Wanajeshi Warusi waukimbia mji ambao walikuwa wamejitwalia kwa "kura" za maoni

Kama Putin ana jeshi kubwa hivyo mbona ana recruit wanajeshi vizee, vilema, na wasiopenda jeshi? Punguzeni mahaba kwa Putin!
 
Usisome uzi wake uwe unapita kushoto
 
Kama Putin ana jeshi kubwa hivyo mbona ana recruit wanajeshi vizee, vilema, na wasiopenda jeshi? Punguzeni mahaba kwa Putin!
Kama Putin ana jeshi kubwa hivyo mbona ana recruit wanajeshi vizee, vilema, na wasiopenda jeshi? Punguzeni mahaba kwa Putin!

Mkuu, wanao kuwa recruited wanakwenda kulinda majibo yaliyo kumbolewa sio kwenda kupigana - likumbukeni sana hilo - siku jeshi la Urusi likihamua kupigana kikamilifu basi jeshi lote la Ukraine na wafadhili wake wote watanyooshwa vilivyo,hutakisia cha NATO wala nini sijui - wote wataingia mitini nawabieni.
 
wale majenerali pia ni wa mchongo majenerali wenyew bado Urusi , sio ? wabongo kuna ukichaa fulan hv umeanza ingia
 
Usisome uzi wake uwe unapita kushoto
Kazi yangu ni kusawazisha ujinga kwa hiyo siwezi kupita kupita kushoot nyuzi zake wakati najua kuzaliwa na ujinga 98%
 
... let's wait and see! Of course akifanya hivyo atakuwa ameleta madhara makubwa sana kwa Ukraine na dunia kwa ujumla ila dunia haitamwangalia tu; lazima yeye na genge lake watafanyiwa kitu kitakachokuwa ukumbusho wa milele kwa vizazi.
Putin ndiye atadhurika zaidi ya mtu yeyote
 
Mapenzi yoyote yale ni matamu sana. Dah! Umeandika kwa mapenzi makubwa uliyo nayo kwa Putin na kwa Russia mpaka umesahau kwamba lengo la Putin ni kuiteka Ukraine yote ndani ya wiki moja.
Shikamoo mahaba.
 
Check hii
Your browser is not able to display this video.
 
wale majenerali pia ni wa mchongo majenerali wenyew bado Urusi , sio ? wabongo kuna ukichaa fulan hv umeanza ingia

Get lost you damned silly fool - ujeuri jeuri tu wa kutukana tukana watu unapojisikia - revist your skewed comments here in - husione watu wanakustahi ukafiriki ni wajinga - leta hoja za zijadiri kistaarabu na sio unaanza kuhoji mental faculties za binadamu wenzako.
 
Utofauti wenu ni mdogo, wote "mnashaiiliza"....mfano hapo Juu umetumia maneno haya kwenye comment yako " futile counter offensive za Zelensky".

Tikushaiiliza, ni kweli - tunacho sikia sisi nku-liberate insignificant vijiji basi, hakuna hata major city waliowahi kukomboa au kuwapeka wanajeshi wa Urusi au manamgambo wanao saidiwa na jeshi la Urusi kusini mashariki mwa Ukraine - hakuna kabisa - masaa yoke ku-exaggerate mafanikio ya jeshi la Zelensky na mamluki wake.
 
Hadi jana Urusi hakuwa kajua mipaka ya eneo alilotwaa kutoka Ukraine, hivyo hawezi shambulia maana hajui mipaka yake.



Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kingine cha ajabu, yasemekana kuwa Ukraine imepewa mfumo wa FOF, hivyo ni rahisi wao kujuana na kutoshambuliana...
Urusi hawana huo mfumo, hivyo Ukraine waliandika vifaru vyao alama za Z na V na kuweka shambulia vifaru vya Urusi huko Kharkiv

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 

Mambo mengine bwana!! Amerika ni nani kwa Urusi, political rhetoric za Biden ni for Banana Republics only and not,repeat not for Russian Federation - don't you forget that, Russia was and still is a Thermonuclear Super Power, Amerika hana ubavu wa ku-mess na Putin/Russia atabaki kusemasema maneno chungu mzima yenye lengo ku-reassure marafiki zake kwamba Amerika ni zaidi wasiwe na wasi wasi, kitu kinacho msumbuwa sana Biden ni EGO pamoja chuki binafsi kumuhusu Putin.

Leo hii Biden katangazia Dunia kwamba inaelekea Putin atanii anaposema yuko radhi kutumia silaha za nuclear inapo bidi - hivyo Biden anajaribu kuhadaa wasikilizaji kwamba kuna umuhimu wa Dunia kumkubalia Putin baadhi ya matakwa yake ili hasije akadhalilika akishindwa vita - yaani, hilo likitekelezwa tu, basi Putin hatakuwa na sababu za msingi za kutaka kutumia silaha za Nuclear kwenye mgogoro huu - binafsi naona Biden kishaona kwamba Putin yuko dead serious ie hatanii na wala haogopi NATO wala USA wakiendelea kutishia usalama wa Taifa lake atalazimika kutumia silaha yoyote kujilinda na hakuna ataye mlahumu, hicho ndicho Biden anacho ogopa lakini anapokuwa mbele ya TV anadai kwamba Putin vita imeanza kumwendea kombo hivyo tumukubalie baadhi ya madai yake kabla hajafanya mahamuzi hatarishi ya kutumia silaha za nuklia ili hasiabike - ulaghai mtupu.
 
October 6 Assessment Highlight:

LNR Ambassador to #Russia, Rodion Miroshnik, claimed that over 10,000 #Ukrainian troops have amassed west of Kreminna, and that #Russian forces have largely lost contact with Svatove and Kreminna.

 
ukiona hapa ni pa watu wazima bas lete hoja zenye utimamu , na sio kusema walienda Ukraine ni wamajeshi wa kawaida wakati tumezika majenerali wa kutosha , hv kwa akili hizo unatofaut gan na kichaaa ? Ukiona comment imekugusa bas jua kuna ujumbe wa ukwel umekufikia [emoji16][emoji16][emoji16]
 

ha ha ha!!! Mahaba kama yote, huyo Urusi amepoteza vigezo vyote vya usupapawa, leo hii hana hiyo jeuri kabisa hata chembe, amedharaulika, amedhalilishwa kote kote, sio yule tulimwogopa miaka yote hii, amefukuziwa tangu Kyev na anaendelea kupoteza huku ukimtetea eti anafanya tactical retreat.... Alijaribu kuomba msaada hata Syria ila wapi, kipodo kile kile, amewakusanya wanywa gongo ambao watauawa kama nzige.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…