WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

Hii comment imenitia nguvu sana hakika nimeipenda sana
 
Dada yake polepole na mama yake walihusika nini mpaka mkaenda usiku kumteka dada yake polepole?.
Shida yenu nyinyi Chadema ndio hii ndio maana mnaitwa NYUMBU bendera fuata upepo sasa nani alisema hilo ni sawa? Two wrongs don’t make a right
 
Anausika Sana tu, Kwa Lissu akiishi death row mtoto wake matunzo atapata wapi?
Chadema ni kikundi cha wahuni hawana moral authority kuwafundisha Ccm kitu. Ccm imechoka lakini Chadema sio mbadala
 
ndiyo nyoka
Sasa jino kwa jino mtawaweza Ccm wenye Dola? Vita mtakavyoshinda ni vya maneno tu ila ground mtauliwa sana kwa sababu na nyinyi ni wahuni na magaidi msio na silaha
 
Mpaka sasa ubao unasoma hv
Ndg mwandishi 0 vs Jamhuri 3
Ukweli kuwa huwezi kuwa spy mzuri kwa kuvujisha mipango yako ya namna ya kumshnda adui
 
Sasa jino kwa jino mtawaweza Ccm wenye Dola? Vita mtakavyoshinda ni vya maneno tu ila ground mtauliwa sana kwa sababu na nyinyi ni wahuni na magaidi msio na silaha
unafikiri hio dola yenyewe wote wako na wadharimu ingekuwa hivyo siri zao za,kibwege zingekuwa hazivuji
 
Mpaka sasa ubao unasoma hv
Ndg mwandishi 0 vs Jamhuri 3
Ukweli kuwa huwezi kuwa spy mzuri kwa kuvujisha mipango yako ya namna ya kumshnda adui
Pole, America inakutangazia live kuwa inakutafuta na inakupata, Tanzania Kuna Siri Gani?
 
Sio huyo tu, watu wameruka na judge mwenyewe.. Wamebully na kumtishia wasapu.

Judge imebidi aombe kuongezewa ulinzi.

Swali langu ni watu hawaogopi? šŸ¤”
Ya jaji kutishiwa nilkuwa sijaipata
 
Utaburuzwa mahakamani na wahusika
Mahakama ikisema siri wewe ukijitia unawajua jiandae
 
Sawa. Kwa kweli leo askari hata hawakutaka.kumgusa Lisu
Kweli nimeamini silaha ya mtoto ni kiliochake atakacho kitoa

Mtoto akichapwa akilia mzazi huingiwa na hofu na kusitisha fimbo

Majizi Lisu kasukumwa hovyo Wananchi wamelia leotumeona yaliyo tokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…