WanaJF tunaomuunga mkono Lissu sasa ni muda muafaka wa kumsaidia Lissu ashinde!

Huo ugolo unaovuta na jua kali ndo unakuharibu ujue
 
HUU uzi ukifika page 50 ntaamini huyo dalali wa nchi atashinda

msipoweza basi mjijue nyie hamna tofauti na mmbu nnje ya net.
 
Hili nimeshalifanya sana na naendelea na kwa kuw anina ushawishi mkubwa kwemye familia na ukoo mzima limefanikiwa sana. Si unajua mtu mwenye pesa zake kwenye ukoo??
 
Vipi leo makande umekula saa ngapi?? Maneno mengi kumbe mnaamkia makande tu.
 
Fanya wewe na dada yako na mume wa dada yako inatosha, nani apoteze muda wake kwa huyo loser
Vipi Makande ya Leo matamu. Kazi tumeshamaliza. Unadhani ufuasi wa Lissu kiasi hiki umekuja hivi hivi?? Tulishamaliza kazi kwa ndugu na jamaa zetu
 
Jiandae wote BP kupanda tarehe 29/10 maana JPM atashinda kwa kishindo! Hivyo msiharibu kura zenu bali mpigie namba moja katika karatasi ya kura
Tupo fiti kama mashabiki wa yanga na asernal ya zamani usijali kwa hilo hata akishinda magufuli wote tutakipata pata kuanzia wewe na ukoo wako wote sidhani kama wote wana maisha fresh
 
Siasa sio uadui, kila mtu apigie mtu anaeona anafaa, wala haihitaji kushawishi sanaaa...
Haya mambo ni ya kupita tu, mwisho wake wote ni kufa tu, kwahiyo hakuna haja ya kukashifiana, kutukanana sababu ya vyeo, hata uwe nani utakufa tu, hata uwe na maghorofa, magari, viwanda, watu wawe wanakuabudu mwisho wake you die
 
CCM ina wapiga kura milioni 22 so mnajisumbua bure!
Kuna waliohama vyama hapo sidhani wote ni wana ccm umesahau choma choma kadi za ccm kipindi kile, mimi mwenyewe nilihama ccm toka 2018 na bado nimeficha kadi tatu za wapiga kura wabishi yaani nawalisha bado wanashabikia ccm siku ya kupiga kura watalala tu ndani
 
Uko sahihi. Mimi siwezi kuwa nakulisha nakulipia ada halafu ukashabikia ccm ambayo inanididimiza.
 
Mtashindana na hamtashinda jpm mitano tena.
 

Na kitu kingine, kila Rais anakuja na mambo yake, hata mzee magu alipoingia alibadirisha mambo mengi ya mzee kikwete

So kama Lisu akiwa Rais na akaweka madini dhamana kimataifa ili barabara ya kutoka kwetu mtwara hadi kwa bibi newala iwe ya lami me sioni tatizo
 
Ninashukuru nina watu 40+ ambao nimewashawishi kupiga kura na zote ni kwa Lisu. Na nina watano ambao wako tayari kupokea maagizo iwapo box la kura litanajisiwa.
Hii sentence ya mwisho nimeielewa zaidi kwa upande wangu Mimi nadili na waumini wenzangu ukweli nina Kura nyingi hasa wanawake
 
Madini yenyewe watanzania hata hawayafaidi wanakula wale wale wajuu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…