Nitakuita tunywe bia ya ushindi wa Lissu baada ya uchaguzi
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Watu wako site na mabango akiwemo jpm mwenyewe akielekeza watu jinsi ya kupiga kura kwenye karatasi wewe uko bize unapost hii mtandaoni...
Kwenye Lissu weka magufuli
Mashabiki wa lissu wanatia huruma
Wengi wamekata tamaa ya maisha
Yaani tuandamane kwa ajili ya mtu anayeishi ubeligiji [emoji3][emoji3]
Tena ameshakata tiketi ya kurudi ubeligiji
Familia yake ameificha, mimi nikavunjwe mguu kwa kumpigania mtu aliyeshindwa Uchaguzi anatoa matusi
Ni laana kumweka msaliti wa Nchi Lissu na Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Lissu ni Msaliti wa nchi kivipi??Ni laana kumweka msaliti wa Nchi Lissu na Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Kama huyu waziri wetu au sioNilichogundua leo watu wote tuliozoea kula kwa majasho yetu bila kumuumiza mtu mwingine..... bila rushwa, ujanjaujanja na konakona hatuna shida na Magufuli
Shida wale wanaoamini ulaya ndio kuna maisha na mzungu you ndio anayewezaπ
Hahahaha
Kaka si anaenda kutibiwa tu
Mbona tumeaminishwa kwenda ulaya au Marekani ni usaliti?
Hata mimi namshangaa Yesu kujitolea kwa mtu kama wewe upo utopoloni maharage ya fisi Magomeni. Yeye kakubali kusulubiwa kwa pisi kali kama weweYaani tuandamane kwa ajili ya mtu anayeishi ubeligiji [emoji3][emoji3]
Tena ameshakata tiketi ya kurudi ubeligiji
Familia yake ameificha, mimi nikavunjwe mguu kwa kumpigania mtu aliyeshindwa Uchaguzi anatoa matusi
Kipenzi chako na familia yako, usitusemee hahahaha
Mimi pamoja na waislamu wenzangu, tumejipanga mapema kabisa tarehe 28/10/2020 kumpigia kura Tundu Lissu. Tunakwenda kuwatoa mashekh wetu waliopo gerezani kwa kura zetu. Tutapiga kura zetu na tutalinda kura zetu.
Bora ufe wewe na nani? Na familia yako au na familia za wengine. Unajisemea tu hapa wakati hata kutoka barabarani hutatoka.. Nilijua magufuli kaskazini hapendwi kabisa ila nilichoona jana kwa macho yangu huku mitandaoni mnadanganyanaWakizingua bora tufe tu. Tufike mahali tuchoshwe na nchi ya miyeyusho!
Lissu ni Msaliti wa nchi kivipi??
Kama huyu waziri wetu au sio
Hapo Nakuunga mkono ndugu yangu
Huyu mleta mada, ni mpuuzi kabisa yani [emoji28] [emoji28]Yaani tuandamane kwa ajili ya mtu anayeishi ubeligiji [emoji3][emoji3]
Tena ameshakata tiketi ya kurudi ubeligiji
Familia yake ameificha, mimi nikavunjwe mguu kwa kumpigania mtu aliyeshindwa Uchaguzi anatoa matusi
Hata mimi namshangaa Yesu kujitolea kwa mtu kama wewe upo utopoloni maharage ya fisi Magomeni. Yeye kakubali kusulubiwa kwa pisi kali kama wewe
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]