WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

Safiiiii
Ogopa teknolijia
 
Hata mkiwajua mtawafanya nini? Mbona mafwele mmempost sana na hakuna mlichomfanya? Acha mbwembwe tunajua Jinsi nyumbu wa chadema mlivyo waoga ni mikwara tu mitandaoni
Crazy son of the bitch
 
Paka hata kama ni wako usimkanyage mkia.... Hawa waendelee na michezo yao kwasababu inajulikana inalenga nini, lakini wakiingiwa na akili mbaya na kufanya maamuzi ya ajabu basi paka hatokuwa na budi kumng`ata anayemfuga...

Greediness ya Wahuni ndo shimo la nchi hii..
 
Kwa mtindo huu mtaumizwa sana na waliotekwa hamtajua walipo milele jino kwa jino ni upanga wenye makali pande mbili ubaya upande wenu hamna Dola
 
Mungu akubariki sana kiongozi,!
 
Mtapotezwa sana michezo michafu mnaipenda lakini hamuiwezi.
Tulia wewe ,hii nchi ina assassin washamba sana, yaani kama watu wangekuwa wanamiliki siraha kama Marekani mbona wahuni wangekoma
 
Wazalendo wa taifa hili fanyeni linalowezekana taifa letu lirejee kwenye hadhi yake.Mungu wabariki wazalendo wote wa taifa hili.
 
Tulia wewe ,hii nchi ina assassin washamba sana, yaani kama watu wangekuwa wanamiliki siraha kama Marekani mbona wahuni wangekoma
Sasa hammiliki shida ndio inaanzia hapo, mnapeleka maneno kwenye vita vya bunduki.
 
Shida yenu nyinyi Chadema ndio hii ndio maana mnaitwa NYUMBU bendera fuata upepo sasa nani alisema hilo ni sawa? Two wrongs don’t make a right
Wewe ni zezeta tu. Ukujua Kama utapigwa Hilo swali si ndiyo.
 
JF haijawahi kushindwa jambo. Yeyote yule aliyekubali kutoa ushahidi alitambue hilo mapemaa asije akasema hatukumuonya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…