Wanamuziki wa Kimarekani walioweka mistari ya Kiswahili ndani ya nyimbo zao

Wanamuziki wa Kimarekani walioweka mistari ya Kiswahili ndani ya nyimbo zao

Pia kuna movie ya Angelina jolie inaitwa Lara craft sikumbuki spelling kuna kipande wameongea kiswahilii
Na kuna movie ya alieigiza TITANIC sikumbuki inaitwaje kuna sehemu wametumia kiswahilii
Movie kama inaitwa Tomb Raider ila Angelina Jolie alitumia jina la Lara Croft. Aliigiza alikuja ktk mapango flani huko Kilimanjaro. Sina uhakika pia ilikuwa kitambo sana.
 
Kati ya thread zilizo commented with kachumbali kwa chachandu hii ipo
 
Muvi ya Van Dame "HARD TARGET" Kuna Sehem Babu Yake Dame kabla Hajamuwinda Adui Alimwambia.. "JIPUKUTE," kwa lafudhi ya kwao lakin Alitamka kiswahili kabisa

Bango
 
American Pie kama sikosei sijui ni namba nangapi jamaa walikuwawanatoka class prof akatamka "mavi ya fisi"
 
Michael Smith mwimba gospel kuna wimbo wake unaitwa I cant wait no longer kunakipande anasa "KUNA AWEZAE KUCHUKUA SHIDA ZETU"
 
Hata Eminem_afraid kuna sehemu aliimba kiswahili
 
joe the mighty young, lile jangili linawaambia wale walinzi wa wanyama pori ku.mamamae
 
Ajabu kiswahili kinaonekana ni cha wakenya....Maana sie tupo nyuma nyuma kama vitobo vya mkasi.
Wakenya wazee wa fursa... wakiwa East Africa wanajifanya hawajui Kiswahili lakini wakiwa Europe na America wanajifanya wao ndo wataalamu wa Kiswahili! Na ofcourse, huko mbele, Kiswahili kinaonekana ni cha Wakenya! Ni sawa na Mtanzania, ukiwa mbele ukavaa Kimasai ukadhani unaitangaza Tanzania; hesabu utakuwa unaitangaza Kenya manake ndiyo inajulikana ndiko wanaishi Wamasai!!
 
hii ni lara croft tomb raider;the cradle of life. nafikiri walikuwa wanatafuta chanzo cha uhai hivyo lile eneo wamecheza kama olduvai.
Independence Day 2: Resurgence:- "nimedhamiria kumalizia vita hii kabla haijaanza"
 
Hata li Wayne kwenye wimbo wake wa fukinwithme kuna sehem anasema "fuuck in swahili nigga
 
Kwenye series ya oz kuna sehemu wameongea kiswahili na kutaja serengeti pia gta san andreas wametaja kilimanjaro
 
Back
Top Bottom