WanaJF tunaomuunga mkono Lissu sasa ni muda muafaka wa kumsaidia Lissu ashinde!

Hata kama Magufuli hafai,..kumpa Lissu kura ni kuitupa nchi jalalani.

Lissu hastahili katu kuwa mbadala wa Magufuli.
Hiyo mbeleko iliyom-beba(Richard Amsterdam) ndiyo inayodhihirisha wazi huyu jamaa anagombea uongozi kwa masilahi ya watu fulani nje ya Tanzania na sio kwa watanzania kama anavyobweka.
 
nahisi huyo uliyekutana nae leo nami nimekutana nae leo akaniambia maneno hayohayo
 
Ignored
 
Hii ni wiki ya lala salama, lazima tuhakikishe wanafamilia wetu wote wanapeleka kura zao kwa Lissu
JF members wote pia tunawaomba kura nyingi kwa Lissu
 
Yan tangu Jana machozi yananitoka, naamini Tundu Lissu anashinda sasa je watamtangaza?
Yan sijui matokeo yakitoka nitakuwa katika hali gani jamani Naomba mniombee
Usiache kupiga kura mama, ndio njia pekee ya kumuingiza Lissu Ikulu
 
Kazi ipo katika kuhakikisha kura ndizo zinazo toa raisi.
 
Mimi Kuna mmoja nime mwambia Ukiendeleza na ujinga wako wa kushabikia CCM ada utajilipia maana hujui ninavyo pata hii pesa kwa maumivu ya kodi kisa CCM !Kwanza ulinyimwa mkopo halafu unabinua midomo CCM !
Nakuunga mkono. Mtu yeyote anayepata pesa kwa kujitafutia kwa jasho lake anajua dhahama walizotuletea ccm. Ila haya yanayolishwa na kuhongwa hayana habari
 
Team makande mpoooo
 
Asante sana mkuu, sijawahi kupitia kipindi kama hiki, nashangaa nikimkumbuka tarehe 28 namkumbuka Lissu tu jamani, Naomba sana Mungu ashinde, mzee wangu yupo bara lingine kabisa lakini lazima kila siku nimtumie habari za huku hasa za chadema, amesema anamuomba sana Mungu Lissu apite.
Naomba Mungu ashinde Jamanii,
 
Mimi Kuna mmoja nime mwambia Ukiendeleza na ujinga wako wa kushabikia CCM ada utajilipia maana hujui ninavyo pata hii pesa kwa maumivu ya kodi kisa CCM !Kwanza ulinyimwa mkopo halafu unabinua midomo CCM !
Ccm ni ya kuikataa kila mahali, kuna mmoja amemrudisha mke wake kijijini akalime kwa sababu mke alivaa kipande cha kanga ya ccm, wazazi kijijini walipouliza mbona umeturudishia binti yetu akawaambia mfundisheni binti yenu adabu maana huko mjini kazi yake ni kuhongwa vitu vidogovidogo kama kanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…