Wanajeshi wa Urusi waingia ndani zaidi ya mji wa Mariupol

unataka afanyaje ?
 
ulitaka afanyeje?
 
unataka kupigana halafu silaha unategemea kuomba huyu Rais wa ukraine ZUZU sana kama viongozi wa Africa
huyo sio km yule rais wa somalia na uganda waliikimbia nchi
 
Hao civilians wamejazwa ujinga wabebe silaha walinde nchi yao, sasa kwanini waliuliwe na wamebebeshwa silaha. Mauaji kwa raia hayaepukiki maana hawajielewi.
una akili fupi ,hii ikivamiwa kuna watu watakuwa wanasaidia wavamizi ,akili za hawa vijana ni fupi mno , wako radhi kuish km mashog kuliko kuipigania nchi yao
 
Tukiondoa uzito wa makombora ya Nuclear, ibaki jets, submarimes, navy ships, tanks n.k Russia hawezi kufua dafu mbele ya German na UK. Hawa jamaa wawili wana vikosi vizuri mno vya mapambano, hata US anatambua hili.
 
Tukiondoa uzito wa makombora ya Nuclear, ibaki jets, submarimes, navy ships, tanks n.k Russia hawezi kufua dafu mbele ya German na UK. Hawa jamaa wawili wana vikosi vizuri mno vya mapambano, hata US anatambua hili.
Labda jerman kidogo UK Hana Kitu.hao jerman walipigwa na hao Warusi ww2
 
Kwani usanii siyo kazi???!!! Wewe mtu akija kwako ana maguvu akitaka kukubaka/kukulawiti utakubali tu hutapambana sababu ana maguvu!! Mawazo ya ajabu sana. Watu lazma wapambane kulinda nchi yao kufa kila nafsi itaonja mauti. Wanakimbia kwenda wapi na nchi ni yao. Jukumu la kulinda nchi ni la kila mwananchi siyo mwanajeshi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…