Movie kama inaitwa Tomb Raider ila Angelina Jolie alitumia jina la Lara Croft. Aliigiza alikuja ktk mapango flani huko Kilimanjaro. Sina uhakika pia ilikuwa kitambo sana.Pia kuna movie ya Angelina jolie inaitwa Lara craft sikumbuki spelling kuna kipande wameongea kiswahilii
Na kuna movie ya alieigiza TITANIC sikumbuki inaitwaje kuna sehemu wametumia kiswahilii
Ipi hiyo mpendwaMovie ya congo kuna kiswahili mule
Yeah hapa upo sahihiMwenyewe moja ya movies za American Pie kuna kipande wanaongea kiswahili full conversation.
Yeah hapa upo sahihiMwenyewe moja ya movies za American Pie kuna kipande wanaongea kiswahili full conversation.
hata yule mzee baba mkwe wa kipensi aliulizwa who are u akajibu kumamae...hata movie moja hivi inaitwa deadly play ama maarufu kama komando kipensi jamaa alimkamata jambazi kabla ya kumchoma kisu alimtamkia neno "jitetee "
Inauma na kukera sana hali hiiKiswahili kwa wengi sana inajulikana kama lugha ya wakenya, halafu Africa. Mara chache sana wakaitaja Tanzania.
Wakenya wazee wa fursa... wakiwa East Africa wanajifanya hawajui Kiswahili lakini wakiwa Europe na America wanajifanya wao ndo wataalamu wa Kiswahili! Na ofcourse, huko mbele, Kiswahili kinaonekana ni cha Wakenya! Ni sawa na Mtanzania, ukiwa mbele ukavaa Kimasai ukadhani unaitangaza Tanzania; hesabu utakuwa unaitangaza Kenya manake ndiyo inajulikana ndiko wanaishi Wamasai!!Ajabu kiswahili kinaonekana ni cha wakenya....Maana sie tupo nyuma nyuma kama vitobo vya mkasi.
Independence Day 2: Resurgence:- "nimedhamiria kumalizia vita hii kabla haijaanza"hii ni lara croft tomb raider;the cradle of life. nafikiri walikuwa wanatafuta chanzo cha uhai hivyo lile eneo wamecheza kama olduvai.
Hahahaha umeniwahiii.,Kuna nyimbo ya Travis barker ft game & rick rozay jina limentoka kidogo rozay "even in Swahili I can say sitaki m$%&&%r"