Wanambeya, mtakuwa wajinga kutomchagua tena Spika Tulia

Kazeeka moyoni huyo😂
Zsidi ya dole la kati, una maendeleo gani kuonyesha.
Mnaishi nyumba za tope katikati ya kijiji kikubwa mnaita Mbeya, karne hii ya 21.
Tulia awafungue macho washamba ninyi.
 
Dr.Tulia ndo habari ya Wana Mbeya kwasasa, atakaye jaribu kukaa mbele atasagwa sagwa,Jiji lazima liendane na hadhi ya Mbunge,Tulia ni hazina ya Wana Mbeya,Jiji limetulia na Dr Tulia
 
Na Sugu alijenga barabara ipi?
Hakujenga Kwa kuwa alikuwa hatoi ahadi,barabara tajwa (KALOBE-IITENDE 3KM) huwa anaitolea ahadi Kila siku,Sasa tumemchoka na ahadi zake hewa,barabara hii hata kifusi tu inanyimwa siku hizi😞😞
 
Ni vizuri ungeainisha Bi Tulia amewafanyia nini wana Mbeya katika kipindi chake cha ubunge kiasi cha kustahili kuwa Mbunge wao tena, ungetusaidia pia kipi Tulia amewafanyia Watanzania kiasi cha kuaminiwa tena kwenye nafasi ya uspika.
Tulia Trust Fund imewasaidia sana kiuchumi wanambeya. Wanawawezesha mpaka vijijini huko ambako benki hazifiki.
 
Wewe pimbi Lord denning nenda kaangalie tena takwimu za uchumi za mwaka 2022. Mbeya inapitwa na Dar es Salaam, Kikimanjaro na Iringa tu.

Usifananishe Mbeya na mikoa ya hovyo kama Dodoma, Singida na Tabora. Sisi tuko another level
Ni mropokaji Tu huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…