simamia haki, bila kujali ni nani.

Mnatakiwa muwe kama Julius Nyerere. Nyerere mnamchukia waislamu lakini ni mtu aliesimamia haki bila kujali dini, kabila wala taifa.

Nyerere Mkatoliki alipigania haki ya wapalestina waislamu, na kuwapinga wahayudi, waanzilishi wa ukatoliki.

Inashangaza kuona waislamu wanashabikia ubabe wa urusi dhidi ya Ukraine, bila kujua kuwa ni ubabe huohuo ndio unafanywa na wayahudi kule Gaza.

Unaposema unafiki wa wamagharibi, ni unafiki upi?
Ukitetea haki za wapalestina, ni lazima pia utetee haki za kuishi za wayahudi, hiyo ndiyo haki.

Huwezi kutetea haki za wapalestina, hapo hapo unamtetea Iran anaelilia kufutwa kwa taifa la wayahudi. Hiyo ni double standard, ni ujima, ni UJINGA!

Wapalestina na Wayahudi wote ni binadamu, wanatakiwa kuwepo, wanatakiwa kuishi.

Tukirudi tena Ukraine, mambo sasa yanaenda kubadilika, Ukraine inaenda kutolewa kafara, kwa manufaa ya urafiki wa Putin na Trump. Hiyo ni rushwa kwa Putin ili aache kukingia kifua mahasimu wa Trump, ikiwemo Iran, Urusi sasa inaenda kukaa pembeni na kuiacha US ifanye itakacho juu ya Iran.

Na mimi siwezi kiutetea Iran kwa sababu Iran inadhamini makundi yote yanayosababisha vita mashariki ya kati.

Dola ya kidini ya Iran ndiyo inawadhamini Hezbollah, inawadhamini Hamas na ndio inawadhamini waasi wa Houth kule Yemen.

Ni Iran hiyo hiyo ndio inawadhamini waasi wa Kikurdi wanaoleta shida kule Iraq.

Iran angekuwa na uwezo wa kuifuta Israel angeifuta, kisha angewafuta wote wasio waislamu na baada ya hapo angewafuta waislamu wote wasio wa dhehebu la shia.

Ni uhakika kabisa kwamba Ayatolla wa Iran asingeishia kuwafuta waislamu wasio washia tu, angewafuta na washia wanaopinga baadhi ya doctrines!

Kwa mtu mpenda haki, kwa nini ushabikie utawala wa aina hiyo?

Ni kama kumshabikia Paulo Kagame, ili hali unajua kabisa kuwa ndiye anadhamini makundi ya silaha kule DRC yanayotishia usalama wa Afrika mashariki.

Hii aione Ritz na Webabu , kipenzi changu FaizaFoxy ni mfia dini kiasi kwamba hata akiiona haiwezi kusaidia.
Nyerere sio wakumsifia hata kidogo yule muuaji mdini na mbaguzi pia Iran kupigwa na marekani kisa marekani kupatana na Russia hilo sahau sababu usalama wa Iran hauitegemei Russia na Iran analijua hili sababu kuna muda Russia inagoma ama kuchelewesha deals za silaha za Iran jengine kama Iran inataka kuwafuta wasio waislam ama wasio Shia ingeanza sasa unadhani wangeamua wange ama wanashindwa ila sio sehemu ya sera zao pia marekani na Russia wote wauaji na waizi marekani anakalia sehemu za Mexico Cuba nk anapata wapi uhalali wa kujifanya anailinda Ukraine hayo makundi uloyataja Yana kila haki sababu ya kuungwa mkono sababu yanapambania haki zao aloharibu amani mashariki ya kati ikiwemo huko uliko taja ni Marekani na shoga zake mwisho wazayuni wanatakiwa wafutwe kama haki ya kuishi warudi walipokua wanaishi kabla ya mwaka 48 ukivamia sehemu ya watu ukaimiliki kwa miaka hata af tatu hio sehemu haibadiliki kua yako na inatakiwa ikipatikana fursa ya kufukuzwa ufukuzwe kweli iran kama anauwezo wa kuifuta israhell ni jambo jema na zuri nalakuungwa mkono
 
Kuliko wavaa pampers
Ndiyo maana wavaa kobazi hata elimu dunia hawaitaki eti mudi kawaambia elimu ahera ndiyo nzuri wakati wako dunian. Huwa napata wakati mgumu sana kuamini kuwa Assad ni mvaa kobazi, maana yuko tofauti kabisa na the rest. Eti mtapewa mabikra 72 pindi mkifa 😂😂😂😂😂😂😂. Alafu mnaamin pamoja na mito ya pombe na maziwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kobazi mjitafakari kwa kweli maana chanzo cha matatizo dunian ni nyie
 
Wazayuni wenzako wengine washafyekwa huko na hizbullah ila wazayuni wamepunguza idadi wamesema saba tu ila sii haba
Sasa hivi niko hapa naangalialia Aljazeera TV jinsi Iron Zion inavyotembeza Dozi.
 
Back
Top Bottom