KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Wacha siasa leta hapa tuone, hao jamaa kidogo wenyu walifunzwa tandem jumps hapo diani, badala matusi, leta hapa paratroopers wenyu tujionee, wakenya hii hapa if you want more nitakuleteaHumo kichwani mwako mmejaa funza, unabadilika badilika mara ushike majani mara uvunje njiti kama mtoto wa kike akitongozwa, stiki kwenye ulichokileta na sio kubadilika badilika.
Jamaa mmoja mmemshangilia nikama malaika[emoji23][emoji23] tanzania hamna paratroopersHaya ndio majibu. Haya majibu yenye ushahidi kabisa,huyu jamaa asipoenda kujinyonga mtaniambia
๐๐ Mwanajeshi anaiba biskuti pale Westgate ๐๐Tanzania hamna paratroopers
Narudia tanzania hamna paratroopers [emoji23][emoji23][emoji1][emoji1] Mwanajeshi anaiba biskuti pale Westgate [emoji1][emoji1]
๐๐ Na hatuna wanajeshi waiba biskuti kwny malls.Narudia tanzania hamna paratroopers [emoji23][emoji23]
Ukweli wa askari anayetegemewa na nchi kuiba mikate na maji?Unalia juu ya ukweli
Sasa huyu mtu mmoja ataenda vitani pekee yake? Halafu kaanguka chini chali. Hajui kuland.Namna mnahangaika na Tanzania, hivi kumbe inawawasha sana?
Angalia hiyo then mwaka gani utajua mwenyewe!
Na sio mwaka huu.
Hawa wa kamba wanaochukua dakika tano kujifunga kwa kamba kabla ya kuvutwa kama magunia ya mahindi ndio target rahisi, wanaweza fagiliwa na machine gun kwa sekunde kumi tu.Kwa ushukaji huu wa kutumia miavuli unapigwa faster sana.
Hata wale walioshuka juzi na Kamba bado kidogo
Daaaahhh.Sasa huyu mtu mmoja ataenda vitani pekee yake? Halafu kaanguka chini chali. Hajui kuland.
Hawa wa kamba wanaochukua dakika tano kujifunga kwa kamba kabla ya kuvutwa kama magunia ya mahindi ndio target rahisi, wanaweza fagiliwa na machine gun kwa sekunde kumi tu.
Ni kwasababu hamna helicopter capable ya kubeba wanajeshi wote hao halafu ile ya kushuka na kamba ni rescue operation jua kutofautisha mamboKuruka kwa miavuli ni ngumu sana na inahitaji ustadi na ueledi wa hali ya juu. Wanajeshi hawa wamepata mafunzo ya hali ya juu ili kuweza kuruka kwa miavuli na kunyemelea adui nyakati za usiku. Hawa hawafungwi na kamba na kuvurutwa na helicopter kama watu wengine.
Kuna siku waliwahi kufanya hiki wakati wa JK, hadi JK mwenyewe akakoshwa vibaya sana na kuwaomba waende waka-"shake hands" naye baada ya kuwa wameshuka. Hili nalo walishafanya, tena walifanya kali zaidi kuzidi hiki ulichoonyesha wewe hapa.Kuruka kwa miavuli ni ngumu sana na inahitaji ustadi na ueledi wa hali ya juu. Wanajeshi hawa wamepata mafunzo ya hali ya juu ili kuweza kuruka kwa miavuli na kunyemelea adui nyakati za usiku. Hawa hawafungwi na kamba na kuvurutwa na helicopter kama watu wengine.
Hii kitu nimeisikia kwa mbali sanaDaaaahhh.
Leo tunaaga makomandoo 6 waliofyekwa na wazee wa kazi huko northern Moqambique
Hizo ni kazi za gsu Reece squadNi kwasababu hamna helicopter capable ya kubeba wanajeshi wote hao halafu ile ya kushuka na kamba ni rescue operation jua kutofautisha mambo
๐๐๐๐duuh tangu nizaliwe sijawi kuwaza wakenya mpo na ushamba wa kiasi hiki yani mnajivunia askali wa miamvuli teknolojia tangu vita vya dunia ambayo siku hizi ni michezo kwa raia wa kawaida na usichokijua hata wewe unaweza kujifunza ndani ya wiki mbili tu umemastaSasa huyu mtu mmoja ataenda vitani pekee yake? Halafu kaanguka chini chali. Hajui kuland.
Hawa wa kamba wanaochukua dakika tano kujifunga kwa kamba kabla ya kuvutwa kama magunia ya mahindi ndio target rahisi, wanaweza fagiliwa na machine gun kwa sekunde kumi tu.
Skia huyu, leta ushahidi mkona paratroopers, mambo ya kushuka kwa helicopter ni kitu kidogo sana, skydiving si mchezoKuna siku waliwahi kufanya hiki wakati wa JK, hadi JK mwenyewe akakoshwa vibaya sana na kuwaomba waende waka-"shake hands" naye baada ya kuwa wameshuka. Hili nalo walishafanya, tena walifanya kali zaidi kuzidi hiki ulichoonyesha wewe hapa.
By the way, mimi kama layman niulize swali; lipi ni zoezi hatari zaidi kufanya kati ya komandoo kushuka kwa mwavuli na kushuka kwa kamba akitokea juu kwenye helicopter?
Zoezi la kushuka kwa kamba siyo la kivita, ni la uokoaji!Unamnyemelea adui wakati wameletw na helcopter. Huyo adui atakuwa muuza bhange wa Nakuru.