Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Hapana, wanaruhusiwa kujiunga CCM tu.Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, wanaruhusiwa kujiunga CCM tu.Nawasalimu kwa jina la JMT.
Hivi wanajeshi wastaafu wanaruhusiwa kujiunga na vyama vya upinzani katika majukumu yoyote yale?
Watu wa itifaki majawabu Tafadhali!
Mbona hujajibu swali?Kumlinda kiongozi wa chama cha upinzani ni kujiunga na chama cha upinzani?
Swali lake limekuja baada ya yeye kusikia kwenye kesi ya Mbowe kuwa kuna makomandoo wa jeshi walikuwa wanaenda kupewa ajira ya kumlinda Mbowe.Mbona hujajibu swali?
Jibu gumu kwa swali jepesi na jibu jepesi kwa swali jepesi yote ni majibu.Jibu gumu kwa swali jepesi
Hoja yake ina makosa mawili:Mkuu hata kama ingekuwa kujiunga - haki hiyo raia wa Tanzania anapewa na katiba. Ulinzi ni kazi halali. Nadhani tunakosea kujadili mada hii - maswali ya nani hii ndio chanzo cha imani kuwa ukiwa serikalini basi uko katika kutenda mambo yanayotakiwa na serikali iliyo madarakani hata kama mambo hayo ni kukiuka haki!!