Wanajeshi wa Israel wapo Gaza mjini kati sasa

Wanajeshi wa Israel wapo Gaza mjini kati sasa

Aoone, Faiza Fox, Alwaz, nk. Hawa Hamas wa Tanzania hivi walisemaje vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lkn kwa taarifa zao za uongo duh, akikuletea taarifa hao Hamas wz bongo aise unahisi si hapa Hamas wameshinda asbh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wana Mtindo WA kuweka video games! [emoji15][emoji12]
 
Itafika ni swala la mda tu

kwa sababu imefika huku

1699508430982.jpeg
 
Kwani anayeletewa manowari na midege ya silaha inakuwa vipi hajazidiwa? Angaliomba hiyo misaada na pesa ?
Mkuu toka 1967 umeona wapi wayahudi wakazidiwa na waarabu ambao Allah kawaambia mkimaliza kuua wayahudi mnawageukia wakrsto
 
Hayo mbona yako siku zote au hujui kuwa Gaza imezingirwa hata kabla Oktober 7 ?

Hii ni Nakba nyingine......It was a great miscalculation.....Labda walitegemea Iran, na Waarabu wengine wataingia....Bila kujua Iran haiko kwenye position ya ku fight direct confrontation na US kwa sasa hivi.....mpaka iwe na Nuke bombs za kutosha, huko mbeleni maybe......Kwa sasa ni hivi ni kutegemea Maandamano tu....tena kutoka Western world...
 
Tatizo huelewi hali ya Occupation , tuulize sisi wazanzibari
 
Back
Top Bottom