Mambo mengine bwana!! Amerika ni nani kwa Urusi, political rhetoric za Biden ni for Banana Republics only and not,repeat not for Russian Federation - don't you forget that, Russia was and still is a Thermonuclear Super Power, Amerika hana ubavu wa ku-mess na Putin/Russia atabaki kusemasema maneno chungu mzima yenye lengo ku-reassure marafiki zake kwamba Amerika ni zaidi wasiwe na wasi wasi, kitu kinacho msumbuwa sana Biden ni EGO pamoja chuki binafsi kumuhusu Putin.
Leo hii Biden katangazia Dunia kwamba inaelekea Putin atanii anaposema yuko radhi kutumia silaha za nuclear inapo bidi - hivyo Biden anajaribu kuhadaa wasikilizaji kwamba kuna umuhimu wa Dunia kumkubalia Putin baadhi ya matakwa yake ili hasije akadhalilika akishindwa vita - yaani, hilo likitekelezwa tu, basi Putin hatakuwa na sababu za msingi za kutaka kutumia silaha za Nuclear kwenye mgogoro huu - binafsi naona Biden kishaona kwamba Putin yuko dead serious ie hatanii na wala haogopi NATO wala USA wakiendelea kutishia usalama wa Taifa lake atalazimika kutumia silaha yoyote kujilinda na hakuna ataye mlahumu, hicho ndicho Biden anacho ogopa lakini anapokuwa mbele ya TV anadai kwamba Putin vita imeanza kumwendea kombo hivyo tumukubalie baadhi ya madai yake kabla hajafanya mahamuzi hatarishi ya kutumia silaha za nuklia ili hasiabike - ulaghai mtupu.