WanaJF tunaomuunga mkono Lissu sasa ni muda muafaka wa kumsaidia Lissu ashinde!

Yan tangu Jana machozi yananitoka, naamini Tundu Lissu anashinda sasa je watamtangaza?
Yan sijui matokeo yakitoka nitakuwa katika hali gani jamani Naomba mniombee
Kuwa makini utakuwa una umya magonjwa ya macho.... [emoji3] [emoji3]
 
Wafuasi wa Lisu watapata tabu sana baada ya tarehe 28
 
Usinifanishe mimi na msaliti wa Nchi Lissu

Usaliti ni laana

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Hebu tuelezee usaliti wake mimi na wengine tupate kuujua manake kila siku unasema msaliti bila ya kuelezea.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ulaya kumejaa mashoga shida tupu kule
Sisi tupo kwenye Nchi iliyobarikiwa na Mungu, Tanzania chini ya uongzi safi wa Mzalendo Magufuli

Wale wanaokimbilia ulaya ujue wameshindwa kufanya mambo machafu huku Tanzania

Hawakuwahi jua kama Tanzania kuna watu smart kama Magufuli, sasa wamepanick sana, wanaona kabisa anawaharibia targets zao, wanachokomaa sasa ni kujaribu kututoa kwenye reli ili wafanye yao kitu ambacho hakiwezekani

Tumeshawapuuza pamoja na vibaraka wao
 
Wapiga kura, hawapo humu JamiiForums, wapo mtaani.... Sasa waache waendelee kupotezeana muda tu humu
 
Huoni ameshakata tiketi ya kurudi kwao ubeligiji baada ya kuona Watanzania hawamtaki kwa usaliti wake?
Kwani kwenda kwa check up ndo kwao??? Hizo propaganda mpeane nyie misukule huko huko lumumba Ila sio kwa watu werevu humu. Mwenyekiti wenu Ccm asingeamuru apigwe risasi angekuwa na ticket ya kufanyiwa check up???
 
Usaliti wa lissu umevuka mstari mwekundu, hastahili tena kuitwa Mtanzania

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Jibu swali amesaliti nini??? Unazidi tu kujidhalilisha kwa kusema jambo uliloshindwa kulitolea ushahidi
 
Wewe tambua huyo mtu wenu ni msaliti wa Nchi tena amevuka mstari mwekundu

Atateteseka sana,
Jibu swali amesaliti nini??? Unazidi tu kujidhalilisha kwa kusema jambo uliloshindwa kulitolea ushahidi
 
Mjitahidi angalalu Lissu apate ushindi wa 45% dhidi ya JPM ambae keshapata ushindi wa asilimia 95%.
 
Tatizo ni tume jamani kwenye kutangaza
 
Wapiga kura, hawapo humu JamiiForums, wapo mtaani.... Sasa waache waendelee kupotezeana muda tu humu
Amstadam na team yake pamoja na vibaraka wao hawatujui watanzania na asili yao. Wanafikiri hao vibaraka wao ndio watu smart kumbe hao ni hamnazo, kuna watu smart tele mitaani. Wanawachukulia poa, wanawaona watu wa YES SIR kama hao vibaraka wao na hilo ndio limewafelisha
 
Msaliti wa Nchi amekata tiketi ya kurudi kwao ubeligiji baada ya kuona Watanzania wamemkataa

Nashukuru Mungu, msaliti wa Nchi ameaibishwa na kupuuzwa na Watanzania
Kwani kwenda kwa check up ndo kwao??? Hizo propaganda mpeane nyie misukule huko huko lumumba Ila sio kwa watu werevu humu. Mwenyekiti wenu Ccm asingeamuru apigwe risasi angekuwa na ticket ya kufanyiwa check up???
 
Sasa si sawa tu na madini yalivyo kwa Sasa ila lugha tu ndio tofauti

Nambie mgodi ambao kuna kampuni ya kitanzania inachimba
 
Msaliti wa Nchi amekata tiketi ya kurudi kwao ubeligiji baada ya kuona Watanzania wamemkataa

Nashukuru Mungu, msaliti wa Nchi ameaibishwa na kupuuzwa na Watanzania
Endelea tu kupost mambo ya kujirudia huku ukizidi kujionesha ni kwa jinsi gani ulivyo kilaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…