Wanajeshi wa Urusi waingia ndani zaidi ya mji wa Mariupol

Si kweli kinachofanywa na uongozi wa Ukraine ni propaganda war, vita imewashinda mkuu.

Wanatumia wananchi kama human shield wakifa picha zitembee instagram Russia aonekane mbaya.


Kwenye vita hata kama upewe kifaru kama huna mafunzo we ni maiti, huwezi kutana na askari wa Russia wenye mafunzo waone una silaha wakuache, lazima wakuchane chane kwa risasi.

Zelensky aache huo ujinga.
 
Sheitwani mkubwa unafurahia watu kuuwawa unaleta ushabiki wa simba na yanga ktk maisha ya watu!!!! Shame on you.
waliokufa libya,iraq nk kwa mgongo wa hao west eu sio watu we kiazi?kama unajipendekeza kwa hao pig wape mtalo wakutatue malinda .shame on your clan buda
 
Tukiondoa uzito wa makombora ya Nuclear, ibaki jets, submarimes, navy ships, tanks n.k Russia hawezi kufua dafu mbele ya German na UK. Hawa jamaa wawili wana vikosi vizuri mno vya mapambano, hata US anatambua hili.
hao ulowataja wooote wameunda kolabo ya Nchi zaidi ya 25 kupambaa na huyo asiweza kufua dafu
wakampige sasa maana hawezi kitu nakashachoka sana wakamtwange
 
Sio angalie movie tu.... akasome kabisa... Na akasome vizuri RUSSIA OCCUPATION... Na akaangalie anachokifanya sasa wakizubaaa anaikata nchi hiii Kharikhiv amechukua, Mariopol siku SI nyingi anaichukua, kharson kachukua, dnipro ameanza mdogo mdogo na ameanza kuisogelea Odesa , Luhansk na Donesk alishazikubali kuwa nchi kamili tangu 2014 yaani akichukua Kiev anaanza kuifinya kuikusanya anakata nchi mwehu yule mbinu Moja ya kibabe sana ya kupiga adui ENCIRCLEMENT.
 
Kuna watu hata manati ya kuwindia Utongwa na Vitorondo hawajawahi shika halafu weye unawaita watu wenye angalau 18 yrs wakashikishwe mashine wakakabiliane na URUSI this comedian president should not be serious
 
Hao civilians wamejazwa ujinga wabebe silaha walinde nchi yao, sasa kwanini wasiuliwe na wamebebeshwa silaha. Mauaji kwa raia hayaepukiki maana hawajielewi.
Kwa akili hizi ndio maana watawala wa ccm wanatufanya mazuzu watakavyo na unaona raia wametulia tu, nataman ungezaliwa Enzi za Idd Amini ndio ungeelewa hichi wanachofanya wananchi wa Ukraine.
 
Kwa akili hizi ndio maana watawala wa ccm wanatufanya mazuzu watakavyo na unaona raia wametulia tu, nataman ungezaliwa Enzi za Idd Amini ndio ungeelewa hichi wanachofanya wananchi wa Ukraine.
Kwa vile ni raia hatakama wamebeba silaha waachiwe tu sio? Vita havina macho hata huyo Ukraine aliposhiriki uvamizi was Iraq akimsaidia bwana wake US alifanya hivyo hivyo. Sasa mnyama kwao aache kulialia Zelensky.

 
Mrusi akisha chukuwa huo mji ujuwe Ukraine Kisha malizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…