Wanajeshi Warusi waukimbia mji ambao walikuwa wamejitwalia kwa "kura" za maoni

sio rahisi ki hivyo!!kwa dunia ya sasa ,kwani,ukisema ufanye hivyo na wenzako wanazo,labda kama umeamua na nchi yako uiangamize.
So Putin anatupiga mkwara mbuzi tu na hayo makommbora yake ya nuclear?
Lakini kuna wachambuzi wanasema Putin ni kama kachanganyikiwa na hatokubali kufa peke yake
 
What a brilliant comment!!! Be blessed - comments zake zimeshehi umbea kama wa madada wanaoshinda saluni, ila namsifu kwa kumudu kujieleza vizuri kwenye lugha ya kiswahili ananishinda hata mimi kwa mbali.
The obvious ni kuwa nshomile hawajui kiswahili, wanajifunza shuleni na hivyo ni new/foreign language to them! You are quite correct!
 

Amigo, how many times must I repeat myself? NATO,repeat NATO specifically the USA does not scare a living daylights out of them Russians who gotta an overwhelming ground breaking thermonuclear missiles and equally lightening fast delivery systems which have no parallel in the entire World, to add salt to an injury USA do not have any credible integrated air defense systems to intercept and destroy Russian hypersonic missiles and glide vehicles US military top brass wamekubali ukweli huo kwamba hawana kinga dhidi ya missiles hizo atarishi Biden too and his military advisors are well aware about these facts - ndio maana Biden masaa yote anaishia kwenye inept political rhetoric akiwa mbele ya TV kuihadaa Dunia conveniently avoiding to tell the World kwamba pamoja na kujifanya mbabe mbele ya vyombo vya habari nyuma ya pazia anawatuma Wachina,Wahindi na Wairan waende kumsihi Putin hasitumie silaha za nuclear kwenye vita ya Ukraine - ndio maana nikimuona anafanya maigizo ya kumtunia misuli Putin akiwa mbele ya TV namcheka sana, najua ni muiigizaji tu mwenye lengo la ku-boost opinion polls kabla ya midterm election anachukulia vita ya Ukraine kama mtaji wa domestic politics.

Tusiende mbali ebu jaribuni ku-compare Biden na Putin hivi sasa ,utabaini unlike Biden, Putin yuko cool like a cucumber in other words katulia kabisa kama maji kwenye mtungi -mnajua kwa nini? Jibu mnalo.
 

Sehemu ya hii comment imenichekesha sana [emoji3][emoji3][emoji3]
 
The obvious ni kuwa nshomile hawajui kiswahili, wanajifunza shuleni na hivyo ni new/foreign language to them! You are quite correct!
Huyo jamaa ni Mkenya, Kiswahili chake kiko vizuri.
 
Ukiona raisi katulia vile ila raia wake wanatafuta nchi za kukimbilia, jua kuna tatizo la msingi.
 
We kijana wa tandale umejuaje kama Biden anawatuma kisirisiri rais wa Iran amsihi Putin asitumie nyuuklia, yaani kijana wa tandale una-access ya confidential information za nchi ya marekani haya ni maajabu kwa kweli
 
Mkuu mapenzi dhidi ya Putin na Russia imekuondolea Hadi uwezo wa kutoa hoja zenye maana. Kwa maan hiyo ni kuwa ukiwa na silahaa ambazo wenzako hawana na hawawezi kuzizuia tayari inakupa uhakika wa kushinda Vita?

Unajua maana ya Vita na mbinu za kushinda Vita?
 
... let's wait and see! Of course akifanya hivyo atakuwa ameleta madhara makubwa sana kwa Ukraine na dunia kwa ujumla ila dunia haitamwangalia tu; lazima yeye na genge lake watafanyiwa kitu kitakachokuwa ukumbusho wa milele kwa vizazi.
Watamfanyaje? Watamlipua na nyuklia au watampeleka tu kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita?
 
Putin is Brilliant watu hawajui tu. Kwenye hayo majimbo watu wamejitangazia uhuru wao wa kuamua kujitoa Ukraine kwa kura, iwe ni bao la mkono au hapana, tayari kura imeshapigwa kujiunga na Urusi. Baada ya hapo Russia anajitoa ili Ukraine aingie huko aue watu halafi itajulikana nani anayelinda uhuru na uhai wa watu. Marekani na NATO wote si wanataka viongozi kuheshimu "the Will of the people" sasa kuwalazimisha watu wanaotala kujitenda ndo kuheshimu uhuru wake. Marekani anataka Taiwan inayotaka kujitenga na China iheshimiwe, iweje leo ipinge watubwa Ukraine kuchagua upande wanaotaka wao. Putin ni Big brain.
 

Mlisema jimbo lolote ambalo limeingizwa kwa hiyo kura yenu tayari ni Urusi, ni sehemu ya Urusi na kuligusa itakua umegusa Urusi na vita kuanzia hapo vitabadilika, ila tunaona Warusi wanapelekeshwa puta humo humo mnakoita Urusi... ha ha ha
 
Kufuatilia mambo kiushabiki tena ushabiki wa kutengeneza mwenyewe, kunaweza kukutoa kwenye mjadala na ukashindwa kuelewa hata kile wanachoongea wenzako. Yaani warusi wanaongea kirusi, mimi na wewe hata hatuwezi kukielewa lakini bado unawanukuu warusi. Media houses nyingi zinareport habari nyingi za upande mmoja, ili upate nini kimezungumzwa kutoka upande wa urusi ni hadi TV ya taifa itoe taarifa, lakini bado umewanukuu warusi, hata sijui unapata wapi ujasiri huu. Anyway, mimi nimetoa maoni tu mzee, sitting taarifa. Kama una taarifa nyinginezo, mimi sizitaki maana sipo urusi na wala sijui kirusi.
Mlisema jimbo lolote ambalo limeingizwa kwa hiyo kura yenu tayari ni Urusi, ni sehemu ya Urusi na kuligusa itakua umegusa Urusi na vita kuanzia hapo vitabadilika, ila tunaona Warusi wanapelekeshwa puta humo humo mnakoita Urusi... ha ha ha
 

Ukisoma hii comment utadhani imeletwa na Bill Burns wa CIA Unaitoa as if upo WH na unajua kila kinachoendelea kwenye corridors za WH [emoji3][emoji3]
 
Mlisema jimbo lolote ambalo limeingizwa kwa hiyo kura yenu tayari ni Urusi, ni sehemu ya Urusi na kuligusa itakua umegusa Urusi na vita kuanzia hapo vitabadilika, ila tunaona Warusi wanapelekeshwa puta humo humo mnakoita Urusi... ha ha ha
Subiri uone watakavyooshwa huko wanapoelekea kumbuka sasa hivi ni kama wanapigania vuta urusi
 
Subiri uone watakavyooshwa huko wanapoelekea kumbuka sasa hivi ni kama wanapigania vuta urusi

Hii subiri muone mlianza kutuambia tangu ule msafara uliofyekwa na wabeba javelin.
 

Siku niliona msafara unakwenda Kyev nikajua Ukraine kisha, nikaingiwa na hofu kubwa sana, ila ulivyofyekwa na kisha Warusi wakafukuziwa, leo wanaendelea kufykwa mpaka wamefuata wanywa gongo....ha ha ha safi sana.
 
Utofauti wenu ni mdogo, wote "mnashaiiliza"....mfano hapo Juu umetumia maneno haya kwenye comment yako " futile counter offensive za Zelensky".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…