Wanajeshi Warusi waukimbia mji ambao walikuwa wamejitwalia kwa "kura" za maoni

Wanajeshi Warusi waukimbia mji ambao walikuwa wamejitwalia kwa "kura" za maoni

Serbia haijawahi megwa Bali Yugoslavia ndio iliyomegwa baada ya kutokea vita vya kidini, ambao Serbs ambao ni orthodox Christianity waliwaua bosnia ambao ni waislamu
Matokeo yake Yugoslavia ikagawanywa kidin crots ambao ni wakatoliki wengi wakita nchi Yao Croatia, Serbs ambao ni orthodox Christianity wakaita nchi Yao Serbia, bosnia ambao ni mchanganyiko Ila waislamu wengi wakita nchi Yao Bosnia and Herzegovina, na recently Kosovo na Montenegro wakajitwalia nchi zao

Mgogoro wa urussi vs Ukraine Hauna uhusiano na WA Yugoslavia ni vitu viwili tofauti
Mkuu nimeuliza kwa nini Serbia ilivamiwa, na Je Kosovo kabla haijawah nchi ilikua ndani ya nchi Gani?..
 
Kama uwezi kutofautisha baina ya tactical withdraw na kushindwa vita, who cam take your inflated views seriously - unapenda penda sana kuweka chachandu kwenye comments zako - yaani huna hata habari kwamba wanajeshi wa Urusi waliopo huko Ukraine hawazidi asili mia 2% ya nguvu za jeshi la Urusi na wengi ni conscripts na wanamgambo wa mikoa inayo taka kujitenga sio wanajeshi professionals,likumbuke sana hilo - labda nikusaidie kidogo, binafsi niliwahi kupitia jeshini,vile vile nina exposure ya mambo mengi tu ambayo upenda ku-share na members wenzangu, wapo wanao nipinga kwa sababu wanazo zijua wao, lakini hilo mimi uwa sijali hata kidogo.

Tukija kwenye suala la vita inayo endelea huko Ukraine nime eleza kwamba ni wana jeshi wachache wa Urusi wanao pigana huko Ukraine ukilinganisha na idadi ya wanajeshi wa Ukraine ambao hivi karibuni wanasaidiwa moja kwa moja na wanajeshi wa NATO wanao vaa uniform za jeshi la Ukraine ili wastambulike kirahisi hisipo kuwa hawazungumzi lugha ya Kiukraine - hao ndio wanatumiwa kwa wingi kwenye futile counter offensive za Zelensky
Yaan umeenda jkt miez mitatu na wewe unasema umepita jeshini peleka ujinga wako huko buza

We umesoma military tactics in the war ground wewe??
Nyie kazi yenu kule jkt ni kulima tuu
Unajifanya kujua jeshi???

Sisi tuliopo huku tusemeje??
 
Wakati mwingine naona unaigilwaga na nini sijui, ukishindwa hoja unakimbilia ku-derail hoja, huko obsessed na Putin kushindwa vita - Putin akiwageuzia kibao sijui mtajificha wapi kwa aibu - siku hiyo inakuja.

Sasa turudi kwenye mada - mimi nilifafanua kuhusu mfumo wa DEADMAN'S HAND unafanya kazi vipi - wewe badala ya kuchangia kwenye mada husika wewe unakimbilia kutumbukiza comments ambazo hazirandani na kile kinacho zungumza - yaani vita inayo endelea huko Ukraine wewe imeigeuza kuwa burudani tosha kwa lengo la kufurahisha baraza tu, vitu serious wewe unaleta comments za mzaha mzaha tu na kejeri za kitoto - kwani uki-copy habari kutoka kwenye sources zako ambazo ni highly questionable kwa nini uziachi zilivyo bila ya kuongeza chumvi - wahaya usema "Okushaiiliza" jaribu kupitia comments zanko nyingi, linganisha maelezo ya sources zako na tafsiri zako ukichunguza kwa umakini ni vitu viwili tafauti kama mbingu na Dunia - naona jeshi la Zelensky likishindwa vita mtapata ugonjwa wa moyo!!

Sijaelewa unacholalamika, umekua ukiandika hizi nadharia zako tangu Ukraine wanaanza kufukuzia Warusi kuanzia Kyev, hauwezi ukanitoa kwenye furaha na shauku langu la kuona Ukraine imekombolewa yote hadi Crimea......ekari kwa ekari, mito, milimani, mijini, mashambani wanafukuzia mbaya, kuna maeneo Warusi wanatumia baiskeli kutoroka....
 
Wakati mwingine naona unaigilwaga na nini sijui, ukishindwa hoja unakimbilia ku-derail hoja, huko obsessed na Putin kushindwa vita - Putin akiwageuzia kibao sijui mtajificha wapi kwa aibu - siku hiyo inakuja.

Sasa turudi kwenye mada - mimi nilifafanua kuhusu mfumo wa DEADMAN'S HAND unafanya kazi vipi - wewe badala ya kuchangia kwenye mada husika wewe unakimbilia kutumbukiza comments ambazo hazirandani na kile kinacho zungumza - yaani vita inayo endelea huko Ukraine wewe imeigeuza kuwa burudani tosha kwa lengo la kufurahisha baraza tu, vitu serious wewe unaleta comments za mzaha mzaha tu na kejeri za kitoto - kwani uki-copy habari kutoka kwenye sources zako ambazo ni highly questionable kwa nini uziachi zilivyo bila ya kuongeza chumvi - wahaya usema "Okushaiiliza" jaribu kupitia comments zanko nyingi, linganisha maelezo ya sources zako na tafsiri zako ukichunguza kwa umakini ni vitu viwili tafauti kama mbingu na Dunia - naona jeshi la Zelensky likishindwa vita mtapata ugonjwa wa moyo!!
So far Putin hawez shinda vita moral ya wanajeshi wa kirusi iko chini sana, kama watu wanaikimbia miji waliyokua wameitwaa we unategemea nin
 
Una maswali yakijinga sana nakuambia kwa Mara ya pili ilikua nchi moja inayoitwa Yugoslavia ndani yake kulikua na ethnic tofauti kama Serbs, Croats, Bosnia etc
Kwa Nini Kosovo ijitangizie uhuru wake 2008, na kwa nini NATO walishinikiza uhuru wake utambuliwe?. Na kabla yauhuru wake ilikua ndani ya nchi Gani?. Kwa Nini Serbia walalamike juu ya Kosovo kujitenga?.
 
Nishakuambia Mara mbili Kosovo ilikua ndani ya nchi ipi, nikuambie Tena Mara ya tatu sifanyagi huo ujinga kwa lugha nyepesi huna hoja
 
Hizo sherehe bora zingefanyika kwenye hayo majimbo
emoji1787.png
emoji1787.png
....majimboni kuna vita wewe unatangaza umeshinda aibu jamani
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
Kwamba hajipendi?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wewe bado upo na hizi insha zako, watu wanakimbia mapigano wamefukuziwa tangu Kyev huko wewe unaita tactical withdrawal, na mpaka tufike Crimea mtaendelea kuweweseka tu.
Wazoee maana wao kila siku wanajitetea tu, yaani wao hawanaga wa kumlaumu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wakati mwingine naona unaigilwaga na nini sijui, ukishindwa hoja unakimbilia ku-derail hoja, huko obsessed na Putin kushindwa vita - Putin akiwageuzia kibao sijui mtajificha wapi kwa aibu - siku hiyo inakuja.

Sasa turudi kwenye mada - mimi nilifafanua kuhusu mfumo wa DEADMAN'S HAND unafanya kazi vipi - wewe badala ya kuchangia kwenye mada husika wewe unakimbilia kutumbukiza comments ambazo hazirandani na kile kinacho zungumza - yaani vita inayo endelea huko Ukraine wewe imeigeuza kuwa burudani tosha kwa lengo la kufurahisha baraza tu, vitu serious wewe unaleta comments za mzaha mzaha tu na kejeri za kitoto - kwani uki-copy habari kutoka kwenye sources zako ambazo ni highly questionable kwa nini uziachi zilivyo bila ya kuongeza chumvi - wahaya usema "Okushaiiliza" jaribu kupitia comments zanko nyingi, linganisha maelezo ya sources zako na tafsiri zako ukichunguza kwa umakini ni vitu viwili tafauti kama mbingu na Dunia - naona jeshi la Zelensky likishindwa vita mtapata ugonjwa wa moyo!!
Huyu jamaa MK254 comments zake kama zake zinaonyesha jinsi gani hayuko matured kiakili mara nyingi unaweka kuandika point yeye hakosei kile ulichokiandika kwa hoja bali ni maneno ya mzaha na kitoto ambayo yanakuwa hayahusiani na comment ya aliyemQuote hadi kuna siku niliwahi kumwambia kuwa IQ yake ni Sawa na madada wanaoshinda saluni kujadili umbea .
 
Hv mnaosema atarusha nuclear atairushia nchi gani na wenzake wakamwangalia tu unless Taifa lake lote wameamua kuachana na maisha ya hapa duniani na kutamani maisha ya ahera.

Akirusha USA, Uk hamauchi, ufaransa, German, Canada, Japan, s.korea na nchi nyingine zisizofungamana nae,

Rusia itakuwa kifusi tu na kupelekea gunduzi za madini ambayo hayakuwahi gunduliwa
 
Nishakuambia Mara mbili Kosovo ilikua ndani ya nchi ipi, nikuambie Tena Mara ya tatu sifanyagi huo ujinga kwa lugha nyepesi huna hoja

Nishakuambia Mara mbili Kosovo ilikua ndani ya nchi ipi, nikuambie Tena Mara ya tatu sifanyagi huo ujinga kwa lugha nyepesi huna hoja
Kwa Nini Kosovo ilijitangazia uhuru wake toka Serbia na nihapo juzi tu 2008, kwa nini unalukaluka badala ya kujibu, mwisho ilichofanya Kosovo ndicho walichofanya DONBAS, sema wao wameenda mbali zaidi nakujiunga na Russia. Lkn NATO waliishambulia Serbia kwa mabomu.
 
Jana kutwa umeshinda ukishangilia kuwa wanajeshi wa Urusi wamezingirwa na hawana pakutokea.Na zaidi ukawa unasisitiza kuwa watajisalimisha au wauwawe wote!.Hakika ni Joti wa pili.
 
Huyu jamaa MK254 comments zake kama zake zinaonyesha jinsi gani hayuko matured kiakili mara nyingi unaweka kuandika point yeye hakosei kile ulichokiandika kwa hoja bali ni maneno ya mzaha na kitoto ambayo yanakuwa hayahusiani na comment ya aliyemQuote hadi kuna siku niliwahi kumwambia kuwa IQ yake ni Sawa na madada wanaoshinda saluni kujadili umbea .

Hahaha umekimbilia kuja kunijadili huku, na mpaka mtaita maji ma!! Kwa Mrusi mlibugi, bora mngemshobokea Kim wa Korea...
Mlisema baada ya kura ya maoni, hayo maeneo yamekua sehemu ya Urusi na kuyashambulia itakua Urusi imeshambuliwa na nguvu zitatumika kana kwamba ni Moscow ndio imeshambuliwa, sasa wamepigwa na kukimbia...
 
Wanajeshi zaidi ya 5,000 waogopa kuzingirwa, waamua kutoka nduki, ni mojawapo wa miji ambayo walikua wamejichukulia, shughuli inaishia Crimea maana ndiko ilianzia...
Sijui mgambo wanywa gongo watafanya nini tofauti na hawa wanajeshi wanaokimbia mapambano.

Russia has withdrawn troops from the city of Lyman in Ukraine’s Donetsk region Saturday, one day after announcing the annexation of the area and three other regions.
Ukrainian officials said earlier that their soldiers had surrounded the city.

The Russian state-owned news agency RIA reported that the Russian Defense Ministry said its forces retreated to more advantageous lines to avoid the risk of being encircled.

The ministry said Ukraine has a significant advantage in the number of its forces and brought in reserves to continue its counteroffensive retaking territory that has been captured by Russia.

Lyman has been held by Russia since May.

A video posted on Twitter by a reporter for The Kyiv Independent showed two Ukrainian soldiers tying a flag to a sign after retaking the city.

Serhiy Haidai, the regional governor of the Luhansk region, said in a tweet on Saturday that Ukrainian forces had blocked almost all ways for 5,000 Russian troops to leave the city or transport ammunition to other Russian soldiers. He said Ukraine would seek to recapture Luhansk after Lyman is retaken.
Bad planning, USA and NATO kwa hali ilivyo, kwanini wasiweke wanajeshi wao zile sehemu zinazokimbiwa/zilizokombolewa? Urusi kwa hali ilivyo hawezi kuthubutu kutupa makombora yake pale! in short hayuko tayari na hana ubavu/courageya kupigana vita na NATO
 
Huyu jamaa MK254 comments zake kama zake zinaonyesha jinsi gani hayuko matured kiakili mara nyingi unaweka kuandika point yeye hakosei kile ulichokiandika kwa hoja bali ni maneno ya mzaha na kitoto ambayo yanakuwa hayahusiani na comment ya aliyemQuote hadi kuna siku niliwahi kumwambia kuwa IQ yake ni Sawa na madada wanaoshinda saluni kujadili umbea .

What a brilliant comment!!! Be blessed - comments zake zimeshehi umbea kama wa madada wanaoshinda saluni, ila namsifu kwa kumudu kujieleza vizuri kwenye lugha ya kiswahili ananishinda hata mimi kwa mbali.
 
Back
Top Bottom