Wanajeshi Warusi waukimbia mji ambao walikuwa wamejitwalia kwa "kura" za maoni

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wanajeshi zaidi ya 5,000 waogopa kuzingirwa, waamua kutoka nduki, ni mojawapo wa miji ambayo walikua wamejichukulia, shughuli inaishia Crimea maana ndiko ilianzia...
Sijui mgambo wanywa gongo watafanya nini tofauti na hawa wanajeshi wanaokimbia mapambano.

Russia has withdrawn troops from the city of Lyman in Ukraine’s Donetsk region Saturday, one day after announcing the annexation of the area and three other regions.
Ukrainian officials said earlier that their soldiers had surrounded the city.

The Russian state-owned news agency RIA reported that the Russian Defense Ministry said its forces retreated to more advantageous lines to avoid the risk of being encircled.

The ministry said Ukraine has a significant advantage in the number of its forces and brought in reserves to continue its counteroffensive retaking territory that has been captured by Russia.

Lyman has been held by Russia since May.

A video posted on Twitter by a reporter for The Kyiv Independent showed two Ukrainian soldiers tying a flag to a sign after retaking the city.

Serhiy Haidai, the regional governor of the Luhansk region, said in a tweet on Saturday that Ukrainian forces had blocked almost all ways for 5,000 Russian troops to leave the city or transport ammunition to other Russian soldiers. He said Ukraine would seek to recapture Luhansk after Lyman is retaken.
 
Kama uwezi kutofautisha baina ya tactical withdraw na kushindwa vita, who cam take your inflated views seriously - unapenda penda sana kuweka chachandu kwenye comments zako - yaani huna hata habari kwamba wanajeshi wa Urusi waliopo huko Ukraine hawazidi asili mia 2% ya nguvu za jeshi la Urusi na wengi ni conscripts na wanamgambo wa mikoa inayo taka kujitenga sio wanajeshi professionals,likumbuke sana hilo - labda nikusaidie kidogo, binafsi niliwahi kupitia jeshini,vile vile nina exposure ya mambo mengi tu ambayo upenda ku-share na members wenzangu, wapo wanao nipinga kwa sababu wanazo zijua wao, lakini hilo mimi uwa sijali hata kidogo.

Tukija kwenye suala la vita inayo endelea huko Ukraine nime eleza kwamba ni wana jeshi wachache wa Urusi wanao pigana huko Ukraine ukilinganisha na idadi ya wanajeshi wa Ukraine ambao hivi karibuni wanasaidiwa moja kwa moja na wanajeshi wa NATO wanao vaa uniform za jeshi la Ukraine ili wastambulike kirahisi hisipo kuwa hawazungumzi lugha ya Kiukraine - hao ndio wanatumiwa kwa wingi kwenye futile counter offensive za Zelensky.

Nimalizie kwa kusema kwamba inavyo elekea jeshi la Urusi/Putin litavua gloves na kupigana with bare knuckles kwa maneno mengine Putin atatangaza vita kamili dhidi ya jeshi la Zelensky na wafadhili wake wote nina uhakika atawafyekelea mbali wote come december/january hakuna cha jeshi la Zelensky,mamluki wa NATO nk watakao salimika wata surrender kwa jeshi la Putin bila masharti - Putin si. binadamu wa kuchukulia kimzaa mzaa hata kidogo.
 
Wanajeshi zaidi ya 5,000 waogopa kuzingirwa, waamua kutoka nduki, ni mojawapo wa miji ambayo walikua wamejichukulia, shughuli inaishia Crimea maana ndiko ilianzia...
Sijui mgambo wanywa gongo watafanya nini tofauti na hawa wanajeshi wanaokimbia mapambano.

Russia has withdrawn troops from the city of Lyman in Ukraine’s Donetsk region Saturday, one day after announcing the annexation of the area and three other regions.
Ukrainian officials said earlier that their soldiers had surrounded the city.

The Russian state-owned news agency RIA reported that the Russian Defense Ministry said its forces retreated to more advantageous lines to avoid the risk of being encircled.

The ministry said Ukraine has a significant advantage in the number of its forces and brought in reserves to continue its counteroffensive retaking territory that has been captured by Russia.

Lyman has been held by Russia since May.

A video posted on Twitter by a reporter for The Kyiv Independent showed two Ukrainian soldiers tying a flag to a sign after retaking the city.

Serhiy Haidai, the regional governor of the Luhansk region, said in a tweet on Saturday that Ukrainian forces had blocked almost all ways for 5,000 Russian troops to leave the city or transport ammunition to other Russian soldiers. He said Ukraine would seek to recapture Luhansk after Lyman is retaken.
Baiden amesha mwambia hawatoruhusu hata inch ya Ukraine kwenda Urusi na akamwambia amsikilize kile anakisema Marekani hawatoruhusu Ukraine kumegwa. In addition to that all option are on the table kwa sababu hapatokuwa na majadiliano chini ya utawala wa Putin hii inamanisha Nini USA na washarika wake wamemsusia Putin na wameamua kumjibu kwenye uwanja wa vita.
Jambo kubwa USA na washirika wake wanataka kutuma msg kwa tawala zote Zaki Imla nikuwa Dunia haipo tayari kuruhusu Taifa moja kuchezea mipaka ya Taifa lingine au kumega ardhi ya Taifa lingine kwa mabavu.
Je Nini kitatokea?
Kama wewe ni mfuwatiliaji wa siasa za Dunia utakubaliana na mimi USA na washirika wake wapo kwenye very tough mission kumuondoa Putin pia kuhakikisha anapelekwa kwenye mahakama za kimataifa na hayo yote yakishindikana msishangae Putin akanyongwa kama Saadam Husen ndani ya Taifa lake. Yani Putin akisha pinduliwa atafunguliwa mashitaka kwenye mahakama zakijeshi ili wamalizane naye why? Amesababisha Warussi wengi kufa kwenye vita haina tija while ameuwa watu wengi wasio na hatia Ukraine. Nimoja ya kesi itautikisa ulimwengu na uwenda tawala nyingi za kiimla na vyama tawala vingi vita badili mielekeo. End
 
Kama uwezi kutofautisha baina ya tactical withdraw na kushindwa vita, who cam take your inflated views seriously - unapenda penda sana kuweka chachandu kwenye comments zako - yaani huna hata habari kwamba wanajeshi wa Urusi waliopo huko Ukraine hawazidi asili mia 2% ya nguvu za jeshi la Urusi na wengi ni conscripts na wanamgambo wa mikoa inayo taka kujitenga sio wanajeshi professionals,likumbuke sana hilo - labda nikusaidie kidogo, binafsi niliwahi kupitia jeshini,vile vile nina exposure ya mambo mengi tu ambayo upenda ku-share na members wenzangu, wapo wanao nipinga kwa sababu wanazo zijua wao, lakini hilo mimi uwa sijali hata kidogo.

Tukija kwenye suala la vita inayo endelea huko Ukraine nime eleza kwamba ni wana jeshi wachache wa Urusi wanao pigana huko Ukraine ukilinganisha na idadi ya wanajeshi wa Ukraine ambao hivi karibuni wanasaidiwa moja kwa moja na wanajeshi wa NATO wanao vaa uniform za jeshi la Ukraine ili wastambulike kirahisi hisipo kuwa hawazungumzi lugha ya Kiukraine - hao ndio wanatumiwa kwa wingi kwenye futile counter offensive za Zelensky

Wewe bado upo na hizi insha zako, watu wanakimbia mapigano wamefukuziwa tangu Kyev huko wewe unaita tactical withdrawal, na mpaka tufike Crimea mtaendelea kuweweseka tu.
 
Ni kweli, hivi vita vinatazamwa na kufuatiliwa kwa ukaribu na madikteta wote duniani, hususan watawala wa mataifa makubwa ambao huwa na migogoro ya kutaka kumega mataifa madogo madogo, matokeo ya hivi vita ndio yatakua precedent huko mbele, hivyo Marekani hawataruhusu.
 
Serbia kwa nini ilivamiwa?.
 
Serbia kwa ilivamiwa?.
 
Kama uwezi kutofautisha baina ya tactical withdraw na kushindwa vita, who cam take your inflated views seriously - unapenda penda sana kuweka chachandu kwenye comments zako - yaani huna hata habari kwamba wanajeshi wa Urusi waliopo huko Ukraine hawazidi asili mia 2% ya nguvu za jeshi la Urusi na wengi ni conscripts na wanamgambo wa mikoa inayo taka kujitenga sio wanajeshi professionals,likumbuke sana hilo - labda nikusaidie kidogo, binafsi niliwahi kupitia jeshini,vile vile nina exposure ya mambo mengi tu ambayo upenda ku-share na members wenzangu, wapo wanao nipinga kwa sababu wanazo zijua wao, lakini hilo mimi uwa sijali hata kidogo.

Tukija kwenye suala la vita inayo endelea huko Ukraine nime eleza kwamba ni wana jeshi wachache wa Urusi wanao pigana huko Ukraine ukilinganisha na idadi ya wanajeshi wa Ukraine ambao hivi karibuni wanasaidiwa moja kwa moja na wanajeshi wa NATO wanao vaa uniform za jeshi la Ukraine ili wastambulike kirahisi hisipo kuwa hawazungumzi lugha ya Kiukraine - hao ndio wanatumiwa kwa wingi kwenye futile counter offensive za Zelensky
Tactical withdraw za Russia zinaendelea kila siku huku maeneo wanayoyashikiria yanapotea! Nini mantiki yake? Tactical withdraw mpaka lini?

Kama Russia mpaka sasa amepeleka 2% tu ya jeshi lake huko Russia, nini kilimfanya Putin kutangaza kupeleka jeshi la Akiba huko Ukraine?
Kwanini Putin aswage vijana walevi na wazee wataafu wa jeshi waende vitani wakati ana trained soldiers zaidi ya 98% wamekaa Russia akiwalipa mshahara? Nini mantiki ya kuacha kutumia askari wake halisi kama anao wa kutosha?
 
Serbia kwa nini ilivamiwa?.
Serbia haijawahi megwa Bali Yugoslavia ndio iliyomegwa baada ya kutokea vita vya kidini, ambao Serbs ambao ni orthodox Christianity waliwaua bosnia ambao ni waislamu
Matokeo yake Yugoslavia ikagawanywa kidin crots ambao ni wakatoliki wengi wakita nchi Yao Croatia, Serbs ambao ni orthodox Christianity wakaita nchi Yao Serbia, bosnia ambao ni mchanganyiko Ila waislamu wengi wakita nchi Yao Bosnia and Herzegovina, na recently Kosovo na Montenegro wakajitwalia nchi zao

Mgogoro wa urussi vs Ukraine Hauna uhusiano na WA Yugoslavia ni vitu viwili tofauti
 
Baiden amesha mwambia hawatoruhusu hata inch ya Ukraine kwenda Urusi na akamwambia amsikilize kile anakisema Marekani hawatoruhusu Ukraine kumegwa. In addition to that all option are on the table kwa sababu hapatokuwa na majadiliano chini ya utawala wa Putin hii inamanisha Nini USA na washarika wake wamemsusia Putin na wameamua kumjibu kwenye uwanja wa vita.
Jambo kubwa USA na washirika wake wanataka kutuma msg kwa tawala zote Zaki Imla nikuwa Dunia haipo tayari kuruhusu Taifa moja kuchezea mipaka ya Taifa lingine au kumega ardhi ya Taifa lingine kwa mabavu.
Je Nini kitatokea?
Kama wewe ni mfuwatiliaji wa siasa za Dunia utakubaliana na mimi USA na washirika wake wapo kwenye very tough mission kumuondoa Putin pia kuhakikisha anapelekwa kwenye mahakama za kimataifa na hayo yote yakishindikana msishangae Putin akanyongwa kama Saadam Husen ndani ya Taifa lake. Yani Putin akisha pinduliwa atafunguliwa mashitaka kwenye mahakama zakijeshi ili wamalizane naye why? Amesababisha Warussi wengi kufa kwenye vita haina tija while ameuwa watu wengi wasio na hatia Ukraine. Nimoja ya kesi itautikisa ulimwengu na uwenda tawala nyingi za kiimla na vyama tawala vingi vita badili mielekeo. End
Tactical withdrawal maanake umezidiwa na mpinzani wako
 
Serbia haijawahi megwa Bali Yugoslavia ndio iliyomegwa baada ya kutokea vita vya kidini, ambao Serbs ambao ni orthodox Christianity waliwaua bosnia ambao ni waislamu
Matokeo yake Yugoslavia ikagawanywa kidin crots ambao ni wakatoliki wengi wakita nchi Yao Croatia, Serbs ambao ni orthodox Christianity wakaita nchi Yao Serbia, bosnia ambao ni mchanganyiko Ila waislamu wengi wakita nchi Yao Bosnia and Herzegovina, na recently Kosovo na Montenegro wakajitwalia nchi zao

Mgogoro wa urussi vs Ukraine Hauna uhusiano na WA Yugoslavia ni vitu viwili tofauti
... umeeleza so professional. Asipokuelewa atakuwa na lake jambo.
 
Wewe bado upo na hizi insha zako, watu wanakimbia mapigano wamefukuziwa tangu Kyev huko wewe unaita tactical withdrawal, na mpaka tufike Crimea mtaendelea kuweweseka tu.

Wakati mwingine naona unaigilwaga na nini sijui, ukishindwa hoja unakimbilia ku-derail hoja, huko obsessed na Putin kushindwa vita - Putin akiwageuzia kibao sijui mtajificha wapi kwa aibu - siku hiyo inakuja.

Sasa turudi kwenye mada - mimi nilifafanua kuhusu mfumo wa DEADMAN'S HAND unafanya kazi vipi - wewe badala ya kuchangia kwenye mada husika wewe unakimbilia kutumbukiza comments ambazo hazirandani na kile kinacho zungumza - yaani vita inayo endelea huko Ukraine wewe imeigeuza kuwa burudani tosha kwa lengo la kufurahisha baraza tu, vitu serious wewe unaleta comments za mzaha mzaha tu na kejeri za kitoto - kwani uki-copy habari kutoka kwenye sources zako ambazo ni highly questionable kwa nini uziachi zilivyo bila ya kuongeza chumvi - wahaya usema "Okushaiiliza" jaribu kupitia comments zanko nyingi, linganisha maelezo ya sources zako na tafsiri zako ukichunguza kwa umakini ni vitu viwili tafauti kama mbingu na Dunia - naona jeshi la Zelensky likishindwa vita mtapata ugonjwa wa moyo!!
 
Back
Top Bottom