Wanajeshi Warusi waukimbia mji ambao walikuwa wamejitwalia kwa "kura" za maoni

sio rahisi ki hivyo!!kwa dunia ya sasa ,kwani,ukisema ufanye hivyo na wenzako wanazo,labda kama umeamua na nchi yako uiangamize.
So Putin anatupiga mkwara mbuzi tu na hayo makommbora yake ya nuclear?
Lakini kuna wachambuzi wanasema Putin ni kama kachanganyikiwa na hatokubali kufa peke yake
 
What a brilliant comment!!! Be blessed - comments zake zimeshehi umbea kama wa madada wanaoshinda saluni, ila namsifu kwa kumudu kujieleza vizuri kwenye lugha ya kiswahili ananishinda hata mimi kwa mbali.
The obvious ni kuwa nshomile hawajui kiswahili, wanajifunza shuleni na hivyo ni new/foreign language to them! You are quite correct!
 
Bad planning, USA and NATO kwa hali ilivyo, kwanini wasiweke wanajeshi wao zile sehemu zinazokimbiwa/zilizokombolewa? Urusi kwa hali ilivyo hawezi kuthubutu kutupa makombora yake pale! in short hayuko tayari na hana ubavu/courageya kupigana vita na NATO

Amigo, how many times must I repeat myself? NATO,repeat NATO specifically the USA does not scare a living daylights out of them Russians who gotta an overwhelming ground breaking thermonuclear missiles and equally lightening fast delivery systems which have no parallel in the entire World, to add salt to an injury USA do not have any credible integrated air defense systems to intercept and destroy Russian hypersonic missiles and glide vehicles US military top brass wamekubali ukweli huo kwamba hawana kinga dhidi ya missiles hizo atarishi Biden too and his military advisors are well aware about these facts - ndio maana Biden masaa yote anaishia kwenye inept political rhetoric akiwa mbele ya TV kuihadaa Dunia conveniently avoiding to tell the World kwamba pamoja na kujifanya mbabe mbele ya vyombo vya habari nyuma ya pazia anawatuma Wachina,Wahindi na Wairan waende kumsihi Putin hasitumie silaha za nuclear kwenye vita ya Ukraine - ndio maana nikimuona anafanya maigizo ya kumtunia misuli Putin akiwa mbele ya TV namcheka sana, najua ni muiigizaji tu mwenye lengo la ku-boost opinion polls kabla ya midterm election anachukulia vita ya Ukraine kama mtaji wa domestic politics.

Tusiende mbali ebu jaribuni ku-compare Biden na Putin hivi sasa ,utabaini unlike Biden, Putin yuko cool like a cucumber in other words katulia kabisa kama maji kwenye mtungi -mnajua kwa nini? Jibu mnalo.
 
Nimalizie kwa kusema kwamba inavyo elekea jeshi la Urusi/Putin litavua gloves na kupigana with bare knuckles kwa maneno mengine Putin atatangaza vita kamili dhidi ya jeshi la Zelensky na wafadhili wake wote nina uhakika atawafyekelea mbali wote come december/january hakuna cha jeshi la Zelensky,mamluki wa NATO nk watakao salimika wata surrender kwa jeshi la Putin bila masharti - Putin si. binadamu wa kuchukulia kimzaa mzaa hata kidogo.

Sehemu ya hii comment imenichekesha sana [emoji3][emoji3][emoji3]
 
The obvious ni kuwa nshomile hawajui kiswahili, wanajifunza shuleni na hivyo ni new/foreign language to them! You are quite correct!
Huyo jamaa ni Mkenya, Kiswahili chake kiko vizuri.
 
Amigo, how many times must I repeat myself? NATO,repeat NATO specifically the USA does not scare a living daylights out of them Russians who gotta an overwhelming ground breaking thermonuclear missiles and equally lightening fast delivery systems which have no parallel in the entire World, to add salt to an injury USA do not have any credible integrated air defense systems to intercept and destroy Russian hypersonic missiles and glide vehicles US military top brass wamekubali ukweli huo kwamba hawana kinga dhidi ya missiles hizo atarishi Biden too and his military advisors are well aware about these facts - ndio maana Biden masaa yote anaishia kwenye inept political rhetoric akiwa mbele ya TV kuihadaa Dunia conveniently avoiding to tell the World kwamba pamoja na kujifanya mbabe mbele ya vyombo vya habari nyuma ya pazia anawatuma Wachina,Wahindi na Wairan waende kumsihi Putin hasitumie silaha za nuclear kwenye vita ya Ukraine - ndio maana nikimuona anafanya maigizo ya kumtunia misuli Putin akiwa mbele ya TV namcheka sana, najua ni muiigizaji tu mwenye lengo la ku-boost opinion polls kabla ya midterm election anachukulia vita ya Ukraine kama mtaji wa domestic politics.

Tusiende mbali ebu jaribuni ku-compare Biden na Putin hivi sasa ,utabaini unlike Biden, Putin yuko cool like a cucumber in other words katulia kabisa kama maji kwenye mtungi -mnajua kwa nini? Jibu mnalo.
Ukiona raisi katulia vile ila raia wake wanatafuta nchi za kukimbilia, jua kuna tatizo la msingi.
 
We kijana wa tandale umejuaje kama Biden anawatuma kisirisiri rais wa Iran amsihi Putin asitumie nyuuklia, yaani kijana wa tandale una-access ya confidential information za nchi ya marekani haya ni maajabu kwa kweli
 
Amigo, how many times must I repeat myself? NATO,repeat NATO specifically the USA does not scare a living daylights out of them Russians who gotta an overwhelming ground breaking thermonuclear missiles and equally lightening fast delivery systems which have no parallel in the entire World, to add salt to an injury USA do not have any credible integrated air defense systems to intercept and destroy Russian hypersonic missiles and glide vehicles US military top brass wamekubali ukweli huo kwamba hawana kinga dhidi ya missiles hizo atarishi Biden too and his military advisors are well aware about these facts - ndio maana Biden masaa yote anaishia kwenye inept political rhetoric akiwa mbele ya TV kuihadaa Dunia conveniently avoiding to tell the World kwamba pamoja na kujifanya mbabe mbele ya vyombo vya habari nyuma ya pazia anawatuma Wachina,Wahindi na Wairan waende kumsihi Putin hasitumie silaha za nuclear kwenye vita ya Ukraine - ndio maana nikimuona anafanya maigizo ya kumtunia misuli Putin akiwa mbele ya TV namcheka sana, najua ni muiigizaji tu mwenye lengo la ku-boost opinion polls kabla ya midterm election anachukulia vita ya Ukraine kama mtaji wa domestic politics.

Tusiende mbali ebu jaribuni ku-compare Biden na Putin hivi sasa ,utabaini unlike Biden, Putin yuko cool like a cucumber in other words katulia kabisa kama maji kwenye mtungi -mnajua kwa nini? Jibu mnalo.
Mkuu mapenzi dhidi ya Putin na Russia imekuondolea Hadi uwezo wa kutoa hoja zenye maana. Kwa maan hiyo ni kuwa ukiwa na silahaa ambazo wenzako hawana na hawawezi kuzizuia tayari inakupa uhakika wa kushinda Vita?

Unajua maana ya Vita na mbinu za kushinda Vita?
 
... let's wait and see! Of course akifanya hivyo atakuwa ameleta madhara makubwa sana kwa Ukraine na dunia kwa ujumla ila dunia haitamwangalia tu; lazima yeye na genge lake watafanyiwa kitu kitakachokuwa ukumbusho wa milele kwa vizazi.
Watamfanyaje? Watamlipua na nyuklia au watampeleka tu kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita?
 
Wanajeshi zaidi ya 5,000 waogopa kuzingirwa, waamua kutoka nduki, ni mojawapo wa miji ambayo walikua wamejichukulia, shughuli inaishia Crimea maana ndiko ilianzia...
Sijui mgambo wanywa gongo watafanya nini tofauti na hawa wanajeshi wanaokimbia mapambano.

Russia has withdrawn troops from the city of Lyman in Ukraine’s Donetsk region Saturday, one day after announcing the annexation of the area and three other regions.
Ukrainian officials said earlier that their soldiers had surrounded the city.

The Russian state-owned news agency RIA reported that the Russian Defense Ministry said its forces retreated to more advantageous lines to avoid the risk of being encircled.

The ministry said Ukraine has a significant advantage in the number of its forces and brought in reserves to continue its counteroffensive retaking territory that has been captured by Russia.

Lyman has been held by Russia since May.

A video posted on Twitter by a reporter for The Kyiv Independent showed two Ukrainian soldiers tying a flag to a sign after retaking the city.

Serhiy Haidai, the regional governor of the Luhansk region, said in a tweet on Saturday that Ukrainian forces had blocked almost all ways for 5,000 Russian troops to leave the city or transport ammunition to other Russian soldiers. He said Ukraine would seek to recapture Luhansk after Lyman is retaken.
Putin is Brilliant watu hawajui tu. Kwenye hayo majimbo watu wamejitangazia uhuru wao wa kuamua kujitoa Ukraine kwa kura, iwe ni bao la mkono au hapana, tayari kura imeshapigwa kujiunga na Urusi. Baada ya hapo Russia anajitoa ili Ukraine aingie huko aue watu halafi itajulikana nani anayelinda uhuru na uhai wa watu. Marekani na NATO wote si wanataka viongozi kuheshimu "the Will of the people" sasa kuwalazimisha watu wanaotala kujitenda ndo kuheshimu uhuru wake. Marekani anataka Taiwan inayotaka kujitenga na China iheshimiwe, iweje leo ipinge watubwa Ukraine kuchagua upande wanaotaka wao. Putin ni Big brain.
 
Mlisema jimbo lolote ambalo limeingizwa kwa hiyo kura yenu tayari ni Urusi, ni sehemu ya Urusi na kuligusa itakua umegusa Urusi na vita kuanzia hapo vitabadilika, ila tunaona Warusi wanapelekeshwa puta humo humo mnakoita Urusi... ha ha ha
 
Kufuatilia mambo kiushabiki tena ushabiki wa kutengeneza mwenyewe, kunaweza kukutoa kwenye mjadala na ukashindwa kuelewa hata kile wanachoongea wenzako. Yaani warusi wanaongea kirusi, mimi na wewe hata hatuwezi kukielewa lakini bado unawanukuu warusi. Media houses nyingi zinareport habari nyingi za upande mmoja, ili upate nini kimezungumzwa kutoka upande wa urusi ni hadi TV ya taifa itoe taarifa, lakini bado umewanukuu warusi, hata sijui unapata wapi ujasiri huu. Anyway, mimi nimetoa maoni tu mzee, sitting taarifa. Kama una taarifa nyinginezo, mimi sizitaki maana sipo urusi na wala sijui kirusi.

Amigo, how many times must I repeat myself? NATO,repeat NATO specifically the USA does not scare a living daylights out of them Russians who gotta an overwhelming ground breaking thermonuclear missiles and equally lightening fast delivery systems which have no parallel in the entire World, to add salt to an injury USA do not have any credible integrated air defense systems to intercept and destroy Russian hypersonic missiles and glide vehicles US military top brass wamekubali ukweli huo kwamba hawana kinga dhidi ya missiles hizo atarishi Biden too and his military advisors are well aware about these facts - ndio maana Biden masaa yote anaishia kwenye inept political rhetoric akiwa mbele ya TV kuihadaa Dunia conveniently avoiding to tell the World kwamba pamoja na kujifanya mbabe mbele ya vyombo vya habari nyuma ya pazia anawatuma Wachina,Wahindi na Wairan waende kumsihi Putin hasitumie silaha za nuclear kwenye vita ya Ukraine - ndio maana nikimuona anafanya maigizo ya kumtunia misuli Putin akiwa mbele ya TV namcheka sana, najua ni muiigizaji tu mwenye lengo la ku-boost opinion polls kabla ya midterm election anachukulia vita ya Ukraine kama mtaji wa domestic .

Ukisoma hii comment utadhani imeletwa na Bill Burns wa CIA Unaitoa as if upo WH na unajua kila kinachoendelea kwenye corridors za WH [emoji3][emoji3]
 
Mlisema jimbo lolote ambalo limeingizwa kwa hiyo kura yenu tayari ni Urusi, ni sehemu ya Urusi na kuligusa itakua umegusa Urusi na vita kuanzia hapo vitabadilika, ila tunaona Warusi wanapelekeshwa puta humo humo mnakoita Urusi... ha ha ha
Subiri uone watakavyooshwa huko wanapoelekea kumbuka sasa hivi ni kama wanapigania vuta urusi
 
Hii subiri muone mlianza kutuambia tangu ule msafara uliofyekwa na wabeba javelin.
 
Kufuatilia mambo kiushabiki tena ushabiki wa kutengeneza mwenyewe, kunaweza kukutoa kwenye mjadala na ukashindwa kuelewa hata kile wanachoongea wenzako. Yaani warusi wanaongea kirusi, mimi na wewe hata hatuwezi kukielewa lakini bado unawanukuu warusi. Media houses nyingi zinareport habari nyingi za upande mmoja, ili upate nini kimezungumzwa kutoka upande wa urusi ni hadi TV ya taifa itoe taarifa, lakini bado umewanukuu warusi, hata sijui unapata wapi ujasiri huu. Anyway, mimi nimetoa maoni tu mzee, sitting taarifa. Kama una taarifa nyinginezo, mimi sizitaki maana sipo urusi na wala sijui kirusi.

Siku niliona msafara unakwenda Kyev nikajua Ukraine kisha, nikaingiwa na hofu kubwa sana, ila ulivyofyekwa na kisha Warusi wakafukuziwa, leo wanaendelea kufykwa mpaka wamefuata wanywa gongo....ha ha ha safi sana.
 
Wakati mwingine naona unaigilwaga na nini sijui, ukishindwa hoja unakimbilia ku-derail hoja, huko obsessed na Putin kushindwa vita - Putin akiwageuzia kibao sijui mtajificha wapi kwa aibu - siku hiyo inakuja.

Sasa turudi kwenye mada - mimi nilifafanua kuhusu mfumo wa DEADMAN'S HAND unafanya kazi vipi - wewe badala ya kuchangia kwenye mada husika wewe unakimbilia kutumbukiza comments ambazo hazirandani na kile kinacho zungumza - yaani vita inayo endelea huko Ukraine wewe imeigeuza kuwa burudani tosha kwa lengo la kufurahisha baraza tu, vitu serious wewe unaleta comments za mzaha mzaha tu na kejeri za kitoto - kwani uki-copy habari kutoka kwenye sources zako ambazo ni highly questionable kwa nini uziachi zilivyo bila ya kuongeza chumvi - wahaya usema "Okushaiiliza" jaribu kupitia comments zanko nyingi, linganisha maelezo ya sources zako na tafsiri zako ukichunguza kwa umakini ni vitu viwili tafauti kama mbingu na Dunia - naona jeshi la Zelensky likishindwa vita mtapata ugonjwa wa moyo!!
Utofauti wenu ni mdogo, wote "mnashaiiliza"....mfano hapo Juu umetumia maneno haya kwenye comment yako " futile counter offensive za Zelensky".
 
Back
Top Bottom