Wanamuziki wa Kimarekani walioweka mistari ya Kiswahili ndani ya nyimbo zao

Wanamuziki wa Kimarekani walioweka mistari ya Kiswahili ndani ya nyimbo zao

Hata Trump anaongeaga kiswahili kuliko Faiza Foxy
 
1.Kuna wimbo wa Ja Rule nadhani sijui unaitwa Race Against Time... kipande anasema... "Ninatokea Kimara!!"

2.Wimbo wa Ja Rule tena na Bobby Brown....sikumbuki jina!
Bobby kuna kipande anasema... "Kula Ugaliii!""

[emoji23] [emoji23] Aisee Kiswahili kweli kimevuka boda
 
Hata quantico series ya pryanka chopra... kuna sehemu wameongea kiswahili.. pale rahis ametekwa
 
Ngoja niweke alama hapa nitarudi ,Kiswahili kitamu kweli kweli sema ndio hivyo tena hatukithamini watu kama mimi tulio ishia la 3B tuna abudu wanaongea "Kirengesa"
 
Kwenye The Fresh Prince of Belly Air kuna episode moja Will Smith anapewa jina la Hassan sikumbuki na anti yake ,akamuambia Hassan ni swahili name lenye maana ya Handsome
Sasa hapa sijui alimuingiza chaka Will Smith
 
Kaangalie Quantico Season 2 humo ndani wadhungu wamepiga kiswahil mwanzo mwisho epsode karibia kumi
 
Huu uzi una mifano na ushahidi mwingi wa kweli lakini kuna baadhi wanataja miafano kumbe wao ndio hawakusikia vyema wakatafuta neno la kiswahili linaloingia wakaweka hapo.......
 
jambo nipe senti moja eeh jambo jambo-Leonel Rich
 
Hata kwenye game la FIFA kuna sehemu mtangazaji (Commentator) anasema KUSHOTOOO............................... (Shot on)
 
Hata kwenye move ipo sana tu, nakumbuka move moja ya van damme na ---- young. Damme alimwambia ---- ntakutwanga wewe lakin kutokana na lafudhi wengi hawa kuelewa ila kwenye script iko wazi na wameainisha
Utakuwa umemskilizia rufufu wewe
 
Dah... Wabongo kufeli simpo sana....Van Damme ni mwanamuziki? [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom