Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,553
Si kweli kinachofanywa na uongozi wa Ukraine ni propaganda war, vita imewashinda mkuu.Kwani usanii siyo kazi???!!! Wewe mtu akija kwako ana maguvu akitaka kukubaka/kukulawiti utakubali tu hutapambana sababu ana maguvu!! Mawazo ya ajabu sana. Watu lazma wapambane kulinda nchi yao kufa kila nafsi itaonja mauti. Wanakimbia kwenda wapi na nchi ni yao. Jukumu la kulinda nchi ni la kila mwananchi siyo mwanajeshi tu.
Wanatumia wananchi kama human shield wakifa picha zitembee instagram Russia aonekane mbaya.
Kwenye vita hata kama upewe kifaru kama huna mafunzo we ni maiti, huwezi kutana na askari wa Russia wenye mafunzo waone una silaha wakuache, lazima wakuchane chane kwa risasi.
Zelensky aache huo ujinga.