Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Wale wa Indian movie mtakuwa mnaikumbuka movie ya Vishwatma, kuna sehemu Amrish Poor anaimba" ...ohoo ohoo mimi ni mkubwa sana"
yap yap nakumbuka wamefanya kenya ile!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wa Indian movie mtakuwa mnaikumbuka movie ya Vishwatma, kuna sehemu Amrish Poor anaimba" ...ohoo ohoo mimi ni mkubwa sana"
kuna movie inaitwa The Human Antipede, ni horror.....kuna mahala yule binti Sarah alitamka "sura yako chachu kama embe za Kibada"
Nilirudisha mara mbili mbili ili kuhakiki.....kwelk kiswahili kimetanuka....tanuuuu.
itafute mkuu. ila ni muvi ngumu sana kuelewa. niliielewa mpaka nilivyoisoma kwenye wikipedia.
kuna watu huwa hawapendi subs. mi movie ikikosa subtitles huwa sienjoy. kuna site huwa nadownloaad subtitles inaitwa subscene.comHuwa nacheza na subtitles so sio tatizo kabisa
kuna watu huwa hawapendi subs. mi movie ikikosa subtitles huwa sienjoy. kuna site huwa nadownloaad subtitles inaitwa subscene.com
Umetoka Tanzania,my mother is in Tanzania,umezaliwa wapi?
Ndio bwana,baba yangu alikua mwalimu wa kiingereza kule Zanzibar
Hata kwenye skelewu ya davido ,pale mwanzo mwanzo wakati anatoka hospitali ... Kuna jamaa anasema 'blaza kimbiaaa'
Hata google nakutaga maneno ya kiswahili...

Geronimo Plat?
yap yap nakumbuka wamefanya kenya ile!