cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Tatizo huelewi hali ya Occupation , tuulize sisi wazanzibari
Jagina.....nani kamkalia mwenzie......hiyo ni topic nyingine mkuu.....Kwa nini msifanye referendum?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo huelewi hali ya Occupation , tuulize sisi wazanzibari
Hii ni nchi ya waisalmu 99%. Ona ndugu zako wanavyofanya kwa watanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=YvidiFZ1nbo
Jagina.....nani kamkalia mwenzie......hiyo ni topic nyingine mkuu.....Kwa nini msifanye referendum?
Hujui Occupier mkubwa ni Hamas......Gaza ina bunge lake....serikali yake.....Polisi wake....toka 2005....au hujui hilo Jagina?
Wacha kutuletea watu wamejifunika mnawalipa kupakazia ili kuwafanya wengine wasipate riziki , wayahudi nyinyi
View: https://www.youtube.com/watch?v=pWlEcWX2ihU
View: https://www.youtube.com/watch?v=fjn_asqxatk
Najua sana.....lakini huko sio kwao........Kwao ni hapo hapo......Kihistoria wana sababu ya kuwepo walipo kama Wapelistina.....
Ukiisoma Quran imeandikwa kwa kiarabu unajua ni watu wema sana.
Zanzibar revolution ilikuwa inahusu? Km walikuwa wema mbona mliwatimua?
Ndiyo ujue maarabu hawafai. Sudan wanaua watu ovyo tena ni maislamu 100%