Wanajeshi wa Urusi waingia ndani zaidi ya mji wa Mariupol

Wanajeshi wa Urusi waingia ndani zaidi ya mji wa Mariupol

Binafsi ili kuepusha vifo vya Raia wengi Zelensky akubali kushindwa Vita, Zelensky licha ya ukomedi wake ameonesha Kwamba Ukraine so ya kuchezewa kirahisirahisi. Hilo hats warusi washajua. Lakini kushinda Vita dhidi ya Russia Ni joke ya Karne! Hata Wamarekani wanajua sema wanampa Moyo..
Zelensky ashajua Vita atashindwa lakini mashart y Putin Ni magum na mazito hivyo Bora apigane pigane angalau heshima yake itaandikwa vitabuni ..
Zelensky acha kuua watu wako kwa kuendekeza ubishi
unataka afanyaje ?
 
Aliambiwa hakuna vita hapo tunakuja kukupiga tu.
Usiingie NATO wala kukaribiana nao akabisha.
Ndo kichapo hicho kinatembea sasa.
Nchi za NATO haziwezi kuingilia hiyo vita ndo mana wakakimbilia sanction.
EU wote hawana ubavu kumchapa mrusi.
Na mrusi yupo majini angani Europe yote anaspy.
Bila US mrusi angesha concur hilo eneo lote.
Hamna jeshi EU ni watoto wa mama waliovaa magwanda.
Russia ni stain hard soldier.
Angalia movie STALINGRAD
Then utajua Ukraine ni kitu kidogo sana kwao.
ulitaka afanyeje?
 
Hao civilians wamejazwa ujinga wabebe silaha walinde nchi yao, sasa kwanini waliuliwe na wamebebeshwa silaha. Mauaji kwa raia hayaepukiki maana hawajielewi.
una akili fupi ,hii ikivamiwa kuna watu watakuwa wanasaidia wavamizi ,akili za hawa vijana ni fupi mno , wako radhi kuish km mashog kuliko kuipigania nchi yao
 
Aliambiwa hakuna vita hapo tunakuja kukupiga tu.
Usiingie NATO wala kukaribiana nao akabisha.
Ndo kichapo hicho kinatembea sasa.
Nchi za NATO haziwezi kuingilia hiyo vita ndo mana wakakimbilia sanction.
EU wote hawana ubavu kumchapa mrusi.
Na mrusi yupo majini angani Europe yote anaspy.
Bila US mrusi angesha concur hilo eneo lote.
Hamna jeshi EU ni watoto wa mama waliovaa magwanda.
Russia ni stain hard soldier.
Angalia movie STALINGRAD
Then utajua Ukraine ni kitu kidogo sana kwao.
Tukiondoa uzito wa makombora ya Nuclear, ibaki jets, submarimes, navy ships, tanks n.k Russia hawezi kufua dafu mbele ya German na UK. Hawa jamaa wawili wana vikosi vizuri mno vya mapambano, hata US anatambua hili.
 
Labda jerman kidogo UK Hana Kitu.hao jerman walipigwa na hao Warusi ww2
 
Katika makosa ya watu wa Ukraine ni kuchagua msanii, kwenye maisha ya watu unachagua kupambana na taifa kama urusi?haiwezekani ukisema tunapambana ukachagua wananchi wapigane na taifa kama urusi,ukasema kila mwanaume 18 to 60 years abaikie ndani,huo ni uhalifu wa kivita,mtu Hana utalaam,hujawahi kushika silaha,wengine hawajawahi kusikia mabomo,raisi wa Ukraine nimemchukia kisa kuzuwia watu wasikimbie
Kwani usanii siyo kazi???!!! Wewe mtu akija kwako ana maguvu akitaka kukubaka/kukulawiti utakubali tu hutapambana sababu ana maguvu!! Mawazo ya ajabu sana. Watu lazma wapambane kulinda nchi yao kufa kila nafsi itaonja mauti. Wanakimbia kwenda wapi na nchi ni yao. Jukumu la kulinda nchi ni la kila mwananchi siyo mwanajeshi tu.
 
Back
Top Bottom