Wanajeshi wa Tanzania takribani 2000 walifyekwa na majeshi ya Idd Amin; huo ndio ulikuwa mwanzo wa vita ya Kagera

Hakuna snema halisi 100%
Acha utoto
La waparestina nakuunha mkono
mmh mkuu hata documentaly za vita nazo waziona si halisi 100% kumbuka kuna maigizo na documentaly always huwa ni fact tupu sizungumzii sinema za kina rambo mimi so utoto wangu na wako tukiweka vipimo nani sijui ataonekana mtoto
 
Respond the matters with the facts na sio porojo. Ukweli wa vita hii waulizie watu wa Kagera, especially Wilaya ya Missenyi ndo watawapa ukweli wa vita hii. sio kwamba kila kitu kilikuwa disclosed na ushindi haukuja da way wanavyouongelea.
So umeenda offpoint kabisa kuhusu vita ati waulizwe watu wa Kagera? wadhania hiyo vita imepigwa Kagera peke yake unaonesha u mweupe kichwani na huwezi simama kwenye debate yeyote ile humu jf... yaani kama umesoma basi uliishia njiani.
 
Ukwel mtupu kuna mzee alkuwa yuko mizinga uwa tunamuita mzee wa 130 (one thirty) akilewa uwa anasmulia visa vya kutisha sana, kidogo auwawe kwa mtutu na kamanda wa kikosi chake, anadai kuna siku vita imechachamaa hasa utekaji wa masaka na mbalala aliingia kwenye nyumba na kumtoa mama mjamzito sasa ikabidi wamhoji kwa muda sasa yule mama alikwerwa na hali ile ivyo akamtemea mate askari kilichofata yule mzee alimuulza yule mama unataman mtoto wa kiume au wakike, kabla ajajibu mzee alimpasua tumbo kwa sime na kumtoa mtoto kisha kumlipua kwa bomu la mkono, kitendo ambacho kilipelekea kamanda wake kumuweka sero walivofka mbalala......hatari sana
 
hamna unachokijua kwa taaluma yangu ndogo ya JKT watu 2000 ni kama vikosi viwili.heuwezi poteza wanajeshi wote hao kwa mara moja.kama sisi tulipoteza 2000 basi adui ni 10000
What do u mean hauwezi??? Kaangalie documentary za world war two uone watu wanavyofanya ambush za wanajeshi mpaka division 2 zinasagwa zote katikati ndio sembuse 2000..... Kasome vita ya winter war kati ya finland na Russia hao wanajeshi wa finland hawakuzidi laki 5 ila urusi ilikuwa na million mbili kuna wakati wanajeshi wa russia walikuwa zaidi ya division kadhaa wanazungukwa na kibrigade tu na watandikwa milimani.... Katafiti usikariri

Na hakuna kitu kma ili wanajeshi 2000 wafe basi lazima adui awe amekuzidi..... Vita ni tactic mkuu ndio maana kuna mission wanaweza tumwa makomandoo 10 tu wakaua askari hata 100!! Rejea operation ya SAS kuikomboa farkland islands kutoka mikono ya argentina...... Hivyo usishangae hao 2000 wakawa wameuawa na wanajeshi 100 tu wa uganda

War is about TACTICS not NUMBERS lasihivyo ujerumani asingewahi mtandika Russia
 
Ha
Hapo kwa Ahmed shekilango hapaeleweki vizuri ulikusudia kusema nini.
 
Mkuu hapa umeandika uongo mkuu yani kweli askari wa mikoa 3 mikubwa hivyo haizidi 2000

Hiyo Moro peke yake kuna mzinga pangawe sangasanga ngerengere bado makambi kibao maporini huko mmmh
 
Natamani kuona picha halisi za pale ngome upanga za enzi hizo za vita palikuwaje?

Yani heka heka za pale Maliki street diamond jubilee na palm beach zilikuwaje kwa picha halisi

Kweli upanga ya zamani duh
 
nafkiri tuache uzushi harafu hizi data ambazo hazipo kwenye vitabu ni zakusadikika tuuu yaweza kuwa kweli au isiwe kweli bt kuna kias cha askari walipoteza maisha kwa kuipigania nchi hiii
Nakupenda Tanzania
 
Ha

Hapo kwa Ahmed shekilango hapaeleweki vizuri ulikusudia kusema nini.
Shekilango,waziri mdogo na mbunge wa zamani wa Korogwe alianguka na ndege alipokuwa akija nchini kutoka Uganda,ile barabara pale Sinza imetajwa kwa heshima yake
 
bahati yetu vita hii tukaipigana wakati ambapo tulikuwa na umoja wa kitaifa pamoja na Kiongozi mzalendo, vijana wa tarime na maeneo mengine waliona ufahari kwenda kufa kwa ajili ya nchi yao, ila ingekuwa ni leo!! kuna mikoa asingejitokeza kijana hata mmoja.

J. K NYERERE alikuwa kiongozi mbarikiwa, alikuwa na kitu cha ziada ndani yake.
 
Shekilango,waziri mdogo na mbunge wa zamani wa Korogwe alianguka na ndege alipokuwa akija nchini kutoka Uganda,ile barabara pale Sinza imetajwa kwa heshima yake
Asante sana je alidondokea ug au tz naona kama kuna suspicion ya kifo chake
 
Hujui kitu nyamaza nenda kanyonye maziwa ya mama yako bado kinda sana wewe!!
 
Ndio maana nasema wachangiaji wengi humu walikuwa hawajazaliwa.Jonh Bolton Walden alistaafu akiwa na cheo cha major General alikuwa mtanzania chotara wa Scotland mama yake alikuwa mnyakyusa.Mungu ailaze pema roho yake na mashujaa wengine waliotangulia mbele za haki
 
Mjinga kabisa
Sio mjinga, hisia yake inaweza kua na ukweli .
Tatizo sisi wa tz hatupendi ukweli.
Waganda walikua na silaha ambazo ni so sophisticated and modern kama utanibishia nitakuja na mifano nikienda google.
Ushindi hatukuupata simple kama mnavouona kwenye ile filamu ya ki propaganda
Hivi unajua waganda waliitetea nchi yao ? Unajua majeshi ya tz yalishambuliwa na raia wa kiganda ?
 
Natamani kuona picha halisi za pale ngome upanga za enzi hizo za vita palikuwaje?

Yani heka heka za pale Maliki street diamond jubilee na palm beach zilikuwaje kwa picha halisi

Kweli upanga ya zamani duh
Hapo ndipo makao makuu ya TISS ? .wengine hatujafika DAR tunaskia tu hiyo sehemu mnaitaja humu sana
 
Muda siyo mrefu watasema hata hiyo vita ilikuwa ya kutengenezwa sababu tanzania ilikuwa inajifanya kiburi sana, hapo tu nipowapendea CIA. hawajui kukaa na siri.



Aahahhahahahahhahahaha

Kweli mkuu,

Tusubiri declassification ya files za CIA. Bado miaka kama kumi tu wataachia kila kitu. Nina imani CIA watakuwa na reports kamili kuhusiana na ile vita yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…