Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.Mc lyte::::1991
My mother put me in weusi shule which means black school in swahili mc lyte kwenye ngoma ya krs 1 heal yourself.
2.Nas na Damian marley::::2010
Nas:and I can speak rap star
Y'all feel me even if it's in Swahili habari gani?
Damian Marley:Nzuri sana
3.Michael Jackson:::1987
Nakupenda pia nakutaka pia mpenzi we kwenye liberian girl.
Kiswahili kimeanza kusikika zamani sana ndani ya matekani tangu 80's....Shukrani kwa nyerere kuendeleza kiswahili mikoani na mbele.
ata kuna nyimbo nilitoa 2007 nilichomeka mistari ya kiswahili kama nakupenda mtoto mzuri.etc .
kiswahili kinakua.
1.Mc lyte::::1991
My mother put me in weusi shule which means black school in swahili mc lyte kwenye ngoma ya krs 1 heal yourself.
2.Nas na Damian marley::::2010
Nas:and I can speak rap star
Y'all feel me even if it's in Swahili habari gani?
Damian Marley:Nzuri sana
3.Michael Jackson:::1987
Nakupenda pia nakutaka pia mpenzi we kwenye liberian girl.
Kiswahili kimeanza kusikika zamani sana ndani ya matekani tangu 80's....Shukrani kwa nyerere kuendeleza kiswahili mikoani na mbele.
aisee wwe ni mkali. imebidi niende kuhakkikisha,lol.
♥Kiswahili kilikuwa juu tangia zamani kule usa nimeona mistari ya 2pac hiyo nadhani alimaanisha blacks(weusi) niggas in swahili.
♥kuna movie nyingi sana zina kiswazi ndani:-
1.Mean girsl (2004)
2.The Lion King (1994)
3.The A-Team(2010)
4.The fifth estate(2013)
5.Phone Booth(2002)
6.Mighty young doe(1998)
7.The constant gardener(2005)
Kuna series inaitwa one tree hill kuna mtu alisema dada
payton..''P Sawyer''..Brooke,Nate,Mouth McFaden,Lucas..aisee niliipenda na nilijifunza vingi sana juu ya makuzi ya watoto na vijana kwa wenzetu huko.
ni kweli hapo amenogesha kijiwe ila kuna track moja inaitwa Troublesome 96 kutoka kwenye albam ya greatest hits late 2pac ametamka neno swahili sijajua alikuwa anamaanisha nini lakin ndo hivo na si unajua baba ake alikuwa mchaga na amekufa miaka mitatu huko arusha. Sisi wabongo tunajiradharau tu ila tuko juu
Thx a lot... you know what, nakumbuka sana hii ngoma enzi hizo tuko, dah, hata kama hazijafutika sawa sawa... we acha tu!! Kama isingekuwa video ina sehemu kwenye ubao imeandikwa WEUSI SHULE, no one could believe it!! Long time sana, and since then nimekuwa nikihangaika kufahamu jina la hii ngoma na nani kapiga... kila unayemuuliza, anakuona mzushi... sema ndo hivyo tena, enzi hizo hata TV zenyewe bongo ilikuwa hamna... Let me try to search for it.1.Mc lyte::::1991
My mother put me in weusi shule which means black school in swahili mc lyte kwenye ngoma ya krs 1 heal yourself
Hata kwenye skelewu ya davido ,pale mwanzo mwanzo wakati anatoka hospitali ... Kuna jamaa anasema 'blaza kimbiaaa'